Regional News | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regional News

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Augustine Moshi, Jun 10, 2009.

 1. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  I haven't seen a picture of Sumbawanga. I haven't been to the place. They need to a have a local newspaper there.

  I am very thankful that there is Arusha Times. I visit them (at www.arushtimes.co.tz) every weekend. I know all about what is going on in Arusha. You see, you cannot depend on the Dar newspapers. They don't seem to have much interest in regional Tanzania.

  We used to have a well established local paper in Kilimanjaro. It was called KOMKYA. Mwalimu banished it. That man resented anything that looked like a center of power. And news is power. It is time it was revived!

  Mwalimu held all national news close to his chest. He personally appointed the Managing Editors of all the dailies and weeklies of the nation (all four of them). (Daily Noise, Sunday Noise, Uhuru and Mfanyakazi). But he remained Editor in Chief of them all.

  I assume Mwanza has a daily, or at least a weekly. It is a city for Christ's sake! Does anyone know any applicable websites? I'd like to read about the joys and pains of my compatriots there.

  It is unlikely that there are enough schooled people in Mtwara to start a daily there, but they too must find some way of sharing news among themselves and with the nation. A local radio might be a starting point. TV and newspapers could follow in a few years.

  News stimulates progress. See how much the Brits and the Americans spend on global news networks. Many of us find Sumbawanga uninteresting because we never hear about the place. That would change with the establishment of a Rukwa weekly. For now, I only recall Sumbawanga as the place where Mwalimu used to banish those he considered to be political misfits. Not fair at all!

  So, let there be news from the regions, as told by the regions. The bits and tits that we now get through Manzese based journalists is not even a reasonable strting point.
   
 2. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Moshi,

  As a Mtwarian, I am utterly offended with your assertion that Mtwara's resident are not educated, and thus there is no need to have daily newspaper. Contray to what you have stipulated, let me put it bluntly that there a lot of people in the South part of Tanzania who are educated, and by education I mean: primary, secondary as well College education. Frankly speaking , I finds your comments to be offensive,and worst of all, judgemental. It is this kinds of mentalities and prejudices toward certain people that can exacerbate violence and hatred. Moshi , you owe every Mtwarian an apology.
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ndivyo ulivyoelewa?

  Pengine jamaa alilenga kuandika hivi. Hata hivyo, yeye mwenyewe akija online naamini atatetea au kurekebisha kauli yake.
   
 4. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  LazyDog,

  I firmly believe that Mr. Moshi meant what he said, and please don't try to spin around for him. I have reached that conclusion after analyzing his statement thoroughly .This is what he said; "It is unlikely that there are enough school people in Mtwara to start the daily there, BUT they too must find someway in sharing news among themselves." The more I read this statement, the angrier I became. This statement speaks for itself and doesn't need clarification , let alone explanation. I still stand by comments that he owes resident of the great region of Mtwara an apology.
   
 5. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Alichosema Moshi kuhusu Mtwara tunaweza kuchambua kwa literal meaning au kuchambua kama allegory.

  Kama allegory, mikoa yote Tanzania ukiondoa Arusha hawana magazeti yao. Na sababu za kutokwepo magazeti zinafanana. Hakuna tofauti kati ya Rukwa, Mtwara, Dodoma, Singida etc.
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Kunradhi mkuu,

  Lakini nadhani the best way siyo kuwa na hasira na comment/maoni ya jamaa..baadala yake..mwambie mmefanya kitu gani tangible katika hiyo nyanja ya habari! Kwa kutumia huo usomi...the burden of proof is on you!

  Huwezi kusema eti watu wa huo mkoa..au kwingineko wamesoma..yet you gat nothing to show for it. kama anavyosema-ga Mkandara..lazima tujikubali tulivyo kwanza. Ni kama western world wanatwambia kwamba we are "poor countries" tunalalama kwamba tunaonewa..eti tuitwe atleast "developing world"..lakini ukweli si unabaki pale pale? tunadevelop kweli..au tunarudi nyuma? Ni aibu useme kwamba kuna wasomi wengi Mtwara wakati..hamna cha kuthibitisha huo usemi wako. I know its painful..lakini ndo reality. Leo ukienda nje ukaambiwa kwamba Tanzania ni masikini wa kutupwa...ukalalama simply because una PHD ya Economics..watu watakushangaa..precisely because your PhD is useless..as far as changing or bettering your/and lives of your compatriots is concerned. Watakuuliza hiyo PhD umeitumia vipi kuifanya Tanzania ionekane kama yenye watu wenye hiyo PhD? Huna jibu!
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna ambaye anakubali kwamba statement ya Moshi imemaanisha kusema "Mtwara's resident are not educated"?
  Mwanzoni nilielewa vibaya hiyo statement kwenye bold. Ninaweza ku-rephrase kwa kusema "there are enough schooled people in Tanzania Cities to justify the need to start a daily Newspaper in/for each of these cities separately"


  Please excuse my English :)
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Sasa kwa nini Mkapa akikimbia kule akaenda kujenga Lushoto??

  2. Ile sera ya majimbo vipi? Most of issues Moshi anayoongelea yatakuwa rahisi kama kuna majimbo. Ni kwa nini Mkuu wa Mkoa toka Sumbawanga aone uchungu na Wanatabora ..na wakati anaweza kuhamishwa saa yoyote ile na Jk??
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jun 10, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,018
  Trophy Points: 280
  MzalendoHalisi,

  ..Mkapa ana nyumba kijijini alikozaliwa. nakumbuka hata Kikwete aliwahi kumtembelea huko.

  ..nadhani wanaotakiwa kushikwa mashati ni wabunge. wengi wao they dont do anything kuboresha maisha ya wananchi waliowachagua.

  ..kama leo hii mikoa ya kusini ina matatizo, basi wakulaumiwa ni wakina Kawawa,Mkapa,Maokola-Majogo,Mbilinyi,Kingunge, Anna Abdalah, Mudhihir,Philip Magani...

  NB:

  ..wa-Tanzania wengi pia wanaamini kwamba kiongozi bora ni yule ambaye jimbo lake limedorora kimaendeleo.

  ..ningekuwa na uwezo ningeanzisha utaratibu wa kumfuatilia kila mbunge na kumpa maksi/grade/daraja kulingana na maendeleo yaliyopatikana wakati wa uongozi wake.
   
 10. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nakuunga mkono.Hata mimi nimetusika sana na kauli hii aisee...ngoja daraja la Umoja likamilike tuhamie Msumbiji, kumbe wanatuona hatujasoma. tehe te hee...Subiri waalimu wangu wa Shangani,Ligula, Chikongola na Rahaleo wasikie haya.
   
  Last edited: Jun 10, 2009
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Jun 10, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,018
  Trophy Points: 280
  Rufiji,

  ..Dr.Moshi anaweza kuwa na "pointi" kwa maana ya kwamba wasomi wenye asili ya Mtwara na mikoa mingine ya Kusini hawaishi tena huko. wengi wamehamia miji mikubwa-mikubwa kama DSM, Arusha,Mwanza, au hata nje ya nchi.

  ..kwa msingi huo ukianzisha gazeti linalochapishwa kwa Kiingereza kama Arusha Times ktk maeneo hayo basi utaishia kupata hasara tu.

  ..tatizo hili la kutokuwa na wasomaji wa magazeti mikoani na haswa vijijini nadhani linaweza kuwa linachangiwa pia na matatizo ya kipato. siyo lazima liwe linatokana na ukosefu wa elimu na kutokujuwa kusoma na kuandika.

  NB:

  ..kijijini kwetu watu hawanunui kabisa magazeti. wanasubiri tuliotoka mijini tuwaachie magazeti baada ya kumaliza kusoma.
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I support you. What he said is a very common thing in Tanzania. You find that people from a certain region or area are perceived to be of a certain way. There is this behavior of generalizing people while you find someone knows only a very small fraction of those people or doesn't no any at all but is acting upon what he/she has heard. If you ask Moshi if he knows anyone from Mtwara or the education of anyone from Mtwara he probably wouldn't be able to answer. I think we should try and fight these labels and misconceptions but the honest truth is that his behavior is not uncommon, even if some people don't openly say. I feel your anger though because I feel the same way when someone says something about my region without knowing a damn thing about it.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Jun 10, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,018
  Trophy Points: 280
  Mwanafalsafa1,Rufiji,LazyDog,Dr.Moshi,Kwame,..

  ..kuna yeyote ana data za mauzo ya magazeti huko mikoani?

  ..tungezipata data hizo basi mjadala huu ungeweza kusonga mbele.

  ..vinginevyo tunaweza kuangalia data kama za poverty levels na literacy rates.
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Upo true mkuu. Let me try kama nita weza kupata. Ila hata kama iki gundulika ni kweli kuna kitu kinaitwa sensitivity. You don't just say it like you want to say it. He could have conveyed his message in a more diplomatic level. Sasa yeye ana tofauti gani na hao anao dai hawaja soma if he can't be diplomatic about his statements?
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  By the way you write your English, do you consider yourself educated?
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ni msomi......
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  wa kiwango gani? ngumbaru? sekondari? chuo kikuu?
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  rufiji PhD unaona hicho kingereza cha mtu wa kawaida?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jun 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Cheki grammar hapo
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu hao S'wanga majuzi waliwashutumu wanaharakati kwa kile walichosema kuwa "wivu" wa ziara za JK majuu......walimpongeza na kumtakia vasco safi nyingine......

  ndio maana najiamulia kutumia kimatumbi......Rufiji ni PhD holder sema ya sayansi
   
Loading...