Watu washabomolewa ndio walikuwa wanachelewesha zaidi.. Nacho furahia zaidi sie tulio karibu na reli ya Tazara hatuhusiki tunapeta na house zetu japo kelele za horn zinatusumbua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.