REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

Wivuuuu , tunataka Taarifa ya mapato na matumizi ya Club ya Simba.Taasisi gani Haina Taarifa za fedha,kaeni chonjo mtafakari ndiyo maana mashabiki wa Simba mnaitwa Mambumbumbu hamtafakari wala kuhoji yanayoendelea kwenye Club yenu nyie kila kitu anafanya Muhindi na familia yake.Njaa yenu na umasikini wenu umepitiliza mpaka umewahondoa ufahamu mnaburuzwa kama mkokoteni.Mashabiki wa Makolokolo FC ,Mbumbumbu FC,Kanjubari FC, Mjitafakari sana
Mwacheni kumsema Boss Mo kwa hoja ambazo ni za msingi, mnataka atususie timu?

Tutaficha wapi sura zetu.
 
Wewe Kolokolo mbona upo high hivyo?

Sasa Uto hizo Jezi 1M mbona hazionekani uwanjani? 😂😂😂

Naona Uto wametinga Jezi za Zamani na sio hizo mpya za Vibwengo!!

VIBWENGO FC (1).jpg
VIBWENGO FC (2).jpg
VIBWENGO FC (4).jpg
VIBWENGO FC (3).jpg
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom