Rehema na Msamaha

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
1,233
1,289
Kusamehe ni taji la ukubwa na fahari.

Rehema inaitukuza nguvu.

Itakuwa ni vyema iwapo rehema itashirikishwa pamoja na ukubwa.

. Itakuwa ni adhabu kubwa itakayotolewa mbali na kuombwa msamaha.

. Unyenyekevu inatangaza ukubwa.

. Unyenyekevu ni matunda ya elimu na hekima.

. Unyenyekevu bila ya kutazama panapostahili ni sawa na huna uwezo.

. Majivuno huangamiza na kumharibia sifa mtu.

. Kwa kuwa na majivuno au kiburi ni sawa na kuipa akili sumu.

. Kiburi hukandamiza mwenendo wa maendeleo.

. Majivuno huua na kuudhalilisha ukubwa.

. Unyenyekevu ni sawa na wavu uliotandwa kwa ukubwa.

. Kujivuna na kule kujideka ni matokeo ya wale wenye akili kasoro.
 
Back
Top Bottom