Brake point Kinondoni makaburini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii pride mtaa wa libya ipo wapi?Chef Pride pale mtaa wa Libya
HahahMkuu hamira pale imeshamiri.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chimbo lipo wapi?
Butiama Restaurant mtaa wa Idrissa Magomeni,pilau ya hapo haina mfano Dar nzimaNdugu zangu wenyeji wa dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
Hapa nilitamani kuwe na thumb down (dislike) nikupatie.Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Duh kumbe KFC na Pizza Hut ni migahawa ya juu sana?!Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Basmati?Magomeni msikitini.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo