Rekodi ya uigizaji

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Mwigizaji Brahmanandam kutoka India ndiye mwigizaji anaeshikilia Rekodi ya Guinness Book yakua mwigizaji aliye onekana katika filamu nyingi zaidi duniani ,
Brahmanandam ameonekana kwenye filamu 1,000 na zaidi.
 
Mbona mie simjui!! Ila inawezekana maana mie na movie za kidosi daaah kama bongo movie tu na weme wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom