Resettlement of Ugandan refugees expelled from Tanzania in Kyegwegwa, UGANDA

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,522
1,045
Naheshimu nafasi na haki ya tanganyika kumfukuza yeyote watakao toka nchi yao lakini swali langu ni hili....... watanganyika wamejaa hapa kenya toka wachagga kuzagaa mombasa kupitia uamiaji haramu, chokoraa na wabeba boxi gikomba nairobi, waganga toka dar es saalam vibao vimejaa kwa vikingi vya stima nairobi, omba omba wa tanganyika kila siku unawachangia vicenti.... the list is endless na kila uchao wamewafukuza, wakenya, wanyarwanda, waganda na kadhalika. mbona hawajui omba omba wao wanarishwa na wanajumuia wa afrika masharki.....
spixei8m6evqnm43doj5644bb7a163eb.jpg

From left: A Tanzanian man and a woman said to be his wife together with people with disabilities suspected to have operated a racket on streets of major towns in Embu County to beg money from an oblivious public at Embu police station on November 12, 2015.
Read more at: Embu police unearth con racket involving beggers

Published on May 14, 2017
The resettlement of Ugandan returnees who were expelled from Tanzania is causing tension among people in Kyegegwa district in western Uganda. According to inhabitants, more than 5000 returnees sneak out of their camps and destroy their gardens and other properties. Former Tooro Kingdom Premier, Stephen Irumba claims that part of the land on which the returnees are settling belongs to him.The returnees

Hao omba omba ni wakenya wenzako huwaleta huko kwenu, wanawamwaga asubuhi Barabarani wanakuja wakusanya jioni, wanachukua chao.
 
Wafanya biashara wa tz walioko Kenya hawana tofauti na wakenya wanaofanya hapa biashara au walioajiriwa hapa! Wote wanafanya biashara na kazi kwa kufuata masharti ya uhamiaji! Ndo maana unaona wakenya walioko tz kihalali hawabugudhiwi, wala watz waliopo Kenya kihalali hawabugudhiwi!

Labda hujavuka mipaka ya Kenya hapo unaongea tu ukiwa umejifungia ndani kila siku!

Hao omba omba kama hamwafukuzi hiyo ni shida ya nchi yenu! Sijui kama sheria zenu zinaruhusu hiyo kazi, kama zinaruhusu, good for you, kama haziruhusu, get rid of them!

Kuhusu hao waganga wa kienyeji! He he heee, this is funny but I've to say it. Ni kwamba, wajinga ndio waliwao! Na kama hao waganga wapo kwa wingi huko it means nyie mnawataka sana ndo maana wanakimbilia huko baada ya serikali ya tz kuwawekea vikwazo!

Kama hamuendi kwa hao waganga wanafanya nini huko? Hela ya kulipa vibali wanaitoa wapi?

Soko la uganga kenya lipo juu, ngoja wawarubuni hizo hela zenu zisizo na macho.
 
If you have the evidence just evict them to their respective country/Tanzania or other countries where you believe they belong!

You and your government don't behave like a child.
 
Wafanya biashara wa tz walioko Kenya hawana tofauti na wakenya wanaofanya hapa biashara au walioajiriwa hapa! Wote wanafanya biashara na kazi kwa kufuata masharti ya uhamiaji! Ndo maana unaona wakenya walioko tz kihalali hawabugudhiwi, wala watz waliopo Kenya kihalali hawabugudhiwi!

Labda hujavuka mipaka ya Kenya hapo unaongea tu ukiwa umejifungia ndani kila siku!

Hao omba omba kama hamwafukuzi hiyo ni shida ya nchi yenu! Sijui kama sheria zenu zinaruhusu hiyo kazi, kama zinaruhusu, good for you, kama haziruhusu, get rid of them!

Kuhusu hao waganga wa kienyeji! He he heee, this is funny but I've to say it. Ni kwamba, wajinga ndio waliwao! Na kama hao waganga wapo kwa wingi huko it means nyie mnawataka sana ndo maana wanakimbilia huko baada ya serikali ya tz kuwawekea vikwazo!

Kama hamuendi kwa hao waganga wanafanya nini huko? Hela ya kulipa vibali wanaitoa wapi?

Soko la uganga kenya lipo juu, ngoja wawarubuni hizo hela zenu zisizo na macho.

Braza umenikonga. Maana umejibu hoja kwa hoja.
Bravo.

Hiyo nchi yao ndiyo inayoongoza kwa udhaifu wa sheria za uhamiaji katika ukanda huu wa eac asili. Kila mtu anaingia na kutoka nchini Kenya kama vyoo vya stendi vya zamani. Maana nowadays lazima usimame ili ulipie kabla ya kuingia. Huko kwao ni shida.... imekuwa kama usharoba wa kupitia wahalifu na wahamiaji haramu. Ndiyo maana wasomali na waethiopia tunawakama wengi sana huku. Kungekuwa na udhibiti mahsusi na imara wa mipakani na ndani ya nchi, usingeliwaona Ethiopians na Somalis huku.

Waganga wa kienyeji huku wameshapigwa stop bila leseni no practicing. Sasa huko Kenya demand ni kubwa sana ndiyo maana wakina dokta mputu wa mpututoka wanakuja kwa kasi ya ajabu huko Nairobi.
 
Ni kweli mkuu! Hao wanaopiga kelele humu kila siku ndo wateja wa hao waganga, maana wanataka vya mteremko sana!

Halafu suala la udhaifu wa idara yao ya uhamiaji ndo linasababisha hata kunakuwa na matukio mengi ya kigaidi maana magaidi wanatumia mianya hiyo kurahisisha vitendo vyao
 
Back
Top Bottom