Reli ya Kati: Benki ya Exim (China) wakubali kutoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serikali ya Tanzania

Lizaboni kada mwenzangu..ni mafanikio ndio lakini ujue ni deni hilo linaongezeka na huwa na riba kubwa tuu..anyway ngoja tufurahii

Tatizo sio deni.... tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni hiyo mikopo kuishia mikononi mwa wachache.....

Kama mtu unachukua mkopo bank halafu kituo cha kwa baa,kwa nini usione mkopo mbaya.!
 
Dah this is a big step for our country...

Tunakupongeza Mh JPM kwa kutuletea kitu kizuri, tuna imani kuwa hakutakuwa uchakachuaji kama hawa jamaa zako walivyotuchakachua kwenye bomba la mafuta ambalo karibu nusu ya gharama za mradi watu wametupia mfukoni. Kama hii reli ingekuwa wakati wa awamu ya nne bei ingekuwa trilioni 40
 
no
I jambo njema kwa ajioi ya nchi yetu nitoe rai kwa serikali tu uboreshji huu wa reli uendana ununuzi mpya wa treni za kisasa na zenye ubora isije kuwa reri ya kisasa mi treni ya ya mwaka 1900..
 
Safi sana kuna watu walisema bajeti ya mwaka huu ni ya hovyo haijawahi kutokea. Sasa wanaumbuka tunajenga reli tuwakomboe wananchi tunaimarisha usafiri
 
no
I jambo njema kwa ajioi ya nchi yetu nitoe rai kwa serikali tu uboreshji huu wa reli uendana ununuzi mpya wa treni za kisasa na zenye ubora isije kuwa reri ya kisasa mi treni ya ya mwaka 1900..

Ungekua wewe kati ya gari la kisasa na barabara ya lami ungeanza na lipi? ukishakua na barabara ya lami kununua gari la kisasa ni kama kutoa hela ya mboga tu
 
Safi sana kuna watu walisema bajeti ya mwaka huu ni ya hovyo haijawahi kutokea. Sasa wanaumbuka tunajenga reli tuwakomboe wananchi tunaimarisha usafiri

Sasa benki ya china kutukopesha trillion 16 inahusiana vp na bajeti yetu kua mbovu?
 
Tembelea Reli ya TAZARA ambayo imejengwa kwa standard gauge then tembelea reli ya kati. Ndo utaona tofauti yake

Lizaboni sisi wengine tuko vijijni hiyo Tazara tunaisikiaga tu.Je Reli ya Tazara ndio standard gauge?
 
Back
Top Bottom