Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,215
- 7,906
Kwa mara ya kwanza katika historia, nusu ya viongozi wakuu wa Baraza la Usalama la Kitaifa (national security council) nchini Marekani ni wanawake. Idara 12 kati ya 24 zinaongozwa na wanawake sasa, hii pia inajumuisha idara tatu kati ya sita ambazo zinashughulikia masuala ya dunia nzima.