‘Respect us!’ President Kenyatta warns foreign countries against meddling in Kenyan affairs

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,669
2,000
President Uhuru Kenyatta has slammed foreign countries over what he termed as trying to interfere and direct Kenya on how to run its affairs.

The Head of State said while Kenya appreciates support and collaboration with other nations, the country will not be dictated to by anyone else.

“We thank the officers of the United Nations and all development partners who have been close collaborators but at this juncture I must make it clear that while we appreciate your support and look forward to your collaboration you must remember that Kenya has its owners, and its owners are 50 million Kenyans,” said President Kenyatta.

He added: “I ask you to refrain from trying to direct us in which way we should go. We are clear on where we want to go. We ask you to join us, to support us in that endeavor. But do not interfere because we shall not allow for you to dictate to us which direction that should be. Nawaomba kwa heshima kubwa mutushemu ndio tuwaheshimu. Kila mtu ako na shida zake even they have their own problems to resolve huko kwao. I say that in good faith. I shall not allow that and we shall not allows that as a country.”

The President was speaking as he officially commissioned the ground breaking of G47 Ugatuzi towers in Nairobi that will host county governments offices.

The head of state also launched county governments COVID-19 social economic re-engineering strategy covering 2020 to 2023 that seeks to help the country bounce back from the economic vagaries of Covid-19 that has seen economic growth slump to 0.6 percent in 2020 from 5.4 percent in 2019.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,749
2,000
Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.
Copy and paste as usual, siku hizi viongozi wa Kenya lazima waige kila kitu kinachofanywa na Tanzania, sio jambo baya kuiga kutoka kwa waliofanikiwa, Hongereni wakenya kwa kutuiga.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,061
2,000
Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.
Mwisho wa siku message ni ileile

And the most important ni action ndugu
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,067
2,000
kumbe wakenya wapo milioni 50, nilisikia na watanzania ni idadi hiyo sasa najiuliza wakenya wengi hivo wanaishi vipi kwenye hiyo nchi na ni ndogo
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,131
2,000
Copy and paste as usual, siku hizi viongozi wa Kenya lazima waige kila kitu kinachofanywa na Tanzania, sio jambo baya kuiga kutoka kwa waliofanikiwa, Hongereni wakenya kwa kutuiga.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wamesemaje kwani wale wabunge wa EU kuhusu Kenya? Kwamba watatuekea vikwazo au? Kwa taarifa yako simulizi zenu kwa mabeberu kutoka kwa profesa wenu uchwara kuhusu vita vyenu vya Kagera huwa vinaishia tu kwenye jukwaa hili. Very local, wakenya na rais UK hawana ufahamu wala muda na utopolo wa aina hiyo.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,685
2,000
Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.
Pumbavu tuliyajua hayo kitambo nyie aendeeni kukumbatia misaada na mtapangiwa sana
 
Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
1,734
2,000
Baada ya kuambiwa afanye restructuring ya gava kutokana na madeni yasopimika ndo anajifanya kushtuka
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,131
2,000
Pumbavu tuliyajua hayo kitambo nyie aendeeni kukumbatia misaada na mtapangiwa sana
Jombaa, kati ya Kenya na Tz ni nchi gani ndio inapokea misaada kwa wingi? Tena misaada ya aibu ya kufadhili sekta nyeti na basic kama Elimu na Afya? Huoni aibu kwamba mabeberu wanawasomesha watoto wa Dona Kantrii na kuwalipa mishahara walimu, manesi na madaktari?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,749
2,000
Wamesemaje kwani wale wabunge wa EU kuhusu Kenya? Kwamba watatuekea vikwazo au? Kwa taarifa yako simulizi zenu kwa mabeberu kutoka kwa profesa wenu uchwara kuhusu vita vyenu vya Kagera huwa vinaishia tu kwenye jukwaa hili. Very local, wakenya na rais UK hawana ufahamu wala muda na utopolo wa aina hiyo.
Uhuru Kenyatta lazima achungulie Tanzania kunafanyika nini ndio na yeye anafanya, akifanya tofauti na Tanzania lazima atapingwa na wakenya. Hukumbuki jinsi wakenya walivyokua wanamuambia amuige Jiwe jinsi ya kupambana na Corona hadi akalazimika kuwaambia wakenya waache kujilinganisha na Tanzania kuhusu Corona

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,749
2,000
Jombaa, kati ya Kenya na Tz ni nchi gani ndio inapokea misaada kwa wingi? Tena misaada ya aibu ya kufadhili sekta nyeti na basic kama Elimu na Afya? Huoni aibu kwamba mabeberu wanawasomesha watoto wa Dona Kantrii na kuwalipa mishahara walimu, manesi na madaktari?
Hahaha, Debts 80%, njaa, rushwa, wizi, na tribalism

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,749
2,000
Jombaa, kati ya Kenya na Tz ni nchi gani ndio inapokea misaada kwa wingi? Tena misaada ya aibu ya kufadhili sekta nyeti na basic kama Elimu na Afya? Huoni aibu kwamba mabeberu wanawasomesha watoto wa Dona Kantrii na kuwalipa mishahara walimu, manesi na madaktari?
Kenya hakuna sector msiyopewa misaada, ninyi ni nchi hovyo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom