Resollution ya simu ina maana gani?

lewis mtunze

Member
Aug 31, 2020
42
26
Habari! Wadau kuuliza sio ujinga, utakuta kwenye simu imeandikwa, (Resolution 720x1800), Je ina maana gani na ina mahusiano yoyote na camera? Kwenu wataalamu.

Ipo hivi,
Resolution ni namba za pixels katika simu au camera sensor (pixels ni vijiboks vidogo sana ambavyo ndivyo huunda picha),
Kwa hiyo resolution kubwa inamaanisha pixels nyingi and vice versa.

Ukiona umeandikiwa resolution ya 720*1080
Ana maana upana(horizontal) kuna pixels (viboks) 720 na urefu(vertical) kuna pixels (viboks) 1080.

Hapa nazungumzia katika simu ambapo urefu unakua mkubwa na upana mdogo, kwenye tv/pc ni vice versa.

Sasa hizi pixels ndio zitakazo athiri ubora ya picture/video utakayoona,
Zikiwa chache basi utaona picha imefifia, zikiwa nyingi basi utaona picture ikiwa na quality nzuri.

INAMAHUSIANO GANI NA CAMERA.
Camera nayo ina resolution (pixels) yake ambayo haiingiliani kabisa na ya kioo cha simu sababu hii ya camera inapatikana kwenye sensor sio screen, japokuwa inamaanisha kitu kimoja na mwishowe huunganika kuleta kitu kimoja.

Mara nyingi resolution ya camera ni kubwa zaidi ya screen,

Simu kubwa za kisasa hu record videos mpaka za 8k(resolution ya 8000) lakini unakuta uwezo wa kioo ni 4k au chini.

Mfano Samsung Note 20 ultra, Ina camera ya 108Megapixels(1Megapixer = 1 mill pixers),

Resolution ya hii camera kwa upande wa PICHA ni 12,000×9,000=108,000,000 pixels,
Video yake utakayo record ina resolution ya 8k(7680×4320) pixels,
Uwezo wa kioo cha simu ni 3k(3088×1440) pixels,

Kwa hio, utatumia simu hii kupiga picha yenye resolution ya 12,000×9,000 na ku record video yenye resolution ya 8k(7680×4320),

Lakini ukitumia simu hii hii kuangalia hiyo video au picha, vyote utaviona katika resolution ya 3k(3088×1440).

Hii ina maana ubora wa picha umezidi uwezo wa kioo kukuonesha details kutoka kwenye picha ile,
Matokeo yake screen ita ji accommodate kuitoa kutoka 12,000×9000/7680×4320 MPAKA 3088×1440,

Kwa hiyo utaona picha katika ubora wa screen sio camera.
Au ndio ile unaona picha/video inakua cropped kanakua kadogo katikati ya screen, ukilazimisha ijae inapungua ubora, Mfano 👇View attachment 1574843

Wanaamini ukipiga picha au uki record video basi ukitaka kuiona vizuri tumia PC au TV kuangalizia(sisi wabongo simu ndio kila kitu, wenzetu mara nyingi huhamishia kwenye PC) amabayo unakuta ina resolution kama ya camera au zaidi..

Hapa nimetaja picha/video kama mfano sababu ndio sehemu kubwa ambayo watu huangalia, ila kwa ufupi resolution ita athiri ubora wa kila utakacho kiona kwenye screen yako, kuanzia maandishi, icons na chochote kile unachoweza kuona kwenye simu..

Ona tofauti ya hizi picha hapo chini..

View attachment 1574837screenView attachment 1574834View attachment 1574835View attachment 1574836

NOTE : Uwezo wa jicho la binadamu max resolution anayoweza kuona ni 4k(ndio maana iphones wanajiteteaga hakuna haja ya kuweka resolution kubwa kwenye simu zao), Hio 4k ni max na ni kwa yule mwenye eyesight nzuri, kama wewe una uwezo wa kuona pixels 1k, hutaona huo utofauti, uwekewe 1080p, uwekewe 4000p hutaona tofauti.

Sasa basi kwenye hizo image hapo juu Ukiangalia huoni tofauti, jua na wewe uwezo wa jicho lako ku accommodate pixels katika picha upo limited kwa picha hizo(this is NOT joke).
 
Habari! Wadau kuuliza sio ujinga, utakuta kwenye sim imeandikwa, (Resolution 720x1800) je inamaana gani na ina mahusiano yoyote na camera? Kwenu wataalamu.
Hapana. HIyo ni resolution ya kioo cha simu. Kama hiyo resolution ni 720p, kuna vya 1080p, 1440p na 2160p
 
Upo utofauti na ubora, mfano kama una laptop ukiwa unacheza game kwa external screen kama monitor resolution yake hubadilika ya PC hujifinya ili iwe sawa na ya monitor hivyo ata ubora wa picha au muonekano upungua
Kwa hiyo resolution ya 720x1800p inatofauti gani na ya 1080 x 2400 hua sielewi apo?
 
Habari! Wadau kuuliza sio ujinga, utakuta kwenye sim imeandikwa, (Resolution 720x1800) je inamaana gani na ina mahusiano yoyote na camera? Kwenu wataalamu.
Ipo hivi,
Resolution ni namba za pixels katika Display ya simu au camera sensor (pixels ni vijiboks vidogo sana ambavyo ndivyo huunda picha),
Kwa hiyo resolution kubwa inamaanisha pixels nyingi and vice versa.

Ukiona umeandikiwa resolution ya 720*1080
Ana maana upana(horizontal) kuna pixels (viboks) 720 na urefu(vertical) kuna pixels (viboks) 1080.

Hapa nazungumzia katika simu ambapo urefu unakua mkubwa na upana mdogo, kwenye tv/pc ni vice versa.

Sasa hizi pixels ndio zitakazo athiri ubora ya picture/video utakayoona,
Zikiwa chache basi utaona picha imefifia, zikiwa nyingi basi utaona picture ikiwa na quality nzuri.

INAMAHUSIANO GANI NA CAMERA.
Camera nayo ina resolution (pixels) yake ambayo haiingiliani kabisa na ya kioo cha simu sababu hii ya camera inapatikana kwenye sensor sio screen, japokuwa inamaanisha kitu kimoja na mwishowe huunganika kuleta kitu kimoja.

Mara nyingi resolution ya camera ni kubwa zaidi ya screen,

Mfano Simu kubwa za kisasa zenye kamera kubwa hu record videos mpaka za 8k(resolution ya 8000) lakini unakuta uwezo wa kioo ni 4k au chini.

Mfano Samsung Note 20 ultra, Ina camera ya 108Megapixels(1Megapixer = 1 mill pixers),

Resolution ya hii camera kwa upande wa PICHA ni 12,000×9,000=108,000,000 pixels,

Video yake utakayo record ina resolution ya 8k(7680×4320) pixels,

Uwezo wa kioo cha simu ni 3k(3088×1440) pixels.

Kwa hio, utatumia simu hii kupiga picha yenye resolution ya 12,000×9,000 na ku record video yenye resolution ya 8k(7680×4320),

Lakini ukitumia simu hii hii kuangalia hiyo video au picha, vyote utaviona katika resolution ya 3k(3088×1440), ambao ndio uwezo wa kioo.

Hii ina maana ubora wa picha umezidi uwezo wa kioo kukuonesha details kutoka kwenye picha ile,
Matokeo yake screen ita ji accommodate kuitoa kutoka 12,000×9000/7680×4320 MPAKA 3088×1440,

Kwa hiyo utaona picha katika ubora wa screen sio camera.
Au ndio ile unaona picha/video inakua cropped kanakua kadogo katikati ya screen, ukilazimisha ijae inapungua ubora, Mfano 👇
screen_shot_2012-06-22_at_2.01.51_pm.png

Wanaamini ukipiga picha au uki record video basi ukitaka kuiona vizuri tumia PC au TV kuangalizia(sisi wabongo simu ndio kila kitu, wenzetu mara nyingi huhamishia kwenye PC) amabayo unakuta ina resolution kama ya camera au zaidi..

Hapa nimetaja picha/video kama mfano sababu ndio sehemu kubwa ambayo watu huangalia, ila kwa ufupi resolution ita athiri ubora wa kila utakacho kiona kwenye screen yako, kuanzia maandishi, icons na chochote kile unachoweza kuona kwenye simu..

Ona tofauti ya hizi picha hapo chini..

