Report ya waangalizi wa uchaguzi toka EU!! Ahsante David Martin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report ya waangalizi wa uchaguzi toka EU!! Ahsante David Martin

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moseley, Feb 11, 2011.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  EU ELECTION OBSERVATION MISSION TO TANZANIA ISSUES ITS FINAL REPORT IN DAR ES SALAAM

  Chief Observer European Union Election Observation Mission(EU EOM) David Martin stressing a point.
  Chief Observer European Union Election Observation Mission (EU EOM)Mr. David Martin,Election Anaylist Tanya Marques (Ctr) and Press Offer Francsca Bogger.

  The Chief Observer of the European Union Election Observation Mission (EU EOM) to Tanzania, David Martin, presents the Mission's Final Report today on Tanzania General Elections that took place on 31 October 2010.

  The EU EOM was present in Tanzania from 29 September to 28 November 2010, following an invitation from the Tanzanian Ministry of Foreign Affairs. The mission deployed 103 observers from all 27 European Union Member States as well as Canada, Norway and Switzerland to all the 26 regions in Tanzania to assess the electoral process according to the international and regional principles and commitments for democratic elections as well as the laws of Tanzania.

  “The final report’s aimis to make constructive comments and suggestions on how democracy might be further enhanced in Tanzania”said the Chief Observer David Martin, Member of the European Parliament. “It is not prescriptive our suggestions have to be debated in the context of the history, geography and culture of the country.

  Following my discussions I feel confident that Government, opposition parties, civil society and the public will engage in debate possible amendments to election law and procedures.

  In this context we are encouraged by comments from President Kikwete and Madam Speaker that our Report will be examined as part of the process for amending the Constitution of the Republic of Tanzania.

  I would like to be clear that in doing so we in no way call into question the validity of the election result. I said the last time I was in the country that the ultimate test of an election is did the people get the Government they voted for? In Tanzania they did”.

  The report contains findings and detailed recommendations to improve future elections in all areas of the electoral process. Key recommendations of the EU EOM include:

  * Campaign period shouldbe limited to around 1 month. A longer campaign risks disinterest from the voters and puts a high burden on the finances of smaller parties.

  * The NEC and ZEC should take measures to enhance transparency at all levels. The electoral commissions should publish and timely disseminate all the technical tools of the electoral process: polling station lists, constituency lists, voters’ lists and information on public financing of election campaigns. The EU EOM was particularly distressed by the lack of transparency in the aggregation process both on the Mainland and Zanzibar.

  * The right to stand for election should not be limited to members of political parties but also to independent candidates.

  * The NEC and ZEC should become more independent from the Government reducing its dependence on local governmentadministrative structures and in particular by distancing the Government from the appointment of Electoral Commissioners.

  * Also in the interest of transparency the media should be allowed to enter polling locations on election day. This would require clear guideline and they could be drafted by electoral commissions in cooperation with the Media Council of Tanzania.

  * A review of constituency boundaries is necessary to ensure that constituencies better reflect actual population trends.

  * The right to petition presidential election results should be established by law in line with the international principles ratified by Tanzania.
  * The judiciary should have a clear supervisory role over the performance and decisions of the electoral commissions.

  The EU EOM expresses its warmest appreciation to the people of Tanzania for their cooperation and support.

  The full text of final report is available in English on the mission`s website: http://webmail.eueom-tanzania.eu
   
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Too late!
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,310
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Duuu yaani hii ni full katiba mpya!!!!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Malalamiko yate ya Chama Cha Chadema ndio hayo hayo waliyoyaona waangalizi hao. Ninachoona kipya hapo ni juu ya namba ya kwanza ufupishaji wa muda wa kampeni ili kuokoa gharaza kubwa zinazotumika katika kampeni
   
 5. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapa ni ukweli usiopingika kwamba David Martin ametishwa asiseme ukweli vinginevyo asingetoka na burungutu!!!!!!!!!!!!! Huyu naye hapa kasema uongo wa mchana kweupe!!!!!!!!!!! Kwa ajili ya maslahi yake na EU mission yake ameuza demokrasia ya mnyonge!!!!!!!!! Lakini historia na yale yanayokuja kutokea hivi punde yatamuumbua tu!!!!!!!!! Kumbe hawa jamaa wanapokuja huku nao wanachakachulika hivi!!!!!!!!!!!!!! Bila pipoooooooooooos pawa hapa bongo tusitegemee support ya internal community!!!!!!!!! Ila wao wakiona yale ya Misri sasa wanageuka kuwa upande wa pipooooooos. Kumbe pipooos pawa first ndiyo solution wanaJF!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haya ya waangalizi mi sioni kama yana impact ya kutosha kuchochea demokrasia. naona ni vijiwe vya kulipana posho tu na mambo ya business as usual
   
 7. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mengine yote sawa, lakini kwenye rangi nyekundu nakataa!!!!!!!!!!!!!! Hapa kasema uongo kulinda dhahabu aliyohongwa!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa naamini kuwa hata UN inajua kwamba matokeo ya uraisi yali chakachuliwa!
  Hata kama hawajasema hilo moja kwa moja,ila ujumbe katika matamshi yao ni aibu kubwa sana kwa JK na serikali yake:

  “Jumuiya ya Ulaya ilisikitishwa sana hasa na hatua ya kukosekana kwa uwazi wa pamoja katika ujumlishaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu, sasa ni muhimu kuyaangalia haya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015,” alisema Martin.

  “ Ni muhimu Tanzania ikawa na utaratibu unaoeleweka kwani wao ni wanachama wa UN, kwani hali hiyo inaweza kuzidisha na kudumisha demokrasia ya kweli, wadau hasa vyama na wagombea urais wanashindwa kupinga matokeo hata kama kuna kuna kasoro zimejitokeza,” alisema Martin.

  Opppps,ngoja tuone serikali ya JK itasema nini
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya,lakini haya maoni yao huwa yana fanyiwa kazi au ndo yanawekwa kapun?

  Kwani hii ni mara ya kwanza kuja kuangalia uchaguzi Tanzania?

  Siku zote hawakuwahi kuona mapungufu haya?
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Waliiba 2010 lkn tunawang'oa 2015
   
 11. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  acheni na wazungu, wao wangependa mandondocha yao kama jk yaendelee kutawala
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  haya maoni hayafanyiwi kazi wala nini. Ila hapo kwenye mgombea binafsi wamenikuna huenda ikafanyiwa kazi!
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... david martin anatoa mipasho... indirectly
   
 14. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  He observed so.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  unapongeza wezi wa madini yetu??
   
 16. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwenye RED tunasema GAME OVER, jana nilisoma sehemu humu JF kuwa EU wameiijia juu serikali wanahoji matokeo ya 2010 kama kuna report mbili tuwekewe hiyo ya pili lakini kwa ripoti hii sijaona sehemu hata moja inayohoji wameshindwa hata kusema tu "matokeo yalicheleweshwa" na kuleta hali kuwa tete! Siku zote nasisitiza sisi wenyewe Watanzania ndio tutakao leta mabadiliko tusitegemee CDM, CUF, EU, ECOWAS, US wala NEC - ZEC. Hawa observers nchi zao zina interests nyingi na nchi zetu especial nchi tajiri kama yetu. Tujiulize kwa yakini tunataka nini? tukishatambua basi tunaweka mikakati na vyama tutakavyovituma vituwakilishe sio wao waamue wanavyotaka kwa matakwa yao sisi tuwe washabiki!

  Kwenye hiyo PINK hii ni faraja kwangu ikiwa katiba itarekebishwa hakika nitakuwa mstari wa mbele kuipiga KURA yangu 2015 naamini watu huru huwa huru hata kwenye kuwakilisha wananchi wanao wachagua maana chama kikitoa msimamo wake mtu anakuwa mtumwa inabidi afuate ilhali waliomtuma hawapendezewi refer to walk out ya chadema na kesi ya Zitto na wapiga kura wake.
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  MS .. nilidhani utakuwa bingwa wa kunyumbulisha na kukokotoa mipasho.....hili tamko ni pure mipasho ... linahitaji utashi mkubwa kulitafsiri
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Hapo na mimi ndipo ninapopangoja Serikali hawaipendi hiyo wanajua watu kama kina Shibuda na Selelii wakiona gozigozi watoka kama solo na ni kitu kitakachoigharimu! Sheria hiyo ikiwepo kisha kukawa na ushirikiano kwa wabunge walioingia kwa vyama vya upinzani agaist wabunge wa chama kilichotoa Rais wakishirikishwa na walioingia binafsi bila kuanza sekeseke za sijui huyu ana ujamaa na CCM sijui wamechumiana na mahari imetolewa nina uhakika hapo ndio Nchi itaanza kubadilika wanasiasa na serikali wataanza kuwatumikia wananchi. Ila tukomeshe ubinafsi wa wawakilishi wetu wakiwa na sisi wanatuhadaa wale hawafai hata kushirikiana nao, wakiwa pamoja wanagonga glass kwa waliopo Dodoma leo Mnadani ukienda utawafuma wanavyojichana nyama choma bila kujali itikadi zao. Wengine si tumeona wanab#n#u#a au mmesahau kesi ya Jafaray? kwani hata kama mijimama kwenye chama hawapo mpaka atamchukue jimama wa chama hasimu? Tusifanywe watoto wadogo hebu tukue kidogo ndugu zanguni...........
   
 19. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hilo tamko ni kimasomaso tu hakuna kitu hapo yaani kama ni maksi za darasani na mimi ndio msahihishaji huyo alieandika hiyo essay nitampa -100 inabidi ajitahidi mtihani unaofuata apunguze hiyo -100. Hawa wazungu wanajua kuwa nchi zinazoendelea ni mashamba ya bibi na hawana uhakika na wapya wenye kutaka madaraka ni bora zimwi ulijualo kuliko usilolijua!

  Si mmeona ya Misri? walikuwa wamegang na utawala wakaona sasa maji ya shingo kwa Mubarak wakatengeneza mazingira ya kuendelea kukubalika na kwa jinsi tulivyokuwa mahayawani wamisri watawasifu na kuwaona kuwa hakuna watu kama hawa kumbe ni machakubimbi.
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  soma hili tamko liliwahi kutolewa na Donald Rumsfeld ... former US secretary of defense[FONT=&quot]

  "There are known knowns. These are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we know we don't know. But there are also unknown unknowns. There are things we don't know we don't know".[/FONT]
   
Loading...