Rejea: Ripoti ya Tume ya jaji Warioba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rejea: Ripoti ya Tume ya jaji Warioba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Jul 29, 2009.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni matumaini yangu kwamba kuna waandishi wa habari wengi sana hapa especially wale wa uchunguzi na kujadili mambo makini yaani ya kimfumo.

  Ombi: Naomba mufuatilie na kutupa feedback/mrejesho kwamba baada ya ile ripoti ya tume ya jaji Warioba mangapi yakimfumo yamezingatiwa na ni yepi? Mangapi hayajazingatiwa na ni yapi? Ikiwezekana jaji mwenyewe Warioba ahojiwe.

  Ni muhimu sana tuwe tuna kawaida ya ku-review vitu ambavyo vilishafanywa otherwise tunakuwa tunatumia nguvu nyingi na matokeo ya mafanikio kuwa machache/madogo.

  Angalizo: tuongelee mifumo sio watu.
   
Loading...