DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,332
- 98,590
Mambo ya kuleteana uchuro kabisa ayaNa ukitaka kuamini kua hawa viumbe mentality yao ni moja wee mwambie mke wako kwamba.. Hii nyumba nataka tuiuze utasikia... Halafu cku ukifa ntaishije na watoto