1*uRMKsYbPRwjCcbAnQBvhnw.jpeg
screen
JamiiForums-2018601149.jpeg
high-resolution-image-vs-low-resolution-image-1024x474.png
Low-Res-850-x-550.jpg

NOTE : Uwezo wa jicho la binadamu max resolution anayoweza kuona ni 4k(ndio maana iphones wanajiteteaga hakuna haja ya kuweka resolution kubwa kwenye simu zao),

Na Hio 4k ni max na ni kwa yule mwenye eyesight nzuri, kama wewe una uwezo wa kuona pixels 1k, hutaona huo utofauti, uwekewe 1080p, uwekewe 4000p hutaona tofauti.

Sasa basi kwenye hizo image hapo juu Ukiangalia huoni tofauti, jua na wewe uwezo wa jicho lako ku accommodate pixels katika picha upo limited kwa picha hizo(this is NOT joke).
 
Ipo hivi,
Resolution ni namba za pixels katika simu au camera sensor (pixels ni vijiboks vidogo sana ambavyo ndivyo huunda picha),
Kwahio resolution kubwa inamaanisha pixels nyingi and vice versa.

Ukiona umeandikiwa resolution ya 720*1080
Ana maana upana(horizontal) kuna pixels (viboks) 720 na urefu(vertical) kuna pixels (viboks) 1080.

Hapa nazungumzia katika simu ambapo urefu unakua mkubwa na upana mdogo, kwenye tv ni vice versa.

Sasa hizi pixels ndio zitakazo athiri ubora ya picture/video utakayoona,
Zikiwa chache basi utaona picha imefifia, zikiwa nyingi basi utaona picture ikiwa na quality nzuri.

INAMAHUSIANO GANI NA CAMERA.
Camera nayo ina resolution (pixels) yake ambayo haiingiliani kabisa na ya kioo cha simu sababu hii ya camera inapatikana kwenye sensor sio screen, japakua inamaanisha kitu kimoja na mwishowe huunganika kuleta kitu kimoja.

Mara nyingi unaweza ukute resolution ya camera ni kubwa zaidi ya screen, mfano
Screen ni 720*1080 na camera ni 1080*2440, ukipiga picha katika simu ya namna hii ina maana ubora wa picha umezidi uwezo wa kioo kukuonesha details kutoka kwenye picha ile,
Matokeo yake screen ita ji accommodate kuitoa 1080*2440 mpaka 720*1080, kwahio utaona picha katika ubora wa screen sio camera.
Au ndio ile unaona picha/video inakua cropped kanakua kadogo katikati ya screen, ukilazimisha ijae inapungua ubora, Mfano View attachment 1574843

Kimfano simu kubwa za kisasa hurecord videos mpaka za 8k(resolution ya 8000) lakini unakuta uwezo wa kioo ni 4k au chini.

Wanaamini ukipiga picha au uki record video basi ukitaka kuiona vizuri tumia PC au TV kuangalizia(sisi wabongo simu ndio kila kitu, wenzetu mara nyingi huhamishia kwenye PC) amabayo unakuta ina resolution kama ya camera au zaidi..

Hapa nimetaja picha/video kama mfano sababu ndio sehemu kubwa ambayo watu huangalia, ila kwa ufupi resolution ita athiri ubora wa kila utakacho kiona kwenye screen yako, kuanzia maandishi na chochote kile unachoweza kuona kwenye simu..

Ona tofauti ya hizi picha hapo chini..

View attachment 1574837screenView attachment 1574834View attachment 1574835View attachment 1574836

NOTE : Uwezo wa jicho la binadamu max resolution anayoweza kuona ni 4k(ndio maana iphones wanajiteteaga hakuna haja ya kuweka resolution kubwa kwenye simu zao)., Hio 4k ni max na ni kwa yule mwenye eyesight nzuri, kama wewe una 1k, hutaona huo utofauti, uwekewe 1080p, uwekewe 4000p twende kazi.

Sasa basi kwenye hizo image hapo juu Ukiangalia huoni tofauti, jua na wewe uwezo wa pixels wa jicho lako upo limited kwa picha hizo(this is NOT joke).

Nimeandika hii comment usiku saa 10, kama kuna sehemu uatona utopolo ujue ni wenge,...

See you, ngoja nimuwahi mdeni wangu mlangoni, jana kaamka saa 10 : 30.
Thread closed
 
Kwaiyo resolution ya 720x1800p inatofauti gani na ya 1080 x 2400 hua sielewi apo?

piga picha na iphone 6 plus,itazame humo humo katika simu.
kisha irushe kwa ukubwa ule ule uiangalie kwenye s9 plus utaelewa haraka swali lako.

au chukua s9 plus,punguza resoln mpaka 720p kisha nenda upande wa sms angalia hizo txt zinafananaje,halafu rudi setting pandisha resoln mpaka mwisho,rudi zitazame.utagundua kioo sasa unakiona kama karatasi,kimekuwa laini zaidi.
 
Ipo hivi,
Resolution ni namba za pixels katika simu au camera sensor (pixels ni vijiboks vidogo sana ambavyo ndivyo huunda picha),
Kwahio resolution kubwa inamaanisha pixels nyingi and vice versa.

Ukiona umeandikiwa resolution ya 720*1080
Ana maana upana(horizontal) kuna pixels (viboks) 720 na urefu(vertical) kuna pixels (viboks) 1080.

Hapa nazungumzia katika simu ambapo urefu unakua mkubwa na upana mdogo, kwenye tv ni vice versa.

Sasa hizi pixels ndio zitakazo athiri ubora ya picture/video utakayoona,
Zikiwa chache basi utaona picha imefifia, zikiwa nyingi basi utaona picture ikiwa na quality nzuri.

INAMAHUSIANO GANI NA CAMERA.
Camera nayo ina resolution (pixels) yake ambayo haiingiliani kabisa na ya kioo cha simu sababu hii ya camera inapatikana kwenye sensor sio screen, japakua inamaanisha kitu kimoja na mwishowe huunganika kuleta kitu kimoja.

Mara nyingi unaweza ukute resolution ya camera ni kubwa zaidi ya screen, mfano
Screen ni 720*1080 na camera ni 1080*2440, ukipiga picha katika simu ya namna hii ina maana ubora wa picha umezidi uwezo wa kioo kukuonesha details kutoka kwenye picha ile,
Matokeo yake screen ita ji accommodate kuitoa 1080*2440 mpaka 720*1080, kwahio utaona picha katika ubora wa screen sio camera.
Au ndio ile unaona picha/video inakua cropped kanakua kadogo katikati ya screen, ukilazimisha ijae inapungua ubora, Mfano View attachment 1574843

Kimfano simu kubwa za kisasa hurecord videos mpaka za 8k(resolution ya 8000) lakini unakuta uwezo wa kioo ni 4k au chini.

Samsung Note 20 ultra, Ina camera ya 108Megapixels(1Megapixer = 1 mill pixers), resolution ya hii camera kwa upande wa PICHA ni 12,000×9,000=108,000,000 pixels, umeona hizo total pixels hapo?
Picha moja utakayopiga kwa hii simu ina Makadilio ya Mb 24,
Video yake utakayo record ina resolution ya 8k(7680×4320) pixels,
Uwezo wa kioo cha simu ni 3k(3088×1440) pixels,
Kwa hio, ukitumia simu kuangalia hio video au picha, vyote utaviona katika resolution ya 3k(3088×1440).

Wanaamini ukipiga picha au uki record video basi ukitaka kuiona vizuri tumia PC au TV kuangalizia(sisi wabongo simu ndio kila kitu, wenzetu mara nyingi huhamishia kwenye PC) amabayo unakuta ina resolution kama ya camera au zaidi..

Hapa nimetaja picha/video kama mfano sababu ndio sehemu kubwa ambayo watu huangalia, ila kwa ufupi resolution ita athiri ubora wa kila utakacho kiona kwenye screen yako, kuanzia maandishi na chochote kile unachoweza kuona kwenye simu..

Ona tofauti ya hizi picha hapo chini..

View attachment 1574837screenView attachment 1574834View attachment 1574835View attachment 1574836

NOTE : Uwezo wa jicho la binadamu max resolution anayoweza kuona ni 4k(ndio maana iphones wanajiteteaga hakuna haja ya kuweka resolution kubwa kwenye simu zao)., Hio 4k ni max na ni kwa yule mwenye eyesight nzuri, kama wewe una uwezo wa kuona pixels 1k, hutaona huo utofauti, uwekewe 1080p, uwekewe 4000p twende kazi.

Sasa basi kwenye hizo image hapo juu Ukiangalia huoni tofauti, jua na wewe uwezo wa jicho lako ku accommodate pixels katika picha upo limited kwa picha hizo(this is NOT joke).

Nimeandika hii comment usiku saa 10, kama kuna sehemu utaona utopolo ujue ni wenge,...

See you, ngoja nimuwahi mdeni wangu mlangoni, jana kaamka saa 10 : 30.
Kama kawaida yako mzee wa kufunga nyuzi, no room for questions.
 
Ipo hivi,
Resolution ni namba za pixels katika simu au camera sensor (pixels ni vijiboks vidogo sana ambavyo ndivyo huunda picha),
Kwa hiyo resolution kubwa inamaanisha pixels nyingi and vice versa.

Ukiona umeandikiwa resolution ya 720*1080
Ana maana upana(horizontal) kuna pixels (viboks) 720 na urefu(vertical) kuna pixels (viboks) 1080.

Hapa nazungumzia katika simu ambapo urefu unakua mkubwa na upana mdogo, kwenye tv/pc ni vice versa.

Sasa hizi pixels ndio zitakazo athiri ubora ya picture/video utakayoona,
Zikiwa chache basi utaona picha imefifia, zikiwa nyingi basi utaona picture ikiwa na quality nzuri.

INAMAHUSIANO GANI NA CAMERA.
Camera nayo ina resolution (pixels) yake ambayo haiingiliani kabisa na ya kioo cha simu sababu hii ya camera inapatikana kwenye sensor sio screen, japokuwa inamaanisha kitu kimoja na mwishowe huunganika kuleta kitu kimoja.

Mara nyingi resolution ya camera ni kubwa zaidi ya screen,

Simu kubwa za kisasa hu record videos mpaka za 8k(resolution ya 8000) lakini unakuta uwezo wa kioo ni 4k au chini.

Mfano Samsung Note 20 ultra, Ina camera ya 108Megapixels(1Megapixer = 1 mill pixers),

Resolution ya hii camera kwa upande wa PICHA ni 12,000×9,000=108,000,000 pixels,
Video yake utakayo record ina resolution ya 8k(7680×4320) pixels,
Uwezo wa kioo cha simu ni 3k(3088×1440) pixels,

Kwa hio, utatumia simu hii kupiga picha yenye resolution ya 12,000×9,000 na ku record video yenye resolution ya 8k(7680×4320),

Lakini ukitumia simu hii hii kuangalia hiyo video au picha, vyote utaviona katika resolution ya 3k(3088×1440).

Hii ina maana ubora wa picha umezidi uwezo wa kioo kukuonesha details kutoka kwenye picha ile,
Matokeo yake screen ita ji accommodate kuitoa kutoka 12,000×9000/7680×4320 MPAKA 3088×1440,

Kwa hiyo utaona picha katika ubora wa screen sio camera.
Au ndio ile unaona picha/video inakua cropped kanakua kadogo katikati ya screen, ukilazimisha ijae inapungua ubora, Mfano View attachment 1574843

Wanaamini ukipiga picha au uki record video basi ukitaka kuiona vizuri tumia PC au TV kuangalizia(sisi wabongo simu ndio kila kitu, wenzetu mara nyingi huhamishia kwenye PC) amabayo unakuta ina resolution kama ya camera au zaidi..

Hapa nimetaja picha/video kama mfano sababu ndio sehemu kubwa ambayo watu huangalia, ila kwa ufupi resolution ita athiri ubora wa kila utakacho kiona kwenye screen yako, kuanzia maandishi, icons na chochote kile unachoweza kuona kwenye simu..

Ona tofauti ya hizi picha hapo chini..

View attachment 1574837screenView attachment 1574834View attachment 1574835View attachment 1574836

NOTE : Uwezo wa jicho la binadamu max resolution anayoweza kuona ni 4k(ndio maana iphones wanajiteteaga hakuna haja ya kuweka resolution kubwa kwenye simu zao), Hio 4k ni max na ni kwa yule mwenye eyesight nzuri, kama wewe una uwezo wa kuona pixels 1k, hutaona huo utofauti, uwekewe 1080p, uwekewe 4000p hutaona tofauti.

Sasa basi kwenye hizo image hapo juu Ukiangalia huoni tofauti, jua na wewe uwezo wa jicho lako ku accommodate pixels katika picha upo limited kwa picha hizo(this is NOT joke).
Dah! Shukrani sana baba mzazi, ushamaliza kila kitu hata swali sina. Mzee baba kama wewe ni mwalimu basi ni wa kimataifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom