Republicans wachagua Black wa kwanza kukiongoza chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Republicans wachagua Black wa kwanza kukiongoza chama

Discussion in 'International Forum' started by Hofstede, Jan 31, 2009.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Inawezekana baada ya kuona Obama amepata mafanikio makubwa hasa katika uchaguzi na kuandikisha wanachama wapya GOP nao wamemkabidhi mikoba Mr Steele kuwa first Balck American to Chair the Part.

  More Bonyeza hapa
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  This is a Republican Party's cynical attempt to win black votes in 2012 ..
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ....ha ha ha, 'migeza-geza' hiyooooooooooo!!

  ....anatokea wapi, Alabama au Alaska?!!!!! :) :D
  ....wangemchukua hata NN angewafaa tu... lol
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Black is "in"!!!!!
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya Sarah Palin for Hillary and now Steele for Obama hahaha. Hawa jamaa kweli hawana mwelekeo sasa hivi, Uongozi hawana sasa hivi wanafanya kazi kwa kumsikiliza yule Racist Rush Limbaugh, eti ndiyo kiongozi wao akisema jambo wanafuata tu.
   
  Last edited: Feb 1, 2009
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Rush is not a racist. Nyinyi ndio racists. Hebu nitajie kitu hata kimoja ambacho Rush amewahi kukisema au kukifanya kinachomfanya yeye awe "racist". Nitajie kimoja na utoe ushahidi....
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa...you got jokes man...Ila sijui kwa nini unanishikia bango sana na mtazamo wangu wa kiitikadi. I guess kwa vile mimi ni mweusi nilitakiwa moja kwa moja bila kuhoji chochote kuunga mkono chama kinachoungwa mkono na weusi wengi achilia mbali kanuni....too bad nilipewa uwezo (sijui na nani kati ya wazazi wangu, Mungu, au nini) wa ku independently form my own opinions....Ila pouwa tu, watakaoniita mimi sijipendi au ni mbaguzi sawa tu, wana haki ya kuona (kuwa na maoni) hivyo na wala hilo halinisumbui kwani lingekuwa linanisumbua ningekuwa nimeshajiunga na hao kina "me too" crowd.

  But you know what, yours truly would've made a better chair than Michael Steele....
   
  Last edited: Jan 31, 2009
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jan 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Wala sio hivyo!

  Halafu Democraps wamewafanyia nini weusi? Maana kwenye predominantly black areas ni Democraps ndio wana power lakini rumba bado kali kishenzi hadi baadhi yao wanahamia suburban areas ambako kunaendeshwa na Republicans....

  Schoold districts zinazoongozwa na Democraps zinapoteza accreditation, uhalifu wa kila aina ni wa kupindukia....

  Anyway, Messiah yupo White House ni kila kitu kitakuwa transformed....ooooh I can't wait
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Steve,
  Huyu alikuwa lt. governor hapa Maryland lakini tukawaangusha katika uchaguzi wa 2006. Ni kweli tusingekuwa na Black Democrat kwenye White House Republicans wasingemchagua Steele. Unakumbukawalivyomwekea mizengwe Collin Powell alipoanza tu kugusia uwezekano wa kugombea urais?
  I guess for a party that is in the wilderness it is the best they could do for now.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,744
  Likes Received: 82,684
  Trophy Points: 280
  Limbaugh resigns over McNabb comments
  Thursday, October 2, 2003 Posted: 2:27 PM EDT (1827 GMT)

  (CNN) -- Amid a storm of controversy over his racially charged comments on a weekend TV show, conservative commentator and radio talk show host Rush Limbaugh announced on Thursday that he had resigned from his post at ESPN.

  Limbaugh said on Thursday he stepped down late Wednesday from the show "Sunday NFL Countdown" to protect the network from the uproar caused by his statement that Philadelphia Eagles quarterback Donovan McNabb was overrated because the media wanted to see a black quarterback succeed.

  McNabb said Wednesday that he didn't mind criticism of his performance, but was upset that Limbaugh made his race an issue and said it was too late for an apology.

  "It's somewhat shocking to hear that on national TV from him," McNabb said. "It's not something that I can sit here and say won't bother me."

  On Thursday, Limbaugh told the National Association of Broadcasters at a convention in Philadelphia, "The great people at ESPN did not want to deal with this kind of reaction."

  At the convention Limbaugh did not directly address questions about his name being linked by law enforcement sources to an investigation into a black market drug ring in Palm Beach County, Florida.

  The sources said Thursday that authorities are looking into the illegal sales of prescription drugs OxyContin and hydrocodone.

  Law enforcement sources said Limbaugh, who has a home in Palm Beach, is not the focus of the investigation. His name came up as a possible buyer, the sources said, during a two-year probe of a suspected multimillion-dollar black market operation.

  A spokesman for the state attorney's office in Palm Beach said his office could "not confirm or deny" that Limbaugh's name has come up as part of the investigation.

  Limbaugh said in a statement released Thursday: "I am unaware of any investigation by any authorities involving me. No governmental representative has contacted me directly or indirectly. If my assistance is required in the future, I will, of course, cooperate fully."

  The statement was issued by Premiere Radio Networks, which syndicates the "Rush Limbaugh Show."
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  "Alipomshambulia Powel kuwa kamu endorse Obama because of his race", huo ni mmoja tu je kama yeye anaona kuwa Colin Powel kamu endorse Obama because of his race ni kwa nini yeye Rash asionekane anampinga Obama pia kwa sababu ya race. Huyu jamaa ni racist hasa hata wewe akikuona lazima akublast Msikilize hapa tena Una la ziada hapo!!
   
  Last edited: Jan 31, 2009
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Feb 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Alichosema Rush kuhusu McNabb ni kweli na hakuna racism hata kidogo. Uzuri au ubaya wa Rush ni hayuko politically correct.

  McNabb yuko overrated. Na hicho hicho alichosema Rush angesema Stephen A. Smith wala kusingekuwa na uproar...

  Double standard iliyopo ni ya hali ya juu!
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,744
  Likes Received: 82,684
  Trophy Points: 280
  Siku zote anataka kuona Black people hawapati mafanikio kwa lolote lile, sijamsikia hata siku moja akitamka kwamba anataka mzungu yeyote yule asifanikiwe kwa chochote anachokifanya. Juzi juzi pia katamka kwamba "I want Obama to fail" Kama huu si ubaguzi wa rangi sijui ni nini tena. Ni racist wa hali ya juu anayependa kuona kila kukicha watu weusi hawafanikiwi. Obama ni Rais Wamarekani wote wakiwamo Wazungu, Weusi, Waasia, Latino, Republicans and Democrats.

  McNabb hayuko overrated juzi tu kacheza katika Fainali ya conference yao, kitu ambacho QB wengi wazungu hawakufanikiwa akiwamo Peyton Manning ambaye mwaka 2004 alivunja rekodi ya Dan Marino.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Feb 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Whaat!?!? I want Obama to fail too so we can get a solid conservative in the White House. Halafu wale wazungu na weusi walokuwa wanataka Bush afeli nao ni wabaguzi? Unajua Bubu wewe wakati mwingine inakuwaga vigumu sana ku-reason na wewe aaah....

  Haya kesho ni Super Bowl na Steelers wana kocha mweusi na Rush ni bonge lashabiki wa Steelers na atakuwa ndani ya nyumba. Angekuwa mbaguzi basi ange-root kwa Cardinals ambao wana kocha mweupe!

  Okay, kama Stephen A. Smith ndo angesema kuwa McNabb yuko overrated bado ungelalama ubaguzi? Au humjui Stephen A. Smith ni nani?
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,744
  Likes Received: 82,684
  Trophy Points: 280
  Tunamjadili Rush Racist Limbaugh na siyo wazungu wengine. Kichaka miaka minane ameiacha nchi nyeng'e nyeng'e kiuchumi, kijeshi na hata reputation imeanguka vibaya sana. Simuoni Conservative yoyote yule wa kuinyanyua tena Marekani maana wao wanachojua ni kuanzisha vita tu kila kukicha na ndiyo sababu ushindi wa Obama umeshangiliwa sana duniani kote kwa kuwa watu wana matumaini kwamba miaka minne ijayo kutakuwa na sera tofauti badala ya sera za kivamizi kwa kutunga uwongo ili kuhalalisha uvamizi.

  Stephen Smith hawezi kutamka hayo maana anajua MCNabb hayuko overrated vinginevyo owner wa Philly angesha mtaka kocha amuweke bench na hatimaye kupewa pink slip. Kamwe hutamsikia Racist Limbaugh akimsifia kocha wa Steelers ambaye ni mweusi hata wakishinda kesho atakuwa radhi kumsifia owner au QB ambao ni wazungu.
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,744
  Likes Received: 82,684
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha....Baadhi ya Miafrika namely Nyani Ngabu, LeanBack, Boob Man etc ndivyo ilivyo!!! :)....Badala ya kumfagilia Mwafrika mwenzao ambaye ameweka historia ya kuwa Mweusi wa Kwanza kuupata Urais wa Marekani katika historia ya Marekani tangu ipate uhuru miaka 232 iliyopita bado wanasali kwa nguvu na motisha ili asifanikiwe katika kipindi chake cha kuwa madarakani kwa miaka minne.

  Kuchaguliwa kwa Obama kumepokelewa dunia nzima kwa shangwe, hoi hoi na furaha kubwa kila kona ya dunia yetu na watu wa rangi mbali mbali wakiwemo Wazungu, lakini bado iko miafrika inataka Obama ashindwe!!!!

  Weusi tusipojifagilia wenyewe na kumuombea Obama afanikiwe ili wazungu katika nchi mbali kama UK, Australia, France n.k. waone kumbe hata weusi wanaweza kuongoza Taifa kubwa basi ujue fika hakuna mwingine yeyote atakayetufagilia.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Feb 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Eewaaaaa....unaona sasa? Tofauti yetu mimi na wewe ni kuwa wewe unaangalia ngozi ya rangi ya mtu na mimi naangalia (nasukumwa zaidi na) itikadi bila kujali rangi ya ngozi! Nakushukuru kwa kuliweka hilo bayana.

  I've gotten over this issue of race long ago but you seem to have not. Actually it has never been an issues for me.

  So you want every black person in the whole wide world to support Obama just because he is considered black (even though he is half white and half black)?

  Do you have any core values and principles that define who you are? Me, I do and I don't compromise them for nothing. Halafu eti unasema weusi tusipojifagilia, tusipojifagilia nini? Since when have we (black people) become monolithic? Surely, white people aren't monolithic, so why should we? We are just as diverse as anyone else and we don't all think the same Bubu, get it? Obviously you don't!
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,744
  Likes Received: 82,684
  Trophy Points: 280
  Republicans wana itikadi? tangu lini? Kama mna itikadi zinazokubalika na Wamarekani Obama asingeshinda usindi mkubwa wa Tsunami na Kichaka kuiangusha reputaion ya US kila kona ya dunia hata kwa marafiki wa Marekani. Nyani wa Ngabu, usipothamini rangi yako nani mwingine atakayethamini rangi yako? Hata wazungu wamarekani na nchi nyingine walilia machozi ya furaha kuona Obama anachaguliwa kitu ambacho wengi hawakutegemea kukiona maishani mwao, lakini wewe Nyani ngabu....baadhi ya miafrika ndivyo ilivyo....:)

  I've gotten over this issue of race long ago but you seem to have not. Actually it has never been an issues for me.

  Sera zake zinakubalika na wengi na hata wazungu pia, ndiyo maana kapata ushindi wa Tsunami ambao hata Clinton hakuupata 1992 na 1996. Waliochagua hawakuangalia rangi ya ngozi peke yake.

  Do you have any core values and principles that define who you are? Me, I do and I don't compromise them for nothing. Halafu eti unasema weusi tusipojifagilia, tusipojifagilia nini? Since when have we (black people) become monolithic? Surely, white people aren't monolithic, so why should we? We are just as diverse as anyone else and we don't all think the same Bubu, get it? Obviously you don't![/QUOTE]

  Anapotokea mweusi mwenzetu anayekubalika na asilimia kubwa ya Walimwengu duniani siyo kwa sababu ya ngozi yake bali sera zake ambazo zinakubalika na Walimwengu wengi kama vile kukaa chini na hawa 'maadui' wa Marekani ili kutafuta suluhisho la uadui yao badala ya kuwa na sera za kibabe za kuangusha mabomu tu na kuua maelfu ya watu wasiokuwa na hatia, basi hatuna budi ya kumuunga mkono. Labda mwenzetu unafurahia sera za kibabe za Republicans za uvamizi kila kukicha na kuua raia wasio na hatia, sera ambazo haziwajali maskini hata ndani ya Marekani, sera ambazo zimeiacha Mareakani katika hali mbaya sana kiuchumi na kijeshi. Labda mwenzetu unaunga mkono sera zilizoshindwa na ushindi wa kutosha kuhusu kushindwa kwa sera za Republicand umejaa tele. Haya NN, mimi naangalia mpira...:)
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Feb 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Anapotokea mweusi mwenzetu anayekubalika na asilimia kubwa ya Walimwengu duniani siyo kwa sababu ya ngozi yake bali sera zake ambazo zinakubalika na Walimwengu wengi kama vile kukaa chini na hawa 'maadui' wa Marekani ili kutafuta suluhisho la uadui yao badala ya kuwa na sera za kibabe za kuangusha mabomu tu na kuua maelfu ya watu wasiokuwa na hatia, basi hatuna budi ya kumuunga mkono. Labda mwenzetu unafurahia sera za kibabe za Republicans za uvamizi kila kukicha na kuua raia wasio na hatia, sera ambazo haziwajali maskini hata ndani ya Marekani, sera ambazo zimeiacha Mareakani katika hali mbaya sana kiuchumi na kijeshi. Labda mwenzetu unaunga mkono sera zilizoshindwa na ushindi wa kutosha kuhusu kushindwa kwa sera za Republicand umejaa tele. Haya NN, mimi naangalia mpira...:)[/quote]

  Kwanza kabisa, Obama kachaguliwa kwa sababu watu hawakuangalia suala la rangi kitu ambacho mimi ndio ninakipigia debe. Randi haihusiana na kitu chochote na ndio maana mimi siangalii rangi. Haijalishi mtu rangi yake ni nini. Ninachojali ni je, mtu huyu anasimama wapi katika mambo ambayo yana umuhimu kwangu.

  Sijasema wala kudokeza popote pale kuwa sithamini au sijivunii nilivyo. Sijui hilo wazo umelitoa wapi. Labda kwa vile sikumuunga mkono Obama na kwa vile mimi ni mweusi basi wewe ukatafsiri kuwa mimi sijithamini na sijivunii rangi yangu. What can I say if that is your reasoning? Oh well....you are entitled to any opinion you want to have of me...

  Sasa tuje kwenye itikadi. Ndio, Republican wana itikadi lakini kwenye miaka hii ya karibuni walibweteka na madaraka, wakawa watu wa big governement, incompetency, na mengineyo kama hayo na matokeo yake wamelipa gharama kwenye sanduku la kura. They lost their way and now they are trying to find it. Democrats have been there too. It is just a fact of life in American politics. Usidhani hata kidogo kuwa Democrats watakaa madarakani milele. Bush 41 alishinda majimbo 40 kati ya 50 mwaka 88 na baada ya Operation Desert Storm approval rating yake ilifikia asilimia 90 na kitu only to lose Bill Clinton the following year....

  Kama unabisha hawana itikadi, hebu rudi nyuma kidogo uangalie bigest landslides katika historia ya Marekani. Hivi unadhani zilipatikana bila kuwa na itikadi yoyote, bila kusimamia kanuni zozote zile? Hivi unadhani Reagan kushinda majimbo 49 kati ya 50 ilikuwa bahati nasibu tu? Halafu eti unadai ushindi wa Obama ni wa Ki-Tsunami...Bubu, you can't be serious dude...Nixon na Reagan walipataga 500+ electoral votes....now those are landslides of Tsunami proportions. Blueprint ya landslides wanayo Republican...Democrats hawana.
   
 20. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  You forgot the lyrics "Obama the magic negro"?
   
Loading...