Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,805
- 7,325
Safi kabisa, kwanza kuandika jina la mtoto ni sawa na kuandika jina la mke maana mtoto ni mali ya mke. Ukitaka kujua tengana na mke wako uone watoto watamfata nani.Binafsi yangu mimi huwa siyo muumini wa kuandika jina la Mtoto katika Mali zangu
Mtoto anastahili Malezi bora kutoka kwa wazazi lakini siyo kuandikana katika mali ili iweje kwanza.?