Remote control inaitwaje kwa kiswahili?

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,306
1,421
Hamjambo wana JF wenzangu?

Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili?

Karibuni Saranga Dar!
 
Huitwa KITANZA MBALI/KIONA MBALI,

NYONGEZA:

DVD huitwa Pataninga, CD=Santuri, FLASH DISC=Diski Mweko, ATM=Kiotomotela, BUSINESS CARD=Kadi Kazi, ATM CARD=Kadi hela, SMARTPHONE=Sikanu, NETWORK=Mtandao, INTERNET=Mtawalishi, SIMCARD=KadiSakima, KEYBOARD=Kicharazio,
EXPIRE DATE=Chotora, ACTIVATE=Amilisha, TUNE(Mfano Tune RadioOne 93.5, Kwa Kiswahili tunasema RAHANI RadioOne 93.5), UNIVERSITY=Ndaki, COLLEGE=Chuo, STAFF ROOM=Majilisi, STORE=Bohari, STOREKEEPER=Boharia, KITCHEN PARTY=Sherehe Mfundo, SEND OFF=Sherehe Mwago, CLASS TEACHER=Mdarisi, ALOSTO huitwa "Andasa".
(Kwa hayo machache, mtafaidika).

¤Kiswahili Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.
 
Kiswahili kigumu!
Huitwa KITANZA MBALI/KIONA MBALI,

NYONGEZA:

DVD huitwa Pataninga, CD=Santuri, FLASH DISC=Diski Mweko, ATM=Kiotomotela, BUSINESS CARD=Kadi Kazi, ATM CARD=Kadi hela, SMARTPHONE=Sikanu, NETWORK=Mtandao, INTERNET=Mtawalishi, SIMCARD=KadiSakima, KEYBOARD=Kicharazio,
EXPIRE DATE=Chotora, ACTIVATE=Amilisha, TUNE(Mfano Tune RadioOne 93.5, Kwa Kiswahili tunasema RAHANI RadioOne 93.5), UNIVERSITY=Ndaki, COLLEGE=Chuo, STAFF ROOM=Majilisi, STORE=Bohari, STOREKEEPER=Boharia, KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo, CLASS TEACHER=Mdarisi, ALOSTO huitwa "Andasa".
(Kwa hayo machache, mtafaidika).

¤Kiswahili Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.
 
Neno RUNINGA sanasana hutumika KENYA, kwa hapa TZ hutumika TELEVISHENI ambalo limetoholewa. Pia ikumbukwe kwamba, BAKITA(Tz) na CHAKIKE(Kenya) mpaka sasa wana msigano kuhusu ni neno gani litumike kati ya hayo mawili.
 
Huitwa KITANZA MBALI/KIONA MBALI,

NYONGEZA:

DVD huitwa Pataninga, CD=Santuri, FLASH DISC=Diski Mweko, ATM=Kiotomotela, BUSINESS CARD=Kadi Kazi, ATM CARD=Kadi hela, SMARTPHONE=Sikanu, NETWORK=Mtandao, INTERNET=Mtawalishi, SIMCARD=KadiSakima, KEYBOARD=Kicharazio,
EXPIRE DATE=Chotora, ACTIVATE=Amilisha, TUNE(Mfano Tune RadioOne 93.5, Kwa Kiswahili tunasema RAHANI RadioOne 93.5), UNIVERSITY=Ndaki, COLLEGE=Chuo, STAFF ROOM=Majilisi, STORE=Bohari, STOREKEEPER=Boharia, KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo, CLASS TEACHER=Mdarisi, ALOSTO huitwa "Andasa".
(Kwa hayo machache, mtafaidika).

¤Kiswahili Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.
duu hii ndio naisikia leo, asante

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Huitwa KITANZA MBALI/KIONA MBALI,

NYONGEZA:

DVD huitwa Pataninga, CD=Santuri, FLASH DISC=Diski Mweko, ATM=Kiotomotela, BUSINESS CARD=Kadi Kazi, ATM CARD=Kadi hela, SMARTPHONE=Sikanu, NETWORK=Mtandao, INTERNET=Mtawalishi, SIMCARD=KadiSakima, KEYBOARD=Kicharazio,
EXPIRE DATE=Chotora, ACTIVATE=Amilisha, TUNE(Mfano Tune RadioOne 93.5, Kwa Kiswahili tunasema RAHANI RadioOne 93.5), UNIVERSITY=Ndaki, COLLEGE=Chuo, STAFF ROOM=Majilisi, STORE=Bohari, STOREKEEPER=Boharia, KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo, CLASS TEACHER=Mdarisi, ALOSTO huitwa "Andasa".
(Kwa hayo machache, mtafaidika).

¤Kiswahili Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.
dah kiswahili kigum asee
 
kitchen party ni sherehe mfundo, send off ni sherehe mwago.
 
Hamjambo wana JF wenzangu?

Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili?

Karibuni Saranga Dar!
Decoder huitwa KISIMBUZI. Hiyo king'amuzi nadhani vinatumika pamoja

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Huitwa KITANZA MBALI/KIONA MBALI,

NYONGEZA:

DVD huitwa Pataninga, CD=Santuri, FLASH DISC=Diski Mweko, ATM=Kiotomotela, BUSINESS CARD=Kadi Kazi, ATM CARD=Kadi hela, SMARTPHONE=Sikanu, NETWORK=Mtandao, INTERNET=Mtawalishi, SIMCARD=KadiSakima, KEYBOARD=Kicharazio,
EXPIRE DATE=Chotora, ACTIVATE=Amilisha, TUNE(Mfano Tune RadioOne 93.5, Kwa Kiswahili tunasema RAHANI RadioOne 93.5), UNIVERSITY=Ndaki, COLLEGE=Chuo, STAFF ROOM=Majilisi, STORE=Bohari, STOREKEEPER=Boharia, KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo, CLASS TEACHER=Mdarisi, ALOSTO huitwa "Andasa".
(Kwa hayo machache, mtafaidika).

¤Kiswahili Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.
, KITCHEN PARTY=Sherehe Mwago, SEND OFF=Sherehe Mfundo-hapa naona umekuwa mzee wa rivasi,wahenga wenzangu mtakuwa mmenielewa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom