Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
Pennsylvania Democratic Rep. John Murtha dies at age 77.
Sorce: CNN
Sorce: CNN
Pennsylvania Democratic Rep. John Murtha dies at age 77.
Sorce: CNN
Bhebhe nan'go, kama unaweza kuingia mtandaoni sioni sababu ya wewe kushindwa kwenda kwenye website ya source niliyoisema.
kwanini boss!!!another bad news for obama...
Mh!.alikuwa mjomba wake na Yego!
thanks boss basi nikueleze jinsi umbumbumbu wangu wa siasa ulivyo, nilidhani rep maana yake republican na akiwa democrat inaanza na demkwa sababu kura moja ya democrats imepungua
kwenye congress,
halafu ukitokea uchaguzi ili kuziba nafasi yake
republicans wanaweza shinda umenipata???????
thanks boss basi nikueleze jinsi umbumbumbu wangu wa siasa ulivyo, nilidhani rep maana yake republican na akiwa democrat inaanza na dem
thats why iam bad in politics... wacha niendelee na kupiga domo kwenye maeneo yetu ya vikopo tu!!! huko majuu mie hamnazo
thanks Buddy!!
Very true mkuu, haya mambo lazma upewe undani au uwe na interest.... nimem-google huyo jamaa nikaona mambo yake, surely Obama ana kazi ngumu hasa anapozidi kupoteza hawa watuHahahahaha mkuu umenichekesha sana....Anyway ndo maana nilikuwa nasema tusipende kufanya assumption. Kitu unaweza kukiona kirahisi kumb siyo hivyo. Nivema tukaeleweshana maana si kila mtu anawaangalia akina John King na Wolf Blitzer ;-)
I learnt the lesson once upon a time. In a hard way though.
Mungu Amlaze Pema Peponi ameshakula Chumvi huyo kwa miaka aliyonayo inatoshaPennsylvania Democratic Rep. John Murtha dies at age 77.
Sorce: CNN
kwa sababu kura moja ya democrats imepungua
kwenye congress,
halafu ukitokea uchaguzi ili kuziba nafasi yake
republicans wanaweza shinda umenipata???????