Repent, signatories of 'bad' contracts told

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,820
287,890
Repent, signatories of 'bad' contracts told
By Felix Mwera, Tarime
THE CITIZEN

People involved in the signing of bad contracts with foreign mining companies operating the North Mara in Tarime District need to confess to God immediately, a top cleric has declared.

Bishop Alex Malasusa, the head of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT) said on Thursday that "the laws might not see them but God will see them and I ask them to confess immediately."

The cleric made the remarks shortly after meeting with local leaders and prominent people from the five wards surrounding mine.

The mine is operated by Barrick Gold Tanzania Ltd, whose work area stretches several gold mines in the country especially in the lake zone area.

The cleric also urged villagers living near the mine to refrain from accepting what he described as sweets from the Canadian giant mining company. "Let us have solidarity, unite and have one voice and cry to God," said Bishop Malasusa.

The cleric said that he was shocked with the kind of suffering the communities surrounding the mine encounter, instead of reaping the fruits of mining industry in their own land. The mining company is said to have been forcibly relocating the villagers without giving them reasonable compensation.

Mining activities had also caused high rates of pollution as harmful chemical leak from the mine's tailings dam into natural water sources, villager leaders said.

One person died in the area after he was affected by the harmful chemicals from the mine and several more were affected, with their health conditions deteriorating.

"We will not only tell our President about what we have seen here but we will also tell God because he is the one who gave us this land," the Lutheran top cleric announced.

People can't allow a situation where another person makes them suffer while holding the land we are given by God, he said, noting further that "this is challenge on which we must intervene as religious leaders."

Speaking at the same occasion the National Muslim Council of Tanzania (Bakwata) secretary-general Sheikh Ali Mzee also expressed concern over the suffering the villagers surrounding the mine have been facing.

"It is indeed disheartening to see how our own mechanism that we put into power can change to be a problem, and this is undermining our humanity and the dignity of our country," the Bakwata official declared. The religious leaders were on a two day trip in the area to come up with a report on an alternative way of mining operations in the country.

Dr Leonard Mataita, secretary -general of the Christina Council of Tanzania (CCT), said they will submit their findings to President Jakaya Kikwete after compiling it. Dr Mtaita was leading the delegation to the gold mining area, where they faced protocol difficulties upon arrival at the North Mara mine gate.

The clerics decided to embark this initiative due to on- going complaints that the mining sector isn't helping to uplift Tanzanians from rampant poverty.

"Our president promised to include religious leaders in the mining review commitee that he formed but he didn't do so. That is why we have decided to visit a number of mines in the country inluding North Mara so that we can also compile our report and submit to him," the CCT secretary-general said.

The delegation also included the Bishop Hilkiah Omindo Deya of the Mara Diocese of the Anglican Church and a number of activists from Dar es Salaam.
 
mama weeee.. enyi wachungaji mnaokula vinono huku waliowagonjwa mnawatafuna, ninyi ambao mnakula katika hekalu la bwana na kuchukua vilivyomo, ninyi ambao mmelala kitanda kimoja na watawala wetu, mliofumbia ufisadi na wizi, ninyi ambao katika altare zenu zifukazo moshi wa rushwa, wenye harufu ya ubadhirifu, kabla hamjawaambia wengine watubu, TUBUNI NYINYI KWANZA MAANA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA!

Shoka limekwisha kuwekwa kwenye mpini, mti wowote utakaoshindwa kuzaa utakatwa na kutupwa na ule uzaao utapaliliwa ili uzae sana!!

Mu Lihina la Tata, ne kimwana, ne Kisere Sanktu! Amen
 
mama weeee.. enyi wachungaji mnaokula vinono huku waliowagonjwa mnawatafuna, ninyi ambao mnakula katika hekalu la bwana na kuchukua vilivyomo, ninyi ambao mmelala kitanda kimoja na watawala wetu, mliofumbia ufisadi na wizi, ninyi ambao katika altare zenu zifukazo moshi wa rushwa, wenye harufu ya ubadhirifu, kabla hamjawaambia wengine watubu, TUBUNI NYINYI KWANZA MAANA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA!

Shoka limekwisha kuwekwa kwenye mpini, mti wowote utakaoshindwa kuzaa utakatwa na kutupwa na ule uzaao utapaliliwa ili uzae sana!!

Mu Lihina la Tata, ne kimwana, ne Kisere Sanktu! Amen

Duh mwanakijiji unahubiri utafikifikiri Kakobe! Kweli unavipaji vingi.

Okay tuache hayo. Viongozi wengi wa dini ni wanafiki na unafiki wao ni wa muda mrefu sana. Nakumbuka kuna baadhi ya Viongozi wa dini waliwahi hata kusema JK ni chaguo la Mungu. I wonder kwanini tuliingia kwenye uchaguzi wa raisi ni utumia mamilioni kama wao walijua hilo. Unafiki tuu wanakula na mikono yao michafu. Walikuwa wapi siku zote nchi inaliwa wao wamekaa kimya?
 
Iliandikwa "Mpeni Kaisari yaliyo yake na Mungu apewe kilicho chake"....... Waheshimiwa wameshakula kilicho cha Kaisari naye Kaisari anadai chake (WaTz).... Wakishatulipa chetu then wataenda mbele ya sheria, wallahi si mchezo wanaadhibiwa dabo dabo!!!!!!

Kama alivyosema MKJJ hapo juu "Shoka lipo shinani, mti usiozaa wakatwa"Kaaazi kweli kweli mwanangu.....
 
Ukisikia mbwembwe basi ndiyo hizi. hawa wachungaji wanadai sadaka mpka wae maskini wa mwisho. They have good life and still they want to play with our mind. Walikuwa wapi hawa muda wote huu? Waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa hawa.
 
Iliandikwa "Mpeni Kaisari yaliyo yake na Mungu apewe kilicho chake"....... Waheshimiwa wameshakula kilicho cha Kaisari naye Kaisari anadai chake (WaTz).... Wakishatulipa chetu then wataenda mbele ya sheria, wallahi si mchezo wanaadhibiwa dabo dabo!!!!!!

Kama alivyosema MKJJ hapo juu "Shoka lipo shinani, mti usiozaa wakatwa"Kaaazi kweli kweli mwanangu.....

Ndio maana mimi nilisema katika thread fulani kwamba, hawa viongozi wa dini mwaka 2005 walikuwa upande wa Kikwete na wanasisiemu wenzake,wakisema kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu na amekuja kukoa hiki kizazi,ni mbadala wa Mwalimu Nyerere, bila kujua kwamba naye si msafi kama walivyo wenzake. Sasa kama walijua ni chaguo la Mungu wanataka atubu nini? Na wasaidizi wake watubu nini? Kwamba walikuwa hawajui kilichofanywa na hawa viongozi hadi washituke leo? Siamin1. Malasusa na wenzake ni wasanii tu wanaotaka kutupoza wenyenchi sisi ambao tuna hasira na mafisadi wanaonajisi kodi zetu. Anataka tumuone kwamba yuko upande wetu! tushamshitukia! Lazima tuwawashie moto tu!
 
Mimi nafikiri si kila anayezungumza sasa alikua na nafasi ya kusema hadharani na kutiliwa maanani na Watanzania. Hivyo tusiwashambuliea sana kwani mara ngapi tuanasoma na kuona kwenye vyombo vya habari wachungaji na maaskofu wakikemea maovu yanayofanywa na serikali.

Pia tukumbuke Askofu Malasusa Ni hivi karibuni tu alichaguliwa kuongoza ELCT. Nafikiri ni muda muafaka kwake kukemea uozo unaoendelea kuitafuna serikali yetu.

Tunatakiwa tukumbuke kuwa Viongozi wa dini si wanasiasa hivyo tusitegemee kila wakati watakurupuka hadharani na kuongelea mambo wasiyo na uhakika nayo. C mnakumbuka kakobe alipoamua kumuunga Mkono Mrema kwa kusema ni chaguo la Mungu? Remember what happened there after?

Mi nafikiri wanapotokea majasiri wachache na kuthubutu kwenda Public na kukemea uovu tuwasupport badala ya kuanza wanyooshea vidole na kuwahukumu kwa historia. Cha msingi "tule nyama kama kuna mifupa tuiweke pembeni"

Kwani hata cc tukianza chunguzana humu ndani utakuta ni wachache sana walio wasafi katika historia yao.

Hivyo tusiwafungie Milango ya kusema ukweli eti sababu historia inawahukumu walio wachache kati yao.

Let them speak out na kama wasemayo yanamantiki, lets Support them na kujenga jeshi kubwa zaidi la kupambana na Ufisadi ulioweka Mizizi katika Serikali na Nchi yetu.

Aluta Continua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom