Research is nullified by Research

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,217
2,000
Kwa watu ambao wamefanya utafiti 'Research' iwe social ,economic,political au Scientific ... Lengo lao kubwa nini ? Nita ainisha machache

~ kugundua tatizo lilopo au ambalo litaweza kujitokeza kwenye jamii husika.

~kupata suluhisho la tatizo lilipo au lijalo
~ kuweka jamii husika wakae wapo makini `attension` ya kitu flan mfano jangwa au tetemeko la ardhi au ugonjwa n.k
~ kuwezesha researcher wengine kuendeleza pale palipo ishia mf mzuri ni mtu aliye gundua miale ya X -rays n.k

My take yangu
tungeacha watafiti wakafanya kazi zao kwa taluma zao Labda Tanzania ndo ingekuwa nchi ya kwanza kupata dawa ya kudumu ya kirus cha zika lakin kwa hili hadi wale wachini wanaweza kuogopa kuendeleza hapo tusiwakatishe watu nia zao
namalizia kwa kusema

No research no Right to speak

NULL HYPOTHESIS

YOUNG ENVIRONMENTAL RESEARCHER
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
24,829
2,000
N

Na ndicho kilochofanyika madaktari wanaotibu wagonjwa wamesema hawajawahi ona mgonjwa wa zika mahospitalini hata siku moja
 
SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
374
500

Kwa hiyo leo mtu akija kuutangazia Umma wa Watanzania kwamba amegundua maambukizi ya 'Small pox' kwa mfano, Wizara ikae kimya mpaka nayo ifanye research ndo imjibu! Think outside the box....Kuna Sheria, taratibu na Miongozo ya kila kitu kwenye nchi hii...Hata hao RESEARCHERS wana namna yao ya kuwasiliana na kupeana findings zao through 'Publications', lkn inapokuja kwenye issue ya PUBLIC, zipo namna za kuwasilisha
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,804
2,000
Which type of error have you committed with your null hypothesis, i.e.Type I error or type II error? (joke)
---------------
Tafiti mfanye lakini mfuate utaratibu wa kutoa matokeo.
 
MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
2,328
2,000
N

Na ndicho kilochofanyika madaktari wanaotibu wagonjwa wamesema hawajawahi ona mgonjwa wa zika mahospitalini hata siku moja

Mkuu Kuna watoto Mara nyingi wapo kariakoo au ferry ya kigamboni mama Ana watoto kama watatu ile ni zika, hao madaktari wanaosema hawajawahi kumtibu mgonjwa wa zika vipimo wanavyo?,
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,311
2,000
Dr.Mwele Malecela amevuna alichopanda.
Wamemtega na kumnasa
Walitaka kufanya kama Dengue,fake ili ku diverge attention za watu kutoka ##FreeMaxence na ###BringBenSaanae alive plus miili iliyoopolewa river Ruvu.
Wakaona kukubalina na Dr.kungeligharimu zaidi,basi wakamtosa mzimamzima as if haikuwa gemu kumbe bado gemu limechezwa bila ya yeye Mwele kujua baadhi ya kanuni za gemu.
Kwani WHO ilitutangazia mlipuko wa Degue fever...Games.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
5,771
2,000
Dr.Mwele Malecela amevuna alichopanda.
Wamemtega na kumnasa
Walitaka kufanya kama Dengue,fake ili ku diverge attention za watu kutoka ##FreeMaxence na ###BringBenSaanae alive plus miili iliyoopolewa river Ruvu.
Wakaona kukubalina na Dr.kungeligharimu zaidi,basi wakamtosa mzimamzima as if haikuwa gemu kumbe bado gemu limechezwa bila ya yeye Mwele kujua baadhi ya kanuni za gemu.
Kwani WHO ilitutangazia mlipuko wa Degue fever...Games.
Free thinking!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom