Reincarnation: Could it be real? (Kuzaliwa upya inawezekana kuwa kweli?)

hata kabla haujaenda mbali ulitakiwa kujiuliza je ni kweli mwanadamu anaroho..?
ulishawahi kuiona au kuihisi kwa namna yoyote ile..?

Roho ni nini??
Hapo mwanzo Mungu alipuliza pumzi ya uhai na binadamu akawa hai.
Pumzi ya mungu=roho
Pumzi ya mungu ni sehemu ya mungu(part)
Tunajua mungu yupo ,alikuwepo ,atakuwepo ,yupo kila sehemu, hafi ,hazaliwi ,ila anauwezo wa kubadilika kwenye kitu chochote kile jinsi anavyoona inafaa kwa wakati wowote.
Kama mungu anaweza kufanya hvyo kwanini roho zetu zisiwe na huo uwezo?.swali hilo ni kama unaamini binadamu aliumbwa nakupewa pumzi ya mungu.
Hujajiuliza ni kwanini vitabu vya dini vinasema waovu wata kuwa kwenye ziwa la moto milele?.
Kwanini wasinge teketezwa wakaisha na kupotea.
Kama mungu hawezi kufa na kuteketea basi roho ya binadamu pia.
Turudi kwenye mada yetu...je unaufahamu(conscious).kama ni ndiyo basi unaroho mkuu.
basi kama unaroho kwanini usi reencarnate wakati wewe ni part ya mungu ambayo haiwezi kufa bali inaweza kubadilika kutoka kitu kimoja kwenda kingine?
 
Ni kweli mkuu mi mwenyewe nakumbuka kabla ya haya maisha nmewahi kuweko huko Brazil.

Huwa nakumbuka nilivyokuwa nakula maisha na watoto wazr sikumbuki vzr sana wenda nilikuwa mchezaji mkubwa enzi hizo.

Sasa nmezaliwa upya Bongo dah bahati mbaya sana
 
Kwani Nabii Elia alikufa!?..huu uongo naweza pata nukuu yake kwenye biblia!.
Mkuu huwa sina kawaida ya kubishana kwa kitu ambacho nina japo chembe ya ukweli.. ukipata Muda kasome Luka 1: 17 .. Yohana alimtangulia Bwana Yesu akitenda kazi kwa roho ya Nabii Eliya.!

Swali lako kuhusu kufa ama kutokufa kwa Eliya. Aliya alitoweshwa na gari la farasi wa moto,
Henoko pia alitoweka kuna mwanafunzi mwingine wa Bwana Yesu naye baada ya kumbatiza mtu jangwani naye pia alitoweshwa.!
Kwenye jibu langu awali nilikuwa najaribu kuoanisha kuhusu ukweli wa marejeo yetu hapa duniani.
Yamkini kuna ukweli. Kama vile mhubiri asemavyo hakuna jambo jipya chini ya jua lilipo lilikwisha kuwapo.
 
hiyo ni siri ua ma freemason ili kuwaaminisha wajinga wanaeza kupanda daraja na kuwa na uwezo kama malaiks au mapepo..hii ilianza na charles darwin kuwaa.inisha watu kuwa tulitokea kwa masokwe kitu ambacho siyo kweli.hii ilitumika kama base ya uongo wao huo wa kwamba mtu huweza kutoka katika hali ya ubinadamu wa kawaida na kuwa kiumbe wasiokufa haraka na wenye uwezo mkubwa
mfano wa hizi vitu viko ata kwenye movies za vampires na mazombi..hawa ma vampire huwa ni majini kiuhalisia
Kuwa open minded chief...
Babu zako waliwaona wazungu miungu kisa wana baiskeli, ungekuwa wao ukaambiwa kuhusu Antonov yenye tani 640 kupaa angani, au meli ya CSCL Globe ambayo inabeba 20ft kontena 19100 ungeongelea ma freemasons au ungemuongelea shetani menyewe??
Usiogope kitu ambacho hukielewi au hukifahamu mkuu
 
hili jambo lina ukweli ndani yake maana mi mwenyewe kuna wakati najikuta nakumbuka vitu nisivyo vielewa yani huwa sielewi kabia ni nini, maana nahisi kama niliwahi kuwepo zamani kabisa.
Sasa kunawatu watkwambia majini kaombewe sijui nini wakati nipart (sehemu) yako mwenyewe.kila mtu anakuja duniani katika sekunde yake akiwa na mission yake (jukumu).wote hatutakiwi kuwa sawa na ndo uzuri wake upo hapo (beauty of being human).huwezi kupigana na nafsi yako (u cant fight ur self ) au utajiumiza sana bure.kubali na enjoy kufikiria hvyo kwasababu siyo kila mtu anabahati ya kukumbuka mkuu...natamani
 
Nawezaje kujua kama roho ya mtu fulan aliekufa ipo kwa mtu mwingine hata hayo makovu

Nachofahamu ni watu au niseme ndugu ndio wanamuona mzaliwa akiwa na mengi kama alivyokuwa aliyefariki.. wengine hadi tabia, uongeaji n.k

Labda nimuite kaka mpendwa, lovely man :)@mshana jr atufafanulie
 
Kuwa open minded chief...
Babu zako waliwaona wazungu miungu kisa wana baiskeli, ungekuwa wao ukaambiwa kuhusu Antonov yenye tani 640 kupaa angani, au meli ya CSCL Globe ambayo inabeba 20ft kontena 19100 ungeongelea ma freemasons au ungemuongelea shetani menyewe??
Usiogope kitu ambacho hukielewi au hukifahamu mkuu
Kitu usichokijua hakiwezi kikakutisha.lakini kujua kitu si lazma ukione.hata ukisikia kitakupa mwanga au hofu ya hiko kitu.
nakuomba ufatilie maisha ya malkia na bloodline yao.na wasanii wengine wakubwa.wako na sifa tofauti na binadamu wa kawaida.huwa wanaitwa reptillians.hawa huwa si watu wa kawaida.huwa wana kama uhalf cast wa binadamu na majini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom