AKASINOZO
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 1,367
- 2,217
Kwa watu ambao wamefanya utafiti 'Research' iwe social ,economic,political au Scientific ... Lengo lao kubwa nini ? Nita ainisha machache
~ kugundua tatizo lilopo au ambalo litaweza kujitokeza kwenye jamii husika.
~kupata suluhisho la tatizo lilipo au lijalo
~ kuweka jamii husika wakae wapo makini `attension` ya kitu flan mfano jangwa au tetemeko la ardhi au ugonjwa n.k
~ kuwezesha researcher wengine kuendeleza pale palipo ishia mf mzuri ni mtu aliye gundua miale ya X -rays n.k
My take yangu
tungeacha watafiti wakafanya kazi zao kwa taluma zao Labda Tanzania ndo ingekuwa nchi ya kwanza kupata dawa ya kudumu ya kirus cha zika lakin kwa hili hadi wale wachini wanaweza kuogopa kuendeleza hapo tusiwakatishe watu nia zao
namalizia kwa kusema
No research no Right to speak
NULL HYPOTHESIS
YOUNG ENVIRONMENTAL RESEARCHER