Registered nurse wa kike anahitajika

colin_morgan

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,281
2,000
Habar zenu wana jamii forum , natumai ni wazima wa afya

bila ya kupoteza mda niende kwenye mada husika kama kichwa cha habar kinavyoeleza kama wewe ni mwanamke na ni registeted nurse ukiwa ni fresh from school yaan hauna sehem ambayo unafanya kazi ni vizur zaid basi tafadhal naomba ni pm

Eneo la kazi ni dar es salaam
mengi zaid tuta discuss baada ya kuni pm

asanten sana
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
8,997
2,000
ili ku-pm lazima nae awe na account hapa jf tena yenye siku kadhaa. cha msingi weka number ya simu kurahisisha zoezi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom