Repoti: Majaji Waliotengua Uchaguzi wa Kenya ni Wakora

Jubilee are shooting themselves in the foot. Trust me this will backfire terribly. Let me explain. Wambugu took a petition to Jsc demanding investigation on C.J. Then some random guy takes another petition to Jsc demanding investigation on Justice Mwilu and Lenaola. First of all we need to understand that judges are human beings with feelings and political leanings. These judges are allowed to vote and they voted in August for either Uhuru or Raila. Now that said, these four judges that are being targeted (Mwilu, Lenaola, Maraga and possibly Smokin Wanjala) are feeling threatened and who knows, they may start hating Jubilee. Again as I have said they have feelings. If Raila is defeated and he goes to court he will win again and this cycle will go on and on as Jubilee keeps on attacking them. Maybe Jubilee is not directly attacking them but there is that perception. So it is for Jubilee to come out and dissociate itself from this second petition as it did in that first petition by Wambugu otherwise the situation is hopeless for Jubilee in case Raila goes back to court. This is just my opinion it is not necessary the truth.

Give us a break.
They already hate Jubilee. You can't hate somebody twice.
Gloves off. The president will be elected by majority Kenyans not 4 judges.
If they nullify Uhuru's win again, we vote for him again. We are ready to continue with the cycle.
 
Jubilee are shooting themselves in the foot. Trust me this will backfire terribly. Let me explain. Wambugu took a petition to Jsc demanding investigation on C.J. Then some random guy takes another petition to Jsc demanding investigation on Justice Mwilu and Lenaola. First of all we need to understand that judges are human beings with feelings and political leanings. These judges are allowed to vote and they voted in August for either Uhuru or Raila. Now that said, these four judges that are being targeted (Mwilu, Lenaola, Maraga and possibly Smokin Wanjala) are feeling threatened and who knows, they may start hating Jubilee. Again as I have said they have feelings. If Raila is defeated and he goes to court he will win again and this cycle will go on and on as Jubilee keeps on attacking them. Maybe Jubilee is not directly attacking them but there is that perception. So it is for Jubilee to come out and dissociate itself from this second petition as it did in that first petition by Wambugu otherwise the situation is hopeless for Jubilee in case Raila goes back to court. This is just my opinion it is not necessary the truth.

Kukiwa na petition the second time, Supreme court haiwezi tengua uchaguzi. Watashindwa la kufanya.
 
Wewe kweli huelewi election za Kenya.
Raila anafanya juu chini kusiwe na uchaguzi ndani ya 60 days.
Sasa hivi anasema kwamba kampuni OT Morpho ya ufaransa isiruhusiwe, ilhali hii ndio kampuni ambayo ni supplier wa gadgets zote za biometrics, na ata transmission.
Kama ni kutafuta kampuni ingine ya kufanya hii kazi, itachukua muda wa miezi au miaka kadhaa.

Strategy ya kuzuia uchaguzi sio tu demonstrations. Hio labda itakuwa ya mwisho when everything else fails.

Uchaguzi ukikosekana, anapata nusu mkate.

Na Raila ako na majority Coast, lakini si kusema Uhuru hana kura huko.
Ako na majority Ukambani, Western na Nyanza. Yake inaishia hapo.

Uhuru ako na majority Central, North Eastern, Upper Eastern (Wameru na Waembu), Rift Valley. Hizi ndizo regions ambazo zina watu zaidi.

Nairobi wanagawana nusu nusu.
Kwahyo gap ya 1 million ndio inareflect majority ya Kenyatta??

mkuu its all about voter turnout odinga akiweza fikisha voter turnout kubwa 85% ya ngome zake anashinda asubuhi tu maana waluhya wakamba coast wajaluo ni wengi pia bila kusahau north ana support sehem kma wajir so dont generalise that its kenyattas pia hata umasaini ana support pia huko narok na. juu ukipandisha mpka turkana nako alishinda sasa why unadowngrade numbers za odinga???

we subiri tu its abt voter turnout that will decide the fate of who wins the re run the rest ni porojo tu
 
You have no idea what you are talking about.
Turnout haitaleta difference yoyote. Unless wafuasi wa Raila watokee 90% na wa Uhuru watokee 50%.

Namba za Uhuru ni mingi kushtusha.
Wakikuyu, Kalenjin, Wameru na Waembu pekee yao ni about 40% - 45% of Kenyans. Na hawa wametapakaa Kenya mzima, na watamchagua Uhuru 99%.

Usisahau kwamba Uhuru bado ako na wengi (majority) ya wakisii, wamaasai, wasomalia, wasamburu na kadhalika.

Wajaluo, waluhya, wakamba na wamijikenda ambao ndio 'stronghold' ya Raila hawajafika ata 35% ya wakenya wote.
 
Acha kudanganya watanzania hapa...
si 45 wala ni 33.7 per cent
 
waluhyia pekeee wakikuyu hawajaacha na gap kubwa.
Mluhyia+mjaluo+mkamba ni wengi zaidi ya mkale+kikuyus
 
Acha kudanganya watanzania hapa...
si 45 wala ni 33.7 per cent

Haha. Sasa nani anadanganya?

Soma hii - Kenya tribes and religion

Kikuyu - 22%
Kalenjin - 12%
Meru - 6%
Embu - 1 -5% approximate.

Total - 40-45%

For Raila to win any election, he would have to ensure Uhuru gets 0% somali, 0%, Kisii, 0% maasai, 0% mijikenda, 0% Turkana.

But the reality is that Uhuru is actually getting majority of Maasai, big majority of somali, and majority Kisii.

With the current tribal arrangement, Raila will never win.
 
acha upotoshaji mkuu ina maana wakalenjin na wakikuyu make up half of the country??? mbona gap ilikuwa one million pekee kma kweli only 2 tribes determine the winner ina mana wajaluo waluhya wakamba dont even make 20% ya Kenya acha upotoshaji mkuu kwenye voter turnout wakalenjin na wakikuyu walizidi halo engine ikiwa na maana kwamba voter turnout ikiwa kubwa kwenye stronghold za raila whether wakalenjin watapiga kura or not Kenyatta will go home
Fuatilia siasa za Kenya utaelewa ninachokisema.
 
You have no idea what you are talking about.
Turnout haitaleta difference yoyote. Unless wafuasi wa Raila watokee 90% na wa Uhuru watokee 50%.

Namba za Uhuru ni mingi kushtusha.
Wakikuyu, Kalenjin, Wameru na Waembu pekee yao ni about 40% - 45% of Kenyans. Na hawa wametapakaa Kenya mzima, na watamchagua Uhuru 99%.

Usisahau kwamba Uhuru bado ako na wengi (majority) ya wakisii, wamaasai, wasomalia, wasamburu na kadhalika.

Wajaluo, waluhya, wakamba na wamijikenda ambao ndio 'stronghold' ya Raila hawajafika ata 35% ya wakenya wote.
Uongo wote huu wa nni???
 
Haha. Sasa nani anadanganya?

Soma hii - Kenya tribes and religion

Kikuyu - 22%
Kalenjin - 12%
Meru - 6%
Embu - 1 -5% approximate.

Total - 40-45%

For Raila to win any election, he would have to ensure Uhuru gets 0% somali, 0%, Kisii, 0% maasai, 0% mijikenda, 0% Turkana.

But the reality is that Uhuru is actually getting majority of Maasai, big majority of somali, and majority Kisii.

With the current tribal arrangement, Raila will never win.
Ungepiga hesabu ukitumia registered voters kwa izo regions
 
1. All tribes (kikuyus especially) wametapakaa everywhere. Ni wengi Mombasa, ni wengi Narok, ni wengi Lamu, Ni wengi Nakuru.

2. Both Nasa na Jubilee husema kwamba voter registration inawafavour. So my guess ni kwamba hakuna difference kubwa ya percentages in terms of voter registration.
 
propaganda ssa ushahidi mahakamani unasema 10,000 polling stations hazikuhakikiwa matokeo yake ambayo yanabeba kura zaidi ya million 4 sasa mlitaka majaji wakatae hyo hoja??? ina maana wale wanne wote walihongwa???

alafu kingine hta kma alikutana na NASA Lazma wangetuma representatives sio kutumia common faces eti orengo and wetangula this is a pure lie !!

kma kenyatta alishinda. akirudia si atashinda tena ssa hizi hasira za nni??? tunataka amani jirani zetu hizi propaganda zitasababisha machafuko

Kama sikosei 11,000. Na hawajamaa hawaoni mantiki?
 
Haha. Sasa nani anadanganya?

Soma hii - Kenya tribes and religion

Kikuyu - 22%
Kalenjin - 12%
Meru - 6%
Embu - 1 -5% approximate.

Total - 40-45%

For Raila to win any election, he would have to ensure Uhuru gets 0% somali, 0%, Kisii, 0% maasai, 0% mijikenda, 0% Turkana.

But the reality is that Uhuru is actually getting majority of Maasai, big majority of somali, and majority Kisii.

With the current tribal arrangement, Raila will never win.
usisahau wakikuyu huzaa watoto wengi eg average ni 4 kids...so usilinganishe na registered voters juu adults ni wachache...so acha uongo boss
 
Wacha propaganda.
Hizo hesabu zako unatoa wapi?
Hakuna kabila moja huzaa kuliko wengine. Ndio maana percentages hazijabadilika sana kutoka census ya 89, 99 na 2009.
 
Back
Top Bottom