Renatus Mkinga live ITV, malumbano ya hoja

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Anasema yeye na akina kisumo,butiku,warioba ni ccm asili wengine WACHUMIA TUMBO.
 
Mwanaharakati mashahuri ambaye amejizolea sifa kwa kuikalia kooni serikali,leo amejishusha heshima kwa kujitambulisha kuwa yeye ni gamba na amevai shati green.Anaonakana live ktk marumbano ya hoja ITV.
 
Mcheki itv, amejitambulisha mwenyewe kuwa yeye ni sisiem damu ile ya asili,na ndiyo maana anaonekana kavaa shati la kijani.
 
kumbuka ndani ya magamba kuna watu wachache ambao ni safi!!sidhani kwa kusema hivyo amejishusha heshima!!
 
Mkinga bana kawataja CCM wenzake asili kama akina Sitta, Mwakyembe.
 
kumbuka ndani ya magamba kuna watu wachache ambao ni safi!!sidhani kwa kusema hivyo amejishusha heshima!!

uko sahihi sana Comrade huyu bwana yupo kwa magamba lakini ni mtu pekee ukimtoa Deo Filikunjombe ambae hasiti kukisema chama chake hata Dr Lweitama alijitambulisha kwamba yeye ni ccm mfu je? waweza kumvalue kwamba dr lweitama kajishushia heshima?
 
Kwani unashangaa nini? Mbona hata Dr.Lwaitama ni CCM memba ijapo anaichana mwanzo mwisho?mbona Mzee Sabodo anadai yeye ni kada wa Tanu na CCM na bado anaichana CCM?

Mbona Filikunjombe anaichana CCM na yy ni mwanachama wao?Tafakari,chukua hatua.
 
IMG00063-20120426-2125.jpg
Shujaa aliyepotea kwa muda na kurejea kwa staili ya kushangaza
 
anasema maaskofu na watu wengine wamepotosha kuhusu oic...anasema ni kitu kizuri(kuna misaada kibao)...eti waziri membe anaweza kuwaombea wazanzibari kujiunga na oic kwa sababu wanatimiza masharti ya kujiunga na oic(kuwa na population ya zaidi ya 60% waislam)...dah naona leo ntalala mapema sana...!
 
Ninachojua ni kuwa Mkinga siyo mmoja wa wezi wa mali zetu,haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote ni ya kikatiba!!Chama tawala kikibaki na wezi tu,nchi haitakalika tena.
 
anasema maaskofu na watu wengine wamepotosha kuhusu oic...anasema ni kitu kizuri(kuna misaada kibao)...eti waziri membe anaweza kuwaombea wazanzibari kujiunga na oic kwa sababu wanatimiza masharti ya kujiunga na oic(kuwa na population ya zaidi ya 60% waislam)...dah naona leo ntalala mapema sana...!

Jamani hii akili ya kufikiria Misaada inatoka wapi? Je hawa wanaotupa misaada wao wanapewa na nani?

Huu ni Upuuzi wa hali ya juu hii misaada inatupumbaza sana, kama kiongozi yeyote anayekuja kwa malengo ya kutuletea misaada au kutuombea misaada apotelee huko hatufai huyo.
 
mkinga ni yule tuliomjua aliyemshambulia lowassa leo anajiita ccm kweli njaa haina adabu labda ameanzisha biashara sasa amepewa jukumu la luitetea ccm kweli mkinga amekuwa mchumia tumbo
 
Jamani hii akili ya kufikiria Misaada inatoka wapi? Je hawa wanaotupa misaada wao wanapewa na nani?

Huu ni Upuuzi wa hali ya juu hii misaada inatupumbaza sana, kama kiongozi yeyote anayekuja kwa malengo ya kutuletea misaada au kutuombea misaada apotelee huko hatufai huyo.
strange!leo ametoka kimagamba kweli maana vitu kama misaada siku zote huwa anavipinga kwa nguvu zote kwa sababu tuna rasirimali za kutosha...sijui akina nape wameshamshughulikia?
 
nipo na jamaa fulani huku majuu ninaishi nae apartment moja, yeye ni raia wa togo!! na ananambia wao ni memba tangu 1997...lakini la ajabu hawajapata misaada yeyote isipokuwa wao wanahimizwa kuchangia nchi nyingine maskini zaidi yao... sidhani kama hiyo misaada tunayoisema ni kweli tutaipata... nina shaka!!
 
Kwani unashangaa nini? Mbona hata Dr.Lwaitama ni CCM memba ijapo anaichana mwanzo mwisho?mbona Mzee Sabodo anadai yeye ni kada wa Tanu na CCM na bado anaichana CCM?

Mbona Filikunjombe anaichana CCM na yy ni mwanachama wao?Tafakari,chukua hatua.

Na haiwezekani mtu aliye hai kushabikia ccm maana ni lazima uwe na akili ya Maiti
 
Back
Top Bottom