Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,308
- 1,423
Hamjambo wana JF wenzangu? nina swali naomba kuuliza kama televisioni huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi,hivi remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili ?
Kila nikijizuia kucheka, najikuta nacheka tu!!Kimbwimbwi
Kiingereza is shit sometimes...google translator wanaitafsiri kama kudhibiti kijiji.
hilo neno lenyewe la kingereza halijakaa vizuri, linahitaji neno moja la kiswahili
Mkuu umeniacha hoi sana, "BAKWATA" sasa hapo wameingiaje? Au ulitaka kusema"BAKITA".Nashukuru wadau kwa majibu yenu,ila kuhusu hili watu wa BAKWATA wana kazi ya ziada kuliweka neno la kiswahili kwa ajili ya kifaa hichi "remote control" na vifaa vingine amcvyo bado havijapatiwa maneno ya kiswahili.
Hahahahaa najua ulitaka kumaanisha BAKITA.Nashukuru wadau kwa majibu yenu,ila kuhusu hili watu wa BAKWATA wana kazi ya ziada kuliweka neno la kiswahili kwa ajili ya kifaa hichi "remote control" na vifaa vingine amcvyo bado havijapatiwa maneno ya kiswahili.
Ninyi sio wafuatiliaji wazuri wa lugha yetu pendwa.Kamusi ya kiswahili karne ya 21 inatafsiri hilo neno kama nilivyo kwambia hapo juu kisengeletuaNashukuru wadau kwa majibu yenu,ila kuhusu hili watu wa BAKWATA wana kazi ya ziada kuliweka neno la kiswahili kwa ajili ya kifaa hichi "remote control" na vifaa vingine amcvyo bado havijapatiwa maneno ya kiswahili.
,,,,,,,,,,,,BAKITANashukuru wadau kwa majibu yenu,ila kuhusu hili watu wa BAKWATA wana kazi ya ziada kuliweka neno la kiswahili kwa ajili ya kifaa hichi "remote control" na vifaa vingine amcvyo bado havijapatiwa maneno ya kiswahili.