Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

Jamani kitu alichofanya Pasco ni kutupa his side of the story. Kama tukianza kujenga hisia hasi kwa yeyote ambaye hatukubaliani naye tutashindwa kuchambua mchele na pumba.
 
Asante Njimba, nilikuwa nakwenda vizuri nikwajikwaa nikaangu, wengi baada ya kujikwaa na kuanguka, huamka na kuendelea na safari lakini mimi nimeamua kuangalia nilipo jikwaa ndipo safari iendelee.

Haya mkuu,
Nakutakia mafanikio mema!
Njimba!
 
naona wengi hapa mmetetea ujambazi uliofanywa na hawa brothers kisa ni wawekezaji wamefanyiwa hivyo basi sawa tu inahalalishwa.kweli wabongo tumeoza kimaadili.
 
Mimi huwa siwaamini hawa wanaojiita wawekezaji hata kidogo. Kuna jamaa mmoja niliwahi kuwa partner naye Alikuja tukafungua kampuni hapa. kilichofatia ni baada ya kuona kuwa mshiko unaanza kuongezeka akajitahidi mpaka akaoa demu wa kitanzania ili apate nafasi ya kukaa hapa. Alimpata demu mmoja wa asili ya kihindi. Baada ya kuona nikaanza kuona longolongo nyingi na safari zisizo isha. Mwisho kamwingiza baba mkwe na mkewe kwenye kampuni. With a very short time wakaanza kujenga hoja. Finally wakanandikia barua kuwa I should step down as one of directors. Tangu mwaka 2007 to date nadai shares zangu na hawataki kulipa. Kesi sasa iko mahakama kuu na still hawataki hata mediation on the matter. Hawa I call them wezi tu hawana faida na nchi yetu. Ikumbukwe kuwa kwa aina ya biashara tuliyokuwa tunafanya asingeweza kupata leseni kama sio mimi na mpaka leo anatumia jina langu kupata leseni ingawa nimewaandikia idara zote husika na wala hawajataka ku-respond. Tuwe macho sana na hawa jamaa.

Siwezi kumtetea Mengi kwa vile ninajua kuwa naye ana mambo yake yasiyokubalika kwenye jamii yetu.

Hata hivyo, ninaona hawa pia walikuwa ni wawekezaji njaa kabisa. Kama walishindwa kulipa $laki moja na elfu ishirini tu mpaka wakawa wanalipa