shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Wakuu naomba msaada wa kujua namna ya kujaza hizi form za maombi za restless naona kuna maswali mawili
Moja linataka maneno 250
Na jingine linataka maneno 750 hapa ndo ninapopata shida wakuu
Msaada kwenye tuta kwa wale wenye uelewa wanipe mwanga
Asanteh
Moja linataka maneno 250
Na jingine linataka maneno 750 hapa ndo ninapopata shida wakuu
Msaada kwenye tuta kwa wale wenye uelewa wanipe mwanga
Asanteh