nyambe boy
Member
- Apr 3, 2014
- 36
- 11
kaka mkubwa tusaidie likn tuyaone majina vizuriAsalaam ,Uzi huu ni mahususi kwa waombaji wa undergraduate wenye sifa zote tuliochaguliwa na vyuo mbalimbali lakini majina yetu hayakuthibitishwa na TCU kwa sababu database yao inaonesha sisi ni wanafunzi wa vyuo vikuu tayari & tunaendelea na masomo ili hali hatusomi chuo chochote ndio mwaka huu tumeomba nafasi za masomo.
Binasfi niliwahi kuomba chuo kupitia TCU miaka mitatu iliyopita na kuchaguliwa DIT Baeng in civil & building kutokana na matatizo ya kiafya sikuweza kwenda chuo yaan sikufuatilia tena post yangu. Sasabasi tujadiline namna ya kutetea nafasi zetu kwenye vyuo tulivyochaguliwa kwani tayari tumekwisha tumia muda na pesa kuomba nafasi hizi.
Nawakaribisha