Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Huyu dogo AJ anatakiwa aache kulewa sifa za waingereza, anaweza kuwa na wakati mgumu tena.
 
Kwa wale ambao ni wachanga ktk game ya boxing let me tell you that on April 21 2001 Lenox Lewis was knocked out by underdog Hasim Rahman in south Africa... Kumbuka kabla ya pambano hilo Lewis alitoka kumpiga evender hollyfield... Wengi walishangilia jinsi lenox Lewis alivyopigwa kwa KO na Rahman pale South Africa kama jinsi watu wanavyoshangilia Leo AJ alivyokalishwa na Andy Ruiz...hahahaa.. Ngoja niwaambie nini kilitokea kwenye marudiano ya Lenox Lewis na Hasim Rahman... Lenox alimpiga vibaya Hasim Rahman kwenye round ya 4 tuu Kijana chalii ilikuwa ni November 2011...hahahaa The same is going to happen in a rematch between AJ vs Ruiz... Let's wait and see
Punguza mahaba.Lennox sio amigo Andy Ruiz junia
 
Back
Top Bottom