Relationships will drain you as a man

You dont get the big picture.

For example; for a person to die, the heart must cease pumping blood and therefore stop blood circulation in the body, is that right? Yeah it is right.

Now, for those who die of hunger, the emptiness of their stomachs zinahusikaje na flow of blood hadi moyo uache kusuma damu? Maana kwa jinsi ulivyojibu, ni kana kwamba chakula tumboni hakihusiki kwa namna yeyote na mzunguko wa damu, ulifaulu kweli biology au na wewe unataka kutupiga?
Food In the stomach is digested and the nutrients are taken to the whole body through blood circulation
The purpose of blood circulation is to transfer air and food nutrients (energy ) to the organs

Also you should know that a person with starvation dies because body organs lacks energy to continue working
 
You dont get the big picture.

For example; for a person to die, the heart must cease pumping blood and therefore stop blood circulation in the body, is that right? Yeah it is right.

Now, for those who die of hunger, the emptiness of their stomachs zinahusikaje na flow of blood hadi moyo uache kusuma damu? Maana kwa jinsi ulivyojibu, ni kana kwamba chakula tumboni hakihusiki kwa namna yeyote na mzunguko wa damu, ulifaulu kweli biology au na wewe unataka kutupiga?
Humu tuna watu wa ajabu sana. Mtu anakwambia blood circulation is all about veins. Hajui hyo blood inahitaji pumping machine ili kuzunguka mwili mzima. Hajui hyo pumping machine inahtaji energy ili kufanya kazi. Anyway ndo madhara ya vitabu vya oxford tusimlaumu

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
so ukiwa una starve ndo jogoo hapandi mtungi?? Ukifa na njaa means u don't have enough energy to run your body,, umetumia the whole glucose, fat and protein zimeisha.?

Hapa tuanongelea mtu akiwa na njaa,,, just a normal response ya mazoea ya muda wa kula uliojiwekea,,, hatuongelei starvation
Angalia comment husika iliongelea njaa gani. Hii njaa unayopata sabab ya kuchelewa kula sio hyo tulokua tunazungumzia haapa. Si tunazungumzia njaa ya kupigika huna hela ya msosi na hujui utakulaje sasa ww unazungumzia njaa ya kuchelewa mda wa kula

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Humu tuna watu wa ajabu sana. Mtu anakwambia blood circulation is all about veins. Hajui hyo blood inahitaji pumping machine ili kuzunguka mwili mzima. Hajui hyo pumping machine inahtaji energy ili kufanya kazi. Anyway ndo madhara ya vitabu vya oxford tusimlaumu

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Art pure hawa mkuu usiwalaumu hata Osmoregulation hawajui ni nn
 
Humu tuna watu wa ajabu sana. Mtu anakwambia blood circulation is all about veins. Hajui hyo blood inahitaji pumping machine ili kuzunguka mwili mzima. Hajui hyo pumping machine inahtaji energy ili kufanya kazi. Anyway ndo madhara ya vitabu vya oxford tusimlaumu

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Veins hazina pressure ya heart,, ni contractions z muscles ndo zinafanya kuwe na movements kwenye veins that's why kuna valve

Hata usipokula but una enough protein, glucose and fat moyo hauwezi kukosa energy ya contractions and relaxation
 
The naked truth, nshajichanganya ikawa matizi hola, online training sielewi kitu, kuanzisha side hustle nakuwa mzito, ila nashukuru alinipa sababu na mi sikufanya makosa nikamtua kwa wazazi wake nyambaaf
 
Huenda kuna mwana mwingine alienda kuibeba ile manzi.
 
😂😂😂mwana ulijikuta michakato haiendi au sio
😂 ngoma ngumu laana sio laana mkosi sio mkosi, by the way nliijua sababu ni kwamba sio mwaminifu afu anaimani potofu shiriq, isitoshe background yake haina baraka za Mungu hata chembe
 
😂😂😂😂dah mkuu mimi sahv kila nkifikiria kufanya mchakato nivute manzi af nkikumbuka michakato haisomi nakausha tu
 
Bora kukausha baharia jipende wewe kwanza then after utapata mtu anayekupenda kama we unavyojipenda ila ukimsikiliza abdala kichwa wazi utakuja na uzi hapa jamvini huku jasho linatiririka
 
😂😂😂😂kuna jinamizi lilishanipiga tukio mkuu akili imenyooka sahivi

Dem alitumia nguvu nyiiingi nimpende nlivozama tu kwenye 18 nkala nyundo
 
Veins hazina pressure ya heart,, ni contractions z muscles ndo zinafanya kuwe na movements kwenye veins that's why kuna valve

Hata usipokula but una enough protein, glucose and fat moyo hauwezi kukosa energy ya contractions and relaxation
Dah!!! Hv unakielewa kweli unachoandika haapa? Hebu rudia kusoma ulichoandika afu nambie kama umekielewa

Back
Top Bottom