Required:ddr ram ya mac

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Nina laptop ya mac Power book G5 Panther version 1.3.8 ram imeharibika. Ninasema hivyo kwa kuwa computer haitaki kuwaka na in beep mara tatu which means RAM is dead.

Nimejaribu kwenda Elite computer wameniambia hawana nikawacha contacts zangu mpaka leo hawajanipigia.

Kwa kuwa nilishawahi kuona thread za Mac nina imani nitapata wana JF watoakao nisaidia coz ni muda mrefu sasa natafuta hiyo RAM sijaipata.

Full specification zilizoandikwa kwenye hiyo RAM is as follows:

PC2700S-2533-1-Z

512MB, DDR, 333, CL2.5

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom