Restaurant nzuri Dar es Salaam

mkuu you cant be serious can you!?.. back in the day, .. which days do u mean!?.. nmeanza kutumia jf 2013 nkafungua account ya kwanza 2014 2019 ikafungiwa na sasa nna nyingine hii hapa.. since then jf there was always must be someone who was never serious and i fall on that group.. itc just that watu kama mimi sasahvi tumekua wengi, i always think "being matured is to be able to understand anyone, anywhere and whatever else situation mean while knowing when to SHUT UP and when to MIND YOUR OWN business".. i dont mean to offend you pal, but i hope you understand... si kila mtu ni mtoto hapahapa, if you think you are mature enough then i'll double doubt your maturity bro.

enjoy,eat and bite what suits you.
acha upumbavu wewe, afu jifunze ku balance shobo, unambiwa ukweli unakaza kichwa, wewe mtoto wa juzi tu ndio kwanza umemaliza diploma ya marketing pale CBE unakuja kuleta ujinga wako hapa JF
 
Cape Town fish market (ctfm)msasani
Ukitoka kitu cha shule kama unaenda masaki mkono wa kushoto.

Ukitumia daladala omba msaada fish market.
Kama unausafiri wako ingia gugo 🗺.
Kwa kutumia Uber,imeisha hiyo..utakuwa ushafika.

Sea food unapiga na white wine 🍷 na cocktail nyepesi.

Kila la kheri mkajiinjoi zenu
 
acha upumbavu wewe, afu jifunze ku balance shobo, unambiwa ukweli unakaza kichwa, wewe mtoto wa juzi tu ndio kwanza umemaliza diploma ya marketing pale CBE unakuja kuleta ujinga wako hapa JF
hahaaa you are interesting,. by the way mkuu mimi ni MD wa kawaida sana sio successful katika uchumi ila am enjoying my job tangu mwaka 2016(mwaka uliomaliza ww bachelor yako ukapata gpa ya 2.6).

naomba nikushauri kua katika hili wewe ndio umefeli kubalance shobo, and with all due respect sijafurahishwa na kauli yako ya kuniita mtoto wakati hujanizidi sana maana una 37 years(japo mwezi may2020 ulitaka kurudi kwa babaako kisa umeishiwa kodi ya nyumba)

naomba nisifike mbali sana mkuu, ila umekwama sana kudandia basi kwa mbele, for the very least nimeomba radhi kwa mwenye uzi ila nashangaa sana ulivodandia gari kwa kumwaga porojo nyingi.View attachment 1606218View attachment 1606220
Screenshot_2020-10-20-16-11-00.jpg
View attachment 1606219View attachment 1606217
 
Cape Town fish market (ctfm)msasani
Ukitoka kitu cha shule kama unaenda masaki mkono wa kushoto.

Ukitumia daladala omba msaada fish market.
Kama unausafiri wako ingia gugo 🗺.
Kwa kutumia Uber,imeisha hiyo..utakuwa ushafika.

Sea food unapiga na white wine 🍷 na cocktail nyepesi.

Kila la kheri mkajiinjoi zenu
yes hapa napo pamekaa njema!! ila kumaliza 100k ni kugusa tu😀..kuna totozi pale zinamwaga umombo tu!! wanatema yai utafikiri tupo Miami Beach, FL
 
  • Kicheko
Reactions: len
Mkuu next time usipoteze muda wako kuja kuuliza mambo muhimu hapa jf siku hizi kuna watoto wengi sana ambao wengi wao hata hawajaexperience maisha kiuhalisia wanabakia kutype upuuzi kwenye mambo ya msingi.

Back in the day ilikuwa ni rahisi sana kupata ushauri hapa JF unapokuwa na changamoto yoyote sababu members walikuwa ni watu serious na wanaijitambua na wasiochukulia JF kama kijiwe cha mizaha na porojo za uongo.

Siku hizi mizaha mingi sana nashauri @Moderator apart from likes naomba atuwezeshe pia tuwe tuna option ya kudownvote comments za mizaha na ikifika idadi fulani ziwe zinajifuta ili wahusika wajione. Maana ni kero sana.
 
Back
Top Bottom