Repoti za Waangalizi wa Kimataifa zaeleza kwamba Uchaguzi nchini ulikuwa Huru na wa Haki

Securelens

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
316
541
Repoti za Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa zimeeleza kuwa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 28 na mchakato wake wote ulikuwa huru na wa haki. Miongoni mwa Taarifa zilizotolewa jana mbele ya waandishi wa habari ni pamoja na repoti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo timu yake iliongozwa na Rais wa zamani wa Burundi Mheshimiwa Sylvester Ntibatunganya.

Jumuiya hiyo imesema walikuwa na watazamaji 59 waliotawanywa mikoa 13 nchini na walifuatilia kwa undani uchaguzi kwenye vituo zaidi ya 160 za kupigia kura maneo mbalimbali nchini zikiwa za mfano zikiwakilisha vituo vingine.

Waangalizi waliokuja nchini siku saba kabla ya siku ya uchaguzi mkuu na kushuhudia kampeni pamoja na kuzungumza na viongozi wa vyama vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo wameeleza juu ya kuridhika kwao kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na matokeo yake yameakisi matakwa ya Watanzania.

Taasisi nyingine ya Kimataifa iliyotoa repoti kama hiyo ni ile ya EISA.
 
Uchaguzi wetu kwa upande wa wapigakura walipewa haki zao sawa kupiga kura kwa amani.Kwa upande wa haki za wagombea hazikufuatwa.kwa mfano vituo vingi mawakala wa upinzani walicheleweshwa kuingia vituoni kwa wakati.pia wengine walitolewa vituoni na polis na kupelekwa vituo vya polis badala ya kusimamia zoezi la uchaguzi.Safari hii tuhuma kubwa imepelekwa kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa kuingiza kura feki vituoni.
 
Acha upoyoyo Lissu mwenyewe alikiri kwa uchaguzi ulikuwa vizuri. Limekuja swala matokeo, hakubaliani na matokeo wakati alishakiri kuwa zoezi la kupiga kura limefanyika vizuri.

Baada ya matokeo Lissu analaumu kwamba utaratibu wa uchaguzi ulikuwa mbovu wakati hapo awali alikuwa amekiri kuwa ni mzuri.
 
Acha upoyoyo Lisu mwenyewe alikiri kwa uchaguzi ulikuwa vizuri. Limekuja swala matokeo, hakubaliani na matokeo wakati alishakiri kuwa zoezi la kupiga kura limefanyika vizur.
Baada ya matokeo Lisu anaalaumu kwamba utaratibu wa uchaguzi ulikuwa mbovu wakati hapo awali alikuwa amekiri kuwa ni mzuri.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio uache upoyoyo. Uache kupotosha mambo mjinga wewe. Lissu alisema kwenye kituo alichopigia utaratibu ulikuwa mzuri. Hakusema nchi nzima. Acha uzandiki wewe mwanamke.
 
Acha upoyoyo Lissu mwenyewe alikiri kwa uchaguzi ulikuwa vizuri. Limekuja swala matokeo, hakubaliani na matokeo wakati alishakiri kuwa zoezi la kupiga kura limefanyika vizur.
Baada ya matokeo Lissu analaumu kwamba utaratibu wa uchaguzi ulikuwa mbovu wakati hapo awali alikuwa amekiri kuwa ni mzuri.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Hana msimamo!!! Atakuwa ameshinikizwa abadili msimamo na yule aliyekuwa amempangia kuwa ndani ya masaa 72 atakuwa Waziri Mkuu! Kwisha habari yao.
 
Hivi visingizio vilisha kuwa Zilipendwa
Uchaguzi wetu kwa upande wa wapigakura walipewa haki zao sawa kupiga kura kwa amani.Kwa upande wa haki za wagombea hazikufuatwa.kwa mfano vituo vingi mawakala wa upinzani walicheleweshwa kuingia vituoni kwa wakati.pia wengine walitolewa vituoni na polis na kupelekwa vituo vya polis badala ya kusimamia zoezi la uchaguzi.Safari hii tuhuma kubwa imepelekwa kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa kuingiza kura feki vituoni.
 
Acha upoyoyo Lissu mwenyewe alikiri kwa uchaguzi ulikuwa vizuri. Limekuja swala matokeo, hakubaliani na matokeo wakati alishakiri kuwa zoezi la kupiga kura limefanyika vizur.
Baada ya matokeo Lissu analaumu kwamba utaratibu wa uchaguzi ulikuwa mbovu wakati hapo awali alikuwa amekiri kuwa ni mzuri.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Sasa sasa sasa Lisu amechanganyikiwa.
 
Hii haiwezi kuwa report ni mbumbumbu juha pekee anaweza kuiona ni report, usikute matengeneza report ni rafiki yake polepole ndiyo maana amejitoa fahamu kutengeneza report kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi mwenyekiti wa CCM.
 
Waangalizi kutoka Burundi, Rwanda na Uganda. My foot? Wana kipi kipya cha mfano kutoka katika nchi zao hadi waje wasimamie uchaguzi wa Tanzania?

Upuuzi mtupu
Jinga kweli hili! Halijui kuwa nao wanapanga kuiba kura huko kwao na hivyo watahitaji endorsement yetu..?
 
Hizo report za kutengenezwa kwa fikra zisizo sahihi za CCM haziwezi kuondoa ushahidi kuwa CCM imeulawiti imeunajisi na kuubaka uchaguzi uchaguzi kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakaa kukubali report za kijinga jinga wakati Zanzibar yote na Tanganyika kulikuwa na wizi wa kura uchakachuaji na Polisiccm wamefanya unyanyasaji kwa mawakala na Pemba unguja kuna mauaji
 
Hizo report za kijinga jinga ndizo hudumaza maendeleo ukanda huu wa Africa mashariki, Tanzania hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kwa sababu ya CCM kutumia pesa nyingi za walipa kodi kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa, pesa za viwanda na pesa za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani na sasa zimetumika kunajisi kuulawiti kuubaka uchaguzi ni vigumu Nchi kupata maendeleo katika mfumo huu haramu wa kishetani, kibaya zaidi tunaenda kuwa na Bunge la hovyo haijapata kutokea Duniani Bunge la ndiyoo ndiyooo, Bunge lisilofanya kazi kwa mujibu wa Sheria bali linaendeshwa kwa zidumu fikra zisizo za mwenyekiti wa CCM na polepole, wabunge hawana ridhaa baraka za wapiga kura ni wabunge wa kuteuliwa na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm vyombo binafsi vya CCM.
 
Uchaguzi wetu kwa upande wa wapigakura walipewa haki zao sawa kupiga kura kwa amani.Kwa upande wa haki za wagombea hazikufuatwa.kwa mfano vituo vingi mawakala wa upinzani walicheleweshwa kuingia vituoni kwa wakati.pia wengine walitolewa vituoni na polis na kupelekwa vituo vya polis badala ya kusimamia zoezi la uchaguzi.Safari hii tuhuma kubwa imepelekwa kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa kuingiza kura feki vituoni.
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom