Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,601
- 9,781
Poleni kwa majukumu ndugu zanguni.
Naomba msaada wa kiufundi ndugu zangu.
Nina kompyuta HP Pavilion DV 6000, yenye 'specifications' zifuatazo:
OS-Windows Vista Home Premium (32 bit)
MS Office pro 2003
Processor: AMD Turion 64x2 Mobile Technology TL 60
Processor Speed: 2.8 Ghz
Memory RAM: 3 Gb
TATIZO LANGU
Niliweka Nero 7 premium katika kompyuta hio, lakini kuna tatizo la 'compatibility. Nikaenda katika tovuti ya Nero na kukuta maelezo kwamba utatuzi wa shida hio ni kuweka upgrade, ambayo ni Nero 8. Nimejaribu kuiondoa software hiyo katika kompyuta yangu lakini bado haitoki. Nimebonyeza sehemu ya 'uninstall' lakini imegoma. Nimekwenda katika program files na kuondoa mafaili yake lakini bado tu ipo.
Naombeni msaada kama kuna utatuzi, kabla sijafikia uamuzi wa ku-format.