Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,471
- 6,370
Waje wajibu kwanza haya maswaliSawa kolo tumekuskia je hili unalzungumziaje View attachment 1911626
Waje wajibu kwanza haya maswaliSawa kolo tumekuskia je hili unalzungumziaje View attachment 1911626
Ngoja makorokoro yenu yatokeSio Yanga,sema gsm anabeba.
Dar es salaam Young Africans
Home of champions
Mama.eAlikuwa nazo alivoona za yanga amezirudisha china coz ni mbaya
Kolo kama kolo kwenye ubora wako.Mi yanga lia Lia ....lakin kuamin tumeuza jezi milioni moja sio kweli ...pic miliona moja sio mchezo!! Ukizingatia sis tunategemea local market pekee ..... just imagine Liverpool timu ambayo inauza worldwide jezi zake msimu wa mwaka Jana ndo waliongoza kuuza jezi kwa ngazi ya vilabu ulimwenguni ndo waliuza pic milioni 1...Sasa sis wananchi ndani ya siku mbili tuuze nakala milioni!?...sio kweli ...ingkuwa hivyo makampumi makubwa like Nike na Adidas wangkuwa wanapishana korido za jangwani pale kugombea tender ya kutengneza jezi zetu
Yanga wanapata 1300/ shillings tu..kati ya kila mauzo ya jezi moja.Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.
Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.
Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.
Sisi Simba zetu uwa tunauza 25,000 na club inapata 10,000 kwa kila jeziUzuri jezi ya yanga inauzwa 35000 Club ya yanga inajipatia buku mia tatu kila jezi(1300).
Inawezekana nyingi zimenunuliwa na wafanyabiashara wa maduka ya nguo yalipo maeneo tofauti ya nchi ili wakayaweke kwenye maduka yao kwa ajili ya kuuzaJezi 1M labda zile lonya za buku 4 nne