Reporters without borders yataka uchunguzi wa kina kuhusu mauaji ya waandishi 3

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Shirika la wanahabari wasiokuwa na mipaka, limewataka maafisa wa usalama wanaochunguza mauaji ya wanahabari watatu wa urusi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati mwaka 2018 kutoa ripoti kamili ya uchunguzi wao

Taarifa za mwanzo zilisema Waandishi hao wa habari nhini Urusi waliuawa na watu wasiojulikana

Shirika la RSF linasema licha ya kuwepo ukimya wa karibu miaka miwili sasa, ipo haja ya kuhakikisha ushahidi uliotolewa katika uchunguzi wa mwanzo, na njia zote zinafuatwa

Vyombo vya habari Jamhuri ya Afrika ya Kati na vile vya kimataifa viliripoti uwepo wa kundi la Wagner katika ardhi ya Jamhuri ya Afrika Kati
 
Back
Top Bottom