REO wa Iringa alikuwa sahihi,kesi zinabambikwa,kauli yake haikukanushwa

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Alitishia walimu kwamba wasipoisapoti ccm watapewa kesi za ubakaji au uhujumu uchumi,hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa juu yake bado anadunda mtaani na bila shaka atakuwa yupo busy kutafutwa walimu wa kuwabambikia hizo kesi
Halafu mnasema hii nchi bado inafata sheria?be srious basi nyie watu
njaga.PNG
 
Huwa najiuliza na kwa kweli sijui. Hakuna sheria inayoweza kumuwajibisha mtu kama huyo. Bila shaka hizo ni kauli za kwenda kinyume kabisa na sheria ya kuwepo kwa vyama vingi.

Kama ndivyo kwanini asichikuliwe hatua. Na kama sivyo kuna haja gani kuendelea kuwa na vyama ambavyo siyo CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kauli mbiu ya serekal ya awamu hii umeisahau? Ni kutofuata sheria Kwa Mtendaji Mzuri huyo ndio kipenzi cha serikali Ya 5 Sema tu watz wanasahau haraka kauli mbiu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom