Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relationship between ENVIRONMENTAL AND ENVIRONMENTAL ECONOMICS.......
Msaada pleaz kwa anaejua relationship ya hiyo kitu..........
Your heading.,I don think is in a right way. It should be "The relationship btn environment and environmental economics."
environmental accounting environmental auditing na environmental economics, khaaa! namkumbuka sana prof Khatima.
anyways ukitaka kujua na kuelewa haya masomo vizuri nenda katafute nondo za EMS( environment management syastems) sio tu definition bali pia itakupa maelezo mazuri zaid.
no angepata njia ya kuanzia manake nilisoma ems na nilielezewa nawezaje kutofautisha haya makintu auditing, accounting na economics kwenye envirmental base. sina maana kwamba vinafanya kaazi sawa ni tofauti kabisa ila tu utaelewa unatofautishaje. but aki google ni sawa kabisa.EMS ni mambo mengine ataenda Chaka! Daaaaaah! Unanikumbusha Proffessor Ngaga Wa SUA mtaalam Wa Environmental Economics!! Jamaa ni M'BAYAAAA!! Yaani M'BAAAYAAAAAAAAAAA!!
jaribu ku google tu environmental economics utaona!
EMS ni mambo mengine ataenda Chaka! Daaaaaah! Unanikumbusha Proffessor Ngaga Wa SUA mtaalam Wa Environmental Economics!! Jamaa ni M'BAYAAAA!! Yaani M'BAAAYAAAAAAAAAAA!!
jaribu ku google tu environmental economics utaona!