Republic of China’s Vice-Premier, Mr Hui Liangyu to jet in Dar es Salaam for a two-day visit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Republic of China’s Vice-Premier, Mr Hui Liangyu to jet in Dar es Salaam for a two-day visit

Discussion in 'International Forum' started by R.B, Sep 5, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  [h=3]The People’s Republic of China’s Vice-Premier, Mr Hui Liangyu is expected to jet in Dar es Salaam for a two-day visit to hold talks with national leaders on various issues including agriculture cooperation for joint response to global food crisis.[/h] [​IMG]'
  The People’s Republic of China’s Vice-Premier, Mr Hui Liangyu  During his visit Mr Hui will also address the issue of pushing forward political, economic and people-to-people exchanges and cooperation. A press release issued by the Chinese Embassy in Dar es Salaam said the two countries will also sign agreements and Memorandums of Understanding (MoU) in areas of great concern to Tanzania, such as agriculture, food security and energy and infrastructure construction.

  The Chinese Vice-Premier will be in the country on the invitation of Prime Minister Mr Mizengo Pinda.“The visit is expected to implement new measures announced by the Chinese government in line with the guidance of the fifth Ministerial Conference of the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) and further push forward China-Tanzania comprehensive cooperation,” said the statement.
  The visit by a high level Chinese delegation to Tanzania is the first in Africa after the conclusion of the fifth FOCAC Ministerial Conference recently. “It is the concrete action by Chinese government to implement the new measures. This visit will surely promote China-Tanzania relationship to a higher level,” the press release said in part.
  The fifth FOCAC Ministerial Conference concluded successfully in Beijing on July 20, this year. Chinese President Hu Jintao delivered a speech during the event, reiterating that the Chinese government would continue supporting the cause of peace and development in Africa and boost the new type of China-Africa strategic partnership.
  In his speech, President Hu announced that within the next three years the Chinese government would take new measures of China-Africa cooperation in five priority areas such as investment and financing, assistance, African integration, people-to-people friendship and peace and stability, which were widely welcomed and acclaimed by African countries.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  These were true friends and friends indeed...wametusaidia sana kwenye mambo mengi ya uchumi, ulinzi na usalama. Naona tumeanza kuwatupa mkono...tumewapokea waamerika. wale watatupa bunduki mkono wa kulia na mkono wa kushoto watatuletea war lords. halafu wanakaa katikati wakivuna mali zetu.
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tuna mengi ya kujifunza kwa hawa jamaa manake walikuwa kama sisi lkn sasa hata us wanawaogopa.
  Hawa ndio watu wa kushirikiana nao kuliko mmarekani aliyejaa unafik.
   
 4. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Anakuja pia kusaini mikataba ya kununua migodi ya Barrick.jamaa hawa ni wazuri kama watasimamiwa vizuri kwenye kazi zao tatizo serikali yetu itawaachia na hapo ndipo nchi yetu itakuwa DAMPO la vitu FAKE.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  migodi ya barrick haiwezi kununuliwa kwasababu wamegundua dhahabu nyingi sana huko sengerema zaidi ya ile iliyokuwepo Bulyanhulu. kama tz tutakuwa na mafut ana gesi, hawa jamaa wa kichina watakuwa bora kuingia nao biashara au mikataba kuliko hata wamagaribi, kwasababu kwanza nchi yao inahitaji mafuta na gesi kwa wingi sana kwaajili ya viwanda vyao vilivyo vingi mno, na nchi kama iran iliyokuwa inasupply kwa wingi mafuta kule zinatiliwa vikwazo hivyo hapo ingekuwa nafasi yetu kufanya biashara na hawa kama tungekuwa tumeingia mikataba nao na kama hiyo gesi iliyogunduliwa ingekuwa mikononi mwetu...najua iko mikononi mwa wafanyabiashara wa ulaya hivo wao ndo wanaweza kuamua wamuuzie mchina au mmagaribi.
   
 6. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Hata mimi hili linanishangaza sana, Wamerikani hawawezi kukujengea kiwanda i.e hawana nia thabiti ya kuendeleza dunia za tatu, sana sana watakupa dawa za ARV na vyandalua na kutoa misaada kidogo ya kukarabati mahospitali basi; yaani misaada yao ukilinganisha na uchumi wao mtu unaona wazi wazi hawa jamaa si watu wa kutegemea.

  Ndugu zetu wa Kenya hilo wamekwisha liona sana - sasa hivi wanashirikiana na Wachina vilivyo, awaendi kwa Wachina na maneno matupu, wanakwenda wakiwa na plan kamili za project ambazo wangeomba Wachina wawasaidie na inapowezekana Kenya wanachukuwa mkopo wa nafuu kutoka kwa Wachina ili wafanikishe Projects zao za maendeleo! Muda si mrefu Kenya itakuwa inapaa sisi tunabaki kuwa obsessed na nchi za magharibi.

  Mimi
  kama Mtanzania ningempa ushauri Waziri mkuu Mh.Pinda akae chini na Mh.Mwakyembe wapange mikakati ya kumuingia kwa gia kubwa Vice Premier - wahachane na mambo mengine wamuombe atusaidie kujenga upya PERMANENT WAY ya reli ya kati, Wachina wana uwezo wa kufanikisha hilo ndani ya miaka miwili - ballast zinapatikana hapa nchini na nasikia Wachina wana mashine za kusaga kokoto huko Dodoma, mataluma/sleepers yanaweza kuwa fabricated/miminwa Mbeya, Je hilo hamlijuhi? kitu cha kuhagiza Uchina ni reli TU - sasa tuna suha suha nini lakini? Hivi atuelewi umuhimu wa reli??? Waswahili tulivyo unaweza kukuta watu wamekwisha jipanga kuhagizia vitu hivi kutoka Ulaya au Merikani tulipe mara kumi ya thamani halisi - huu umekwisha kuwa utamaduni.

  Wakati mwingine priorities zetu kimaendeleo nazionaga ni za ajabu sana, sikuona mantiki ya kuangahika na KILIMO KWANZA badala ya kujikita kwenye Ufufuaji na ujezi wa viwanda tunahangahika na kuchapisha vipeperusi vya kilimo kwanza na kurundika matrekta kutoka nchi fulani tu - hivi mpaka sasa hivi tunaweza kuonyesha hizo buzz word za kilimo kwanza zimelifikisha wapi Taifa letu kimaendeleo zaidi ya wajanja kufanya timing kujinufahisha tu - hawana commitment yoyote na KILIMO KWANZA. Mnaweza kutueleza ni nchi gani za ASIA au Ulaya/Merikani zime endelea kwa kutegemea kilimo tu, mimi ningekuwa na mamlaka mambo ya kilimo kwanza ningekuwa nimekwisha yapiga PANGA siku nyingi TU, Jengeni viwanda ili ajila iongezeke.
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  umenena mkuu. Reli ya kati ona ilivyo tofauti na reli ya Tazara ambayo wachina walijenga. wachina wakipewa dili hilo itakuwa afadhali, kama si hao basi tuwape wajeremani.
   
 8. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Wachina mkuu ndio watafanya kazi fasta, kumbuka Wachina hawajali wanapo ishi hata ikiwa porini wanapiga kambi tu na kula mzigo; Wajerumani ni tofauti kidogo, wenyewe watataka kuishi in a five star Hotel, kwenye site wanataka waende na ndege za kukodi - na wata hakikisha mradi unachukuwa muda mrefu kidogo ili wanufahike; hupo hapo MKUU.
   
 9. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli Wachina watakuwa na mazungumzo na Kampuni ya Barrick kuhuziwa au kuingia ubia nao katika baadhi ya migodi hapa Tanzania au kuinunua kabisa. Kumbuka Uchina sasa hivi ina fedha za kununulia kitu chochote DUNIANI, na ili si kwa nchi za Africa tu hata Ulaya na Merikani.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,975
  Trophy Points: 280
  Bukyanagandi Ubungoubungo,

  ..kwa maoni yangu Wachina wa miaka hii siyo wale wa zama zile walipojenga reli ya Tazara.

  ..Wachina wa sasa hivi wapo kibiashara zaidi hivyo tunapaswa kuwa makini tunapo-deal nao.

  ..serikali za nchi za kiafrika zinawapenda Wachina kwa sasa hivi kwasababu pesa/mikopo ya Mchina haiko-attached na masuala ya mazingira, haki za binadamu, au hata utawala bora.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe kwamba wachina wa siku hizi wako tofauti kidogo na wa zamani, lakini hapa tunazungumzia Projects zinazo simamiwa na Serikali ya China na sio makampuni binafsi ya Wachina - katika hilo Wachina wanakuwa makini sana hawafanyi MCHEZO.

  Kuonyesha kwamba Wachina kweli wamebadilika - juzi juzi hapa niliona Wachina wengi tu wametiwa pingu wanakuwa deported kurudi kwao kutoka Angola - wakituhumiwa kuhusika na wizi wa kutimia silaha na umalaya!!!! Serikali ya Angola ikishirikiana na Seriakali ya Uchina walifanikuwa kuwatia nguvuni - wakiwasili kwao watakula shaba tu mkuu.

  Back to the point, miradi kama ya reli ni Serikali ndizo zinazo kubaliana kutekeleza miradi mikubwa kama hiyo sio makampuni binafsi ya Kichina, katika hilo Wachina wako makini sana hawawezi kuleta ujanja, wakigundulika wanayongwa bila simile - niliwahi kuelezwa kuhusu uwanja mpya wa Taifa wa Michezo nasikia Mchina aliye kuwa anasimamia project hiyo alihingia matatani sijuhi kama ni mzima.

  Mkuu tukikaa kufikilia masuala ya mazingira/haki za binadamu/utawala bora tutachelewa kukarabati reli ya kati, tunachotaka sasa hivi ni reli, hayo mambo ya siasa baadae mkuu. Labda nikuhulize kitu, hivi unajuwa nchi za magharibi ambazo ziko vocal kuhusu mazingira ndizo wachafuzi wa mazingira walio bobea? Kwa nini Merikani ilikataa kuweka sahii kwenye mkataba wa Kyoto? Kwa nini Merikani raia wanaishi kama wako ndani ya semi-police state? wana-check e-mail za raia wake, wana-tap simu zao, wanasingizia watu mambo ya uzushi tu, profiling coloured people na watu ambao si wa dini za kikristo - taifa kama hilo linaweza kweli kusimama kifua mbele na kujigamba kuhusu haki za binadamu na utawala bora na kuwalahumu Wachina!!!
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  talking from a direct person au kutoka kwa news from third party? nasema hivi kwasababu kuuza barrick si rahisi kabisa, barrick wanapata hela sana na dhahabu wanavuna sana hivyo sioni kama watahitaji ubia na wachina hata siku moja...labda sio wacanada wa Toronto hawa. sisi wengine tuko involved sana na barrick, hata jana nilikuwa kahama...so uwe na uhakika usiwe unaongea kwa kukisia tu, labda kwa kuona mataifa ya ulaya yamefilisika yakahitaji support ya china, kumbe barrick si watu wa ulaya, ni wakanada wa amerika ya kaskazini. torontoooo
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Wale matapeli wetu watakubali iende kwa mchina au mjerumani? Watapiga fitna tu ili wahararishe kuwapa wawekezaji toka chang'ombe wakitumia waajiriwa toka India.
   
 14. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mbona unanishangaza mkuu, kwani unafikili Barrick ni kampuni inayo ongozwa ma malahika - hiko peponi haiwezi kukubwa na misikosuko kama makampuni mengine duniani kwa kuwa makao yake Makuu yako Toronto Canada? wewe kwa nje unaweza kufikili wana-make hyper-profit kumbe na wao wana matatizo yao; kwa nini watu waone ajabu China kununua Barrick, wakati Wachina hao hao wana machimbo makubwa ya madini nchini Australia! Wachina hao hao waliwahi kuwapa tafu Wamerikani itakuwa Canada bwana! Inawezekana huko involved sana na Barrick lakini siyo lazima wa-disclose kila kitu - mambo mengine yanajulikana kwa inner circle tu.

  Nimeandika haya baada ya wewe kusema kwamba sina hakika ninayo ongea nakurupuka tu, unawezaje kuzodoa watu ambao huwajuhi vizuri wala hajawahi kukutana nao. Niliyo andika humu kuhusu Barrick nina uhakika nayo - habari hizi zimeandikwa kwenye magazeti ya kimataifa yanayo heshimika siyo tabloid.

  Hebu jaribu kusoma habari hii hapa chini:

  Barrick Gold in talks to sell Africa stake to Chinese

  LONDON (Reuters)
  Canadian mining major Barrick Gold is in talks to sell all or part of its 74 percent stake in African Barrick Gold to China's largest gold producer, just two years after the underperforming Tanzanian assets were spun off!!!!!.

  News of the early-stage talks with China National Gold Group sent African Barrick Gold shares up more than 13 percent in early London trade on Thursday, as investors bet on a sale at a premium.
  Barrick, the world's largest gold producer which is grappling with falling profits and soaring costs, abruptly replaced its chief executive in June. His successor, Jamie Sokalsky, is reviewing the company's operations - including the African unit, which has lagged expectations since it was listed separately in London in 2010.

  African Barrick Gold, whose shares at Wednesday's close were almost a third below their listing price, is one of Africa's largest gold miners. It has suffered a series of setbacks over the past two years, ranging from villagers armed with machetes invading its North Mara mine to power outages and fuel thefts.

  "Discussions are at an early stage, and there can be no certainty that these discussions will result in the acquisition of all or part of Barrick's holding in ABG," Barrick Gold said, confirming an earlier report. At Wednesday's closing price the 74 percent stake was worth almost $1.9 billion.
  An offer for more than 30 percent of African Barrick Gold would trigger a full takeover offer for Tanzania's largest gold producer from the Chinese suitor, under UK takeover rules.
  "African Barrick has always looked like it offered good value albeit at a high risk, and if the potential acquirer can get the asset and is comfortable with the risk, you will be able to get a reasonable set of assets for a good price," Investec analyst Hunter Hillcoat said.
  ABG shares were trading up 9.3 percent at 430 pence at 0856 GMT, outperforming a 0.6 percent rise in the broader UK mining sector.
  If recent gold deals are a guide, analysts said ABG could expect an offer at a premium - and potentially above 500 pence - for assets which include mines North Mara, Bulyanhulu, Buzwagi and Tulawaka, all in Tanzania. ABG currently produces around 700,000 ounces of gold a year and is targeting 1 million by 2014.
  Analysts at Nomura said recent gold transactions had an average takeover premium of 40 percent, with Endeavour Mining's recent offer for Avion Gold hitting 57 percent.
  "Anything north of 500 pence isn't bad considering where they've been trading recently," Numis analyst Cailey Barker said. "Barrick aren't going to sell down unless its in that sort of order."
  Analysts cast doubt, however, on the prospect of a bidding war against the Chinese suitor, though other miners operating in the region, from South Africa's gold sector to London-listed Randgold are expected to look.
  The Financial Times earlier quoted one person with knowledge of the discussions who suggested that Zijin Mining Group , the Chinese copper and gold miner, had indicated interest in African Barrick.
  African Barrick declined to comment beyond its statement acknowledging the talks. Vancouver-based officials of China Gold International, a subsidiary of China Gold which handles its international assets, were not immediately available for comment.

  Soma na link hii kutoka kwa mchango wa wana JF (Jamiiforums) kuhusu kutaka kuuzwa Barrick gold mines kwa Wachina :

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/308503-barrick-gold-kuuzwa-3.html
   
Loading...