Relationship sttus : Its complicated

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
767
195
WanaJF naomba kujua wanaoandika status zao hasa knye Fecebook it's complicated ni kwamba wamechakachuliwa sana au wanamanisha nini, ???
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
23,663
2,000
Uhusiano upo ila kama haupo!Wanakua hawana uhakika kama bado wako kwenye uhusiano au la(mfano mmoja kaharibu ila hawajafikia kuambiana sikutaki tena)...kama wanao uhusiano au hawana (wameongea ila hawajatamkiana/kubaliana rasmi kua pamoja).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom