Rest in Peace Mama Rhoda Kahatano

Mafuchila

JF-Expert Member
Apr 29, 2006
751
65
Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, mwanasiasa na mpiganaji mkongwe bibi Rhoda Kahatano ametutoka. Ni pigo kwa siasa za Tanzania kwani idadi ya viongozi na wanasiasa wa kupigiwa mfano inazidi kupungua. Mungu mwenyezi na mwingi wa rehema, tunaomba umrehemu huyu mama.
 
May she rest in peace,very sorry for the family,will always remember your smile and the way you spoke and mastered kihaya dispite being a nyakusa-Once again on behalf of the M family formerly of upanga,may your route to the heavenly abode be lined by angels---- AMEN
 
Ohhhhhhhhh ni pigo kubwa. I will always remember and miss you mama Rhoda Kahatano.
Mazishi yatafanyika wapi? Bukoba au Dar anakohishi sasa?
 
Pole kwa wafiwa. Sikubahatika kuonana na huyu mama ila alikuwa rafiki mkubwa wa kaka yangu. Mungu awasaidie wafiwa kukabiliana na msiba wa mpenzi wao.
RIP Mama Kahatano.
Mama Kahatano na marehemu wote, wapate rehema kwa Mungu na wapumzike kwa amani,... AMINA
 
NI masikitiko makubwa kwangu na familia yetu kwa kumpoteza Mama Kahatano.

Mama Kahatano alikuwa Mama yangu Mkubwa na kabla ya kuhamia Dar kutoka Kigoma hata kutoka Kagera alipokuwa REO, alikuwa akifikia nyumbani kwetu. Watoto wake wamekaa nyumbani kwetu. Ni urafiki wetu uliogeuka kuwa undugu.

Nimetoka kuongea na mtoto wake aliyeko Dar na mazishi yatafanyika pale nyumbani kwake Bunju wikiedi hii. Binti wa marehemu na mjukuu waioko South Africa, wako safarini kwenda Dar, pamoja na ndugu kutoka Mbeya na Bukoba.

Kwa upande wa Siasa, Mama Kahatano alikuwa imara na kwa masikio yangu mwenyewe nilishawahi kumsikia akilumbana na Lowassa na hata Sumaye na wakanywea! Sijui ni kitu gani kilimfanya akaachana na Umoja wa Waawake ambako alikuwa Katibu Mkuu, lakini nilipomuona mwaka jana nilipokuwa nyumbani, nilitumia dakika kadhaa za makutano yetu kuchombezea mambo ya Sias na alikuwa bado mzima sana ingawa kiafya alikuwa ni mgonjwa.'

Mungu amlaze pema Mama Kahatano. Amekwenda mbinguni kujumuika na watoto wake Ambi, Kamugisha na Faraja waliomtangulia.
 
Kwa wale ambao walihitaji kuona image yake yake. Find it here.
 

Attachments

  • Kahatano.jpg
    Kahatano.jpg
    5.2 KB · Views: 65
RIP Mama Kahatano.

Namkumbuka sana akiwa REO Kagera - Alileta ufanisi mkubwa sana kwenye Shule za msingi/sekondari Bukoba

Pole sana wafiwa

We will miss you
 
Rhoda Kahatano was a great friend to me when I was a Peace Corps teacher at Monduli UPS. I say goodbye to a great friend and teacher.
 
Mungu awajalie ninyi wote faraja na utulivu kwa upendo wenu kwa mama huyu kipenzi cha wengi.
Ama kwa hakika nimeguswa na kifo chake ingawa personally sikupata kumfahamu.

Ametangulia, tumo njiani
 
May the Almighty God have mercy on her soul.


DEUTORONOMY 32:39

"NOW SEE THAT I, EVEN I, AM HE, AND THERE IS NO GOD BESIDES ME, I KILL AND I MAKE ALIVE, I WOUND AND I HEAL; NOR IS THERE ANY WHO CAN DELIVER FROM MY HAND."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom