Rejected by TCU, Names mismatch.

badali

JF-Expert Member
Mar 27, 2017
212
81
Je ukiambiwa names mismatch ufanye nini ili uendelee kupata nafasi katika chuo husika 2017/2018 au ndo basi tena au ndo uombe tena katika second selection?
Uombe udahili wa mara ya pili?
Naomba majibu.
Shukran.
 
Inabidi uelewe kwanza names mismatch kiaje,ni vizuri ukawapigia uwaulize na wakupe way forward
 
Back
Top Bottom