Remote ya lg lcd tv

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
5
Mi natafta sehemu naweza pata remote ya LCD LG tv yangu,,,, naomba msaada kama hizi remote huwa zinaingiliana
 
Mkuu umefika. Tunaweza kukuletea remote control yako mpaka Dar es Salaam toka Japan. Tupe jina na Model ya TV yako nasi tutakutafutia moja kwa moja toka kwa watengenezaji. Nimeiona hii kwenye soko:
LG REMOTE CONTROL FOR PLASMA TV 42PX8DC OR LCD TV NEW!

Tuandikie kwenye :pacificamarine@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom