Rekodi kali za JK ambazo Slaa hawezi vunja- aongezewe muda wa urais

mi nadhani rekodi hizi ziingizwe kwenye world genious book cz cijui nani atakayeweza kuzivunja kizazi hiki au kijacho
 
Duh!! hao hdio wajumbe wa NEC ya....
Are you that immaterial? Try to use numbers next time,they make more sense!
Hakuna immateriality, labda wewe una matatizo ya uelewa....... THSE RECORDS SPEAK FOR THEMSELVES
 
22. rais aliyewaingiza mjini TUCTA na mashirikisho mengine ya wafanyakazi mishahara imepanda kumbe lilikuwa changa la macho kupata mwaliko mei mosi
Hahahaha!
Mkuu umesahau kuwa wajinga ndio waliwao???
 
tatizo la wakaskazini huwa hamuuoni ukweli kama CCM KILIPIGIWA KAMPENI NA WATU WATATU TU AMBAO UNASEMA BMW-HUONI IKITOKEA KIKASIMAMA NA MAKADA WOTE KINAWEZA KUKUMAZIA MBALI ICHO CHAMA CHA WACHAGA NA WAARUSHA? THINK TWICE UNATUMIA NGUVU NYINGI KUANDIKA VITU AMBAVYO HAVIJAENDA SHULE KABISA,NA MTANGOJA MILELE

Pole sana Mkuu (seki6). Bado una akili zenye kutu? Hayo mambo ya kudhani CDM ni ya kilimanjaro na Arusha hata vikongwe na "babies/infants" wanajua kuwa siyo kweli. Kigoma ni Arusha; Mbeya nayo ni Kilimanjaro; mwanza ni Arusha; mara ni kilimanjaro; Singida, kagera, Iringa; kote huko ni Arusha? Kasome vizuri Atlasi yako.

Mimi naunga mkono JK aongezewe muda wa awamu ya tatu. Awede, Keep it up.
 
Raisi alifanya shilingi yetu ikakosa thamani sasa ni kama karatasi tu
Raisi aliyeruhusu taasisi za serikali zifanye mauzo ya ndani kwa USD
leo ukienda kukodi uwanja wa sabasaba unaambiwa ulipe skwea mita kwa dola. loh!!!
Raisi aliyekosa muelekeo kabisa, mdini, mkabila, ameamua kuwapiga vita wachaga kupitia nape.
Raisi aliyesambaratisha uchumi wa nchi kwa matumizi mabaya ya fedha za serikali
Raisi aliyesababisha mgao mkubwa kabisa wa umeme kuliko kipindi chote cha uhai wa tanzania iliyopita
Mimi namuombea mungu amchukue amfuate rafiki yake na mlinzi wake aliyetutoka ghafla, Amina
 
31. Raisi aliyehudhuria mazishi nyingi kuliko wote waliomtangulia.
32. Raisi aliyekwenda kubembea Jamaica kwa fedha za walipa kodi.
33. Raisi mcheza kiduku.
34. Raisi aliyekwenda kuuza sura na Boyz II Men
35. Raisi mwenye visasi (Babu Seya,Prof. Mahalu...)

mkuu hiyo hoja namba 32 inatia uchungu sijui wa Tz tumelogwa? No action at all! Ngoja nami niongeze kwenye list: rais aliyeshangaa ng'ombe wenye uzito mkubwa kule zimbabwe asijue kwamba kule Kitulo wako zaidi ya hao wa zimbabwe! Teh teh tih
 
2 Rais ambaye alitoa msamaha kwa wezi wa mabilioni kwa muda na wezi wa kuku wako magerezani. Hii ni kinyume cha katiba ya nchi na sheria.
3 Rais aliyehutubia bunge lakini hansard ya bunge haina hotuba yake hiyo. Mijadala mingine yote ipo isipokuwa ile hotuba yake juu ya EPA. A historic record.


Hizi rekodi namba 2 na 3 kwenye mtiririko wako ndiyo funga kazi
 
mashambulizi binafsi ya kikwete ndo yanayompandisha chati, tatizo ni kikwete sio ccm.....kikwete atabaki kuwa mtu wa watu pamoja na ufedhuli wote anaofanyiwa.
 
mbona unajichanganya eti raisi alieshnda kwa 80%, mara raisi aliechakachua hii inaonesha ni jinsi gani mlivo na uchu na huo urais...haya bwana ngoja nisubiri elimu na matibabu bure...2015 c mbali

Acha kujidhalilisha inamaana hujui kusoma na kuchambua. Alishinda 2005 kwa 80%, 2010 akachakachua wake up.
 
tatizo la wakaskazini huwa hamuuoni ukweli kama CCM KILIPIGIWA KAMPENI NA WATU WATATU TU AMBAO UNASEMA BMW-HUONI IKITOKEA KIKASIMAMA NA MAKADA WOTE KINAWEZA KUKUMAZIA MBALI ICHO CHAMA CHA WACHAGA NA WAARUSHA? THINK TWICE UNATUMIA NGUVU NYINGI KUANDIKA VITU AMBAVYO HAVIJAENDA SHULE KABISA,NA MTANGOJA MILELE
Mi sijaona vitu ambavyo havijaenda shule hapo maana yaliyoandikwa Na. 1- 20 yako wazi na yanaonekana. Halafu mimi si mchagga kama wengi walivyo,lakini ni mshabiki na mwanachama wa CHADEMA. Au unataka kutuambia umati wooote unaofurika kuwasikiliza makamanda wa CHADEMA Mwanza, Shinyanga, Musoma, Mbeya, Songea, Bukoba, Chatto n.k ni wachagga? Acha ubabaishaji wewe.
 
Back
Top Bottom