Repoti: Majaji Waliotengua Uchaguzi wa Kenya ni Wakora

Hizi zilizobaki ni propaganda zenye lengo la kuwavuruga majaji lakini ukweli ulishakuwa wazi kura baadhi zilikuwa miscalculated.
 
propaganda ssa ushahidi mahakamani unasema 10,000 polling stations hazikuhakikiwa matokeo yake ambayo yanabeba kura zaidi ya million 4 sasa mlitaka majaji wakatae hyo hoja??? ina maana wale wanne wote walihongwa???

alafu kingine hta kma alikutana na NASA Lazma wangetuma representatives sio kutumia common faces eti orengo and wetangula this is a pure lie !!

kma kenyatta alishinda. akirudia si atashinda tena ssa hizi hasira za nni??? tunataka amani jirani zetu hizi propaganda zitasababisha machafuko
Soma line after line alitumia people in disguise close relatives Hadi their contacts.. don't bring your feelings into such a matter....
 
Kuna mambo ambayo huelewi jameni. La kwanza, mambo ya polling stations elfu kumi yalikuwa matatizo ya network na tayari IEBC walikuwa wamese hata KABLA ya uchaguzi kuwa kutakuwa na tatizo hili. Ikiwa una hamu na ukweli, soma habari hii : Over 11,000 polling stations lack network coverage, returning officers to 'move' to relay results

Hizi polling stations zilituma matokeo ya urais kwa njia ya HARD COPY na TEXT. Sio eti matokeo hayapo; yapo lakini hayakuja kwa njia ya elektroniki.

Kuhusu representatives, mtu hukutana na wengine kwa njia ambayo anaona hawezi kushikwa. Cha msingi ni kumwambia yule anayeleta mdai atoe ushahidi. Call logs za safaricom na airtel zaweza kuletwa kwa court order. hili ndilo lafaa tuitishe.

Kama Kenyatta alishinda, atashinda tu. Lakini sisi wananchi tutakuwa hatujafanyiwa haki. Bilioni 15 ziende tu kwa moshi. Hivi sasa hawa NASA wanataka eti uchagiuzi uairshwe ili matakwa yao itimike. Kile wanachotaka ni MKATE NUSU. Yaonekana huelewi siasa za Kenya. Kama Raila alishindwa, unafikiri anawezataka tena uchaguzi urudiwe?
Logical n critical thinking....
 
Baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa tarehe 8/8/2017, Rais Kenyatta alinukuliwa akiwaita majaji hao kuwa ni wakora. Hizi sasa, dalili zaonyesha kuwa kuna ukweli kiwango fula.

Baada ya document iliyoitwa "Judiciary Capture" kusambazwa mitandaoni, Mahakama imetoa website yake mtandaoni kwa kile kinachosemekana ni njama ya kuficha ukweli. Hivi sasa ukienda www.judiciary.go.ke , hupati chochote.

Baada ya hapo, petition limepekwa kwa Judicial service commision kuomba hao majaji wachunguzwe. Kwa kweli fisadi ni fisadi tu.

21751829_10215305296734080_3337541335556617395_n.jpg

21557898_10215305298214117_5077174897529203943_n.jpg

21558660_10215305299174141_8375866780116693921_n.jpg

21616533_10215305299734155_3960725321345418481_n.jpg

21686262_10215305301734205_5214397905475783580_n.jpg

The same jubilee guy filed a petition to bar raila odinga azuiwe kugombea urais 2017 akapoteza ombi hilo. ni mwanaharakati wa jubilee wanaoishi kuchuma kutoka mlengo wa kisiasa unao egemea.

kuimbuka na mbinu kadhaa za kutafuta hela sio jambo geni kwa hawa matapeli!!! Na kutumika na wandani wa rais kuwazilishi nyalaka kotini kwa kupata commission for services rendered. kazi bure tu!! uvumi wa jubilee huu!!
 
Baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa tarehe 8/8/2017, Rais Kenyatta alinukuliwa akiwaita majaji hao kuwa ni wakora. Hizi sasa, dalili zaonyesha kuwa kuna ukweli kiwango fula.

Baada ya document iliyoitwa "Judiciary Capture" kusambazwa mitandaoni, Mahakama imetoa website yake mtandaoni kwa kile kinachosemekana ni njama ya kuficha ukweli. Hivi sasa ukienda www.judiciary.go.ke , hupati chochote.

Baada ya hapo, petition limepekwa kwa Judicial service commision kuomba hao majaji wachunguzwe. Kwa kweli fisadi ni fisadi tu.

21751829_10215305296734080_3337541335556617395_n.jpg

21557898_10215305298214117_5077174897529203943_n.jpg

21558660_10215305299174141_8375866780116693921_n.jpg

21616533_10215305299734155_3960725321345418481_n.jpg

21686262_10215305301734205_5214397905475783580_n.jpg

polisi wa jubilee kwa nasa demos katika eneo la supreme court

thubutu....muone kwa nini kanga hana manyoya....
DKGnrYKX0AAbDWx.jpg

kwa jubilee demos supreme court..karibuni kotini

DKGnuKtWkAESwJX.jpg
 
There is a difference. Was anything destroyed? Can you assure the same when Naswa demonstrates? Was the court in session?
 
Soma line after line alitumia people in disguise close relatives Hadi their contacts.. don't bring your feelings into such a matter....
kwahyo it had to be orengo sijui wetangula why not ndii or magaya this is rubbish just as the other memorandum of understanding of NASA and thr sponsor

nyie jiandaeni na uchaguzi sio propaganda wwe kwa akili zako secret service haikujua wala jubilee haikujua huku watu wanafanya meeting kwenye public place??

This is funny
 
Haha. Sasa nani anadanganya?

Soma hii - Kenya tribes and religion

Kikuyu - 22%
Kalenjin - 12%
Meru - 6%
Embu - 1 -5% approximate.

Total - 40-45%

For Raila to win any election, he would have to ensure Uhuru gets 0% somali, 0%, Kisii, 0% maasai, 0% mijikenda, 0% Turkana.

But the reality is that Uhuru is actually getting majority of Maasai, big majority of somali, and majority Kisii.

With the current tribal arrangement, Raila will never win.
Wavumilie tu hawa Jamaa zetu! Tumewazoea kwenye majukwaa ya watz kama 'Siasa'. Wao ni kubisha kila kitu, wanajifanya wajuaji wa kila kitu.
Walitakiwa wajifunze zaidi mazingira ya Kenya kupitia kwenu, au ku pose inquisitive questions ili kupata mwanga au bases za disagreements kama zipo, na siyo lugha kali kama 'we muongo', 'hesabu zako za wapi', 'we mpotoshaji'
Poleni, lakini kuna wengine wengi tunajifunza mengi na siasa za Kenya kupitia posts zenu, hata kama tuko silent. Asanteni kwa hilo.
 
unajifunza kwa kusoma comments za watu wanaoongozwa kwa feelings Sasa huyo jamaa anaweka hesabu kuwa hayo makabila matatu make up 45% ya votes ila mbona hatoi analysis ya remaining 55% mbona ha hasemi kuwa waluo waluhya kisii wakamba have 13,14,6 and 11 percent respectively meaning they also have 44% let alone wamasai ambao nao sio less than 4% ambao pia huwa ni ngome ya odinga

fanya utafiti mkuu ukisubiria comment za wanaobishana humus kisa uchama utadanganyika
 
You have no idea what you are talking about.
Turnout haitaleta difference yoyote. Unless wafuasi wa Raila watokee 90% na wa Uhuru watokee 50%.

Namba za Uhuru ni mingi kushtusha.
Wakikuyu, Kalenjin, Wameru na Waembu pekee yao ni about 40% - 45% of Kenyans. Na hawa wametapakaa Kenya mzima, na watamchagua Uhuru 99%.

Usisahau kwamba Uhuru bado ako na wengi (majority) ya wakisii, wamaasai, wasomalia, wasamburu na kadhalika.

Wajaluo, waluhya, wakamba na wamijikenda ambao ndio 'stronghold' ya Raila hawajafika ata 35% ya wakenya wote.
mbona unatuchanganya tena?? umesema wako 45% ila link uliotuma inaonyesha wakamba waluhya waluo na wakisii wanazidi 40% sasa kipi ni kipi?? mbona huna msimamo maana unataja makabila ila hutaji waliojiandikisha kupiga kura wengi wako stronghold zipi??

Kenya siku mkiacha ukabila ndio mtakuwa role model wa demokrasia. africa ila kwa mapovu haya ya ukabila mtachinjana soon
 
Asante. Ongezea Uhuru Wakisii maanake alipata majority huko pia.
Alafu ujifunze maana ya stronghold na swing vote.

Raila stronghold yake ni waluhya, wakamba na wajaluo.
Uhuru yake ni kikuyu, kalenjin, meru na embu. Naongea kabila ambazo zitampa kura 99%.

Waliojiandikisha kura wanatoshana in terms of percentages. Pande zote mbili, Nasa na Jubilee, hujigamba wako mbele kwa registration, ilhali ukweli ni kwamba percentage-wise wanatoshana.
Hakuna eneo lililo jiandikisha kuliko lingine kwa asilimia kubwa.
 
Kuna mambo ambayo huelewi jameni. La kwanza, mambo ya polling stations elfu kumi yalikuwa matatizo ya network na tayari IEBC walikuwa wamese hata KABLA ya uchaguzi kuwa kutakuwa na tatizo hili. Ikiwa una hamu na ukweli, soma habari hii : Over 11,000 polling stations lack network coverage, returning officers to 'move' to relay results

Hizi polling stations zilituma matokeo ya urais kwa njia ya HARD COPY na TEXT. Sio eti matokeo hayapo; yapo lakini hayakuja kwa njia ya elektroniki.

Kuhusu representatives, mtu hukutana na wengine kwa njia ambayo anaona hawezi kushikwa. Cha msingi ni kumwambia yule anayeleta mdai atoe ushahidi. Call logs za safaricom na airtel zaweza kuletwa kwa court order. hili ndilo lafaa tuitishe.

Kama Kenyatta alishinda, atashinda tu. Lakini sisi wananchi tutakuwa hatujafanyiwa haki. Bilioni 15 ziende tu kwa moshi. Hivi sasa hawa NASA wanataka eti uchagiuzi uairshwe ili matakwa yao itimike. Kile wanachotaka ni MKATE NUSU. Yaonekana huelewi siasa za Kenya. Kama Raila alishindwa, unafikiri anawezataka tena uchaguzi urudiwe?
Kwann most expensive tallying system I-fail? Mbona kwingine isi-fail? Maraga kasema iki-fail tena anafuta matokeo...ohooo leteni mchezo
 
Back
Top Bottom