Reli ya Kati: Benki ya Exim (China) wakubali kutoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serikali ya Tanzania

Mkopo ni biashara kama biashara nyingine na sio msaada. Hizi fedha toka Exim bank ya China sio Grant au Financial Aid bali ni Loan.

Fatilia kesi ya money laundering ya kina kitilya ndiyo utaelewa kama siyo mkopo au vipi? Ile riba ya asilimia 2% ilingiaje pale
 
Aliye
huu sio msaada, ni mkopo na tutaulipa taratibu. usikurupuke soma vizuri kwanza ndo uchangie[/QU

Aliyekuambia ule msaada haulipwi Ni nani? Sema msaada unariba ndiyo au hauna riba kabisa lakini kulipa kupo palepale
 
Mkuu ngoja niliweke hili wazi kwako na kwa Watanzania wengine ambao hawalielewi hili swala la gesi..

Iko hivi, kuna mikondo miwili iliyopatikana gesi Mtwara.. kuna Msimbati na offshore ya Mtwara.. Msimbati ni visima vitatu tu na ndivyo vyote vilijengewa bomba na hiyo gesi kusafirishwa kupelekwa Dar ili izalishe Umeme na Umeme wake utumike Grid ya Taifa.. Na Msimbati huko huko ndiko pia ipo gesi inayozalisha Umeme wa Mikoa ya Mtwara na Lindi. Gesi iliyopo Msimbati ni chache sana, Offshore ya Mtwara ndiyo ina gesi nyingi, kuna visima zaidi ya 40 kwenye offshore ya Mtwara wakati Msimbati kuna visima vitatu tu. Imagine kama visima vitatu vya Msimbati na viwili vya Songosongo vinazalisha 50% ya Umeme wetu, visima 40 vingezalisha umeme kiasi gani? Je tusingeuza nje umeme? StatOil wana kisima ambacho kinaweza kutumika miaka 40 bila ya gesi kuisha huko kwenye offshore ya Mtwara, BG nacho wanacho cha zaidi ya miaka 30.. Na bado kuna visima vingine vya miaka 15 mpaka 30 vingi tu..

Sasa suala lilikuwa ni kubadili ile gesi kwenda kwenye vimiminika na unga.. Kiwanda kilitakiwa kijengwe Lindi na BG lakini wameamua kumwachia Shell ndiye mtaalamu wa kujenga viwanda vya kuchakachua gesi. Kiwanda kilikuwa kianze kujengwa mwaka jana lakini baada ya bei ya gesi na mafuta kushuka jamaa wote walifunga operation zao wakarudi makwao wakisubiri bei irudi juu.. Sasahivi atleast bei imepanda na mwezi wa 9 jamaa wanarudi na project yao wanayorudi nayo ni kujenga hicho kiwanda cha refinery ambacho tayari eneo lipo na tayari bomba la kutoa gesi kutoka baharini mpaka hapo kiwandani lilishakamilika.. Kiwanda kikiisha (hopefully mwakani) basi hapo ndio tutaanza kufaidi mapato ya gesi yetu.. Kwasasa tunafaidi kwenye umeme pekee..

Tobaaa

ikishuka wakiwa katikati ya mradi wataondoka tena
 
salute mkuu......

uboreshaji wa hali ya umeme nchini ni mkubwa sana hasa kwa bajeti ya nishati na madini ambayo imetenga pesa nyingi zaidi kwa ajili ya umeme ............

lakini katika muendelezo huu wa kuunganisha mkondo wa umeme kutoka kanda ya magharibi hadi arusha umeelezewa kama wenye lengo la kuunganisha nchi za jirani katika kuwauzia gas.. je, hili linamaanisha kuwa mpango wa kununua umeme wa Ethiopia umehairishwa au la
 
Ni vizuri, ila nahofia sana, hizo fedha zote zitabaki china na kukuza uchumi wa china, kwanza, yawezekana Vifaa vyote vya ujenzi wa reli hii vitatoka china, najua hapa nchini hatuna, vile vile, najua makampuni ya ujenzi wa reli hii yatatoka china, fedha za kuyalipa kwa ajili ya ujenzi huu zitabaki china, sisi kama Tanzania nadhani tutabaki na Tsh. si Zaidi ya Trilioni 3-4 ambazo zitakuwa ni za mishahara ya wafanyakazi wa ujenzi wa reli hii, huduma, mfano chakula kwa wafanyakazi, malazi, mafuta ya magari kwa ajili ya watumishi na wafanyakazi nk. lakini fedha nyingi zitabaki china.

mkuu hakuna nchi itakayokupa mkopo wa mradi mkubwa kama huo na wasifaidike kwa chochote hivyo, matumizi ya wataalamu na vifaa vya China halitoepukika lakini yakupasa utambue kuwa mradi huo ni wa faida kubwa kuanzia katika ujenzi hadi uendeshaji wake kwa kutoa ajira.....

usihofu kuhusu ulipaji wa deni kwa kuwa mikopo mingi iliyopita ilitumika hata katika matumizi ya kila siku ya serikali ambayo hayakuzalisha pesa ya kulipa mkopo husika ambayo ni tofauti na mradi huu ambao utazalisha pesa ya kulilipa deni hilo....

mkopo si wa kutishia amani kama una uwezo wa kulipa na mradi kama huu umekuja katika wakati muafaka..
 
salute mkuu......

uboreshaji wa hali ya umeme nchini ni mkubwa sana hasa kwa bajeti ya nishati na madini ambayo imetenga pesa nyingi zaidi kwa ajili ya umeme ............

lakini katika muendelezo huu wa kuunganisha mkondo wa umeme kutoka kanda ya magharibi hadi arusha umeelezewa kama wenye lengo la kuunganisha nchi za jirani katika kuwauzia gas.. je, hili linamaanisha kuwa mpango wa kununua umeme wa Ethiopia umehairishwa au la
Mkuu Trust me hatuhitaji umeme wowote kununua kutoka nje.. Gesi iliyopo Songosongo na Msimbati inatosha kutosheleza mahitaji yetu kwa sasa labda huko mbeleni sana.. Songosongo nimeambiwa kimeongezwa kisima kingine kimoja kwahiyo hopefully gesi inayozalisha umeme wote itapanda zaidi ya 54%. Na bado Msimbati kuna gesi nyingi ambayo itakuwa inaongezwa taratibu kwenye grid ya taifa..
 
Fatilia kesi ya money laundering ya kina kitilya ndiyo utaelewa kama siyo mkopo au vipi? Ile riba ya asilimia 2% ilingiaje pale
Nashindwa kukujibu kwa sababu nahisi haujaelewa nilikuwa nazungumzia nini katika hoja yangu na ilikuwa ni majibu ya hoja gani. Rudia kusoma vizuri comment yangu ya kwanza.
 
na kumbuka deni la taifa linazidi kuongezeka na sasa kufika tillion 56.magu kauza nchi kwa jamaa
Deni likiongezeka kwa sababu ya maendeleo sio kitu kuliko kutumbua revenue kwa kisingizio cha kwenda kutafuta mikopo na misaada. Inatakiwa Tanzania iunganishwe mikoa yote kwa reli
 
Mkuu Trust me hatuhitaji umeme wowote kununua kutoka nje.. Gesi iliyopo Songosongo na Msimbati inatosha kutosheleza mahitaji yetu kwa sasa labda huko mbeleni sana.. Songosongo nimeambiwa kimeongezwa kisima kingine kimoja kwahiyo hopefully gesi inayozalisha umeme wote itapanda zaidi ya 54%. Na bado Msimbati kuna gesi nyingi ambayo itakuwa inaongezwa taratibu kwenye grid ya taifa..
Njia kidogo ya umeme wa uhakika inaonekana maana kutegemea umeme wa maji ndo kulitufanya tuwe na migao isiyokuwa na mwisho , achilia mbali mikoa kama ruvuma iliyokuwa inatumia umeme wa mafuta ambapo gharama yake ni kubwa zaidi...

Ninavyoona uchumi wa Tanzania utazidi kuimarika na kuwa stable zaidi katika siku za usoni kuliko ilivyokuwa kabla kutokana na ukweli kuwa ; ukosefu wa umeme uliongeza gharama za uzalishaji kwa biashara kubwa hata ndogo na hali hii ilipelekea upotevu wa mapato na usanifu hafifu wa uzalishaji Mali wetu ......
 
Mtu anakuambia nitakujengea reli, na anakupa bei ya kukujengea.

Kwa sababu umeruka procurement process (rushwa) hujui kama bei aliyokupa ni inflated or not.

Huyo huyo anayekujengea kwa bei usiojua kama ni right, anatumia benki yake kukupa mkopo. Kwa sababu huna room ya kunegotiate na benki nyingine huwezi kujua kama rate and terms are favourable.

A 1% difference in interest rate makes a billion(s) shillings difference. Leave out other terms.

Tumepigwa na aliyepigwa hajui kama amepigwa.

Plus, the railway may be more beneficial to Beijing than it is to us. Beijing got it for free.

Beijing pia wapo kwenye bandari, same trick. A railway and a port. What more could they ask for?

Modern day economic hitmen/mafioso.

technically

JPM aliwasifu wachina na kuna watu tulihoji mkopo huu kama hauna harufu ya upigaji.

Wengine wakatuita wajinga na wapinga kila kitu.

Je, bado wanashikilia kauli zao?

Ili kuwa na standard, kwa nini walioshiriki huu ufisadi "hawatumbuliwi" au "kufikishwa" mahakamani.

Siamini wachina wanaweza kujaribu kutuibia bila ushirikiano wa wanasiasa wakubwa hapa.
 
Kwa hiyo ulitaka iwe vipi?

Thanks God Mhe Rais halali kwa ajili ya nchi yetu ipunguze liabilities na kuongeza value yetu.

Angeweza kukaa kimya na tusingefanya lolote kama ilivokuwa IPTL nk.

Viva JPM
 
Go JpM go. Ongera Msigwa kwa kutuhabarisha mambo. Hi ndo government yenye ukweli na uwazi kwa vitendo.
 
Ni wazo zuri sana km tukiwa na reli ya uhakika na usafirishaji ukawa bei shindani itaweza kurejesha Pesa Mkopo huo mizigo itasafiri mingi Kwa wakati
 
Kwa hiyo ulitaka iwe vipi?

Nilitaka hao corrupt officials walioshiriki ufisadi huo wafikishwe mahakamani. Hii ni kuweka standard kwamba hakuna upendeleo kwenye kushughulikia mafisadi.

Magufuli hayupo milele, kesho na kesho kutwa watakuja viongozi wengine. Inatupasa tuwe na mfumo usioruhusu upigaji huu na si one-man show.

Thanks God Mhe Rais halali kwa ajili ya nchi yetu ipunguze liabilities na kuongeza value yetu.

Hauhitaji kukosa usingizi kujua hii deal ilikuwa na harufu ya ufisadi na ndiyo maana wengine tulikuwa "doubting thomases" wakati wengine mkiimba nyimbo za kuwasifu wachina.

Angeweza kukaa kimya na tusingefanya lolote kama ilivokuwa IPTL nk.

Viva JPM

Unakumbushia IPTL na hapo hapo unasema Viva JPM. Una matatizo ya akili.
 
Asilimia mia Magufuli ni fisadi mkubwa alituambiya wachina wamaana kuliko hata wamerekani akasema wanafaa,wanaaminika leo anageukia waturuki bila maelezo ajifanya yupo juu ya sharia mwaka jana alisema nini alipokuwa akituambia kuhusu benki ya exim china kukubli kutukopesha huyu asipooangaliwa atailipuwa hii nchi he is just a populist
 
Back
Top Bottom