kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,562
- 2,628
bei zao vp kwa sahaniNenda mandi almaida lumumba karibu na ccm . ukapie mandi mbuzi . au pilau ya bismat... utajua wasomali hawafai kwa mapishi
Sent using Jamii Forums mobile app
bei zao vp kwa sahaniNenda mandi almaida lumumba karibu na ccm . ukapie mandi mbuzi . au pilau ya bismat... utajua wasomali hawafai kwa mapishi
Nasikia mlikuaga mnavitafuna vibinti vykae. Ni kweli?Tuliofika Dar kwa sababu ya CHUO tu kwa mama zinduna nyuma ya Mabibo hostel mpango mzima asee 1300/= tulikuwa tunamalizia siku!!!
Typed Using KIDOLE
Kama kuna hamira tusiseme?..muoneFitina at work badala ya men at work.
Naunga mkono hoja.
Kawaida tu...kutafunwa ni moja ya haki ya msingi kabisa kwa binti yoyote yule 16+Nasikia mlikuaga mnakavitafuna vibinti vykae. Ni kweli?
Hawa wamefunga siku hizi.Nenda mayor restaurant kariakoo mtaa wa nyamwezi karibu Na msikiti wa makonde zamani ikiitwa zitta restaurant hapo unapatikana Msosi wa nguvu kuanzia breakfast mpaka lunch kila kitu kipo sawa Na vimepikwa kwa ufundi wa hali ya juu mpaka juice ya pale sio mchezo
Panaitwa Mary'sKuna moja ilikuaga pale posta azam karibia na round about ghorofani sjui bado ipo aisee nilikulaga prawns watamu mpaka leo nawakumbuka
Ukisema Pilau la hapo ni tamu nina mashaka na wewe jinsi gani unalijua Pilau. Kwa kifupi mpishi wa Pilau la pale alishaondoka zaidi ya miaka 10 iliyopita limebaki jina tu.
Kuna kamtaa kanaitwa fupi, kanaunganisha Libya Street na Jamhuri Street hapo Kati sasa utaukuta huo mgahawa, chief pride. Hao nawakubali sana kwa mapishi.Hii pride mtaa wa libya ipo wapi?
Kariakoo ama?Kuna kamtaa kanaitwa fupi, kanaunganisha Libya Street na Jamhuri Street hapo Kati sasa utaukuta huo mgahawa, chief pride. Hao nawakubali sana kwa mapishi.
Bado papo? Maana sehemu zingine nimeenda wamefunga biashara.Magomeni msikitini.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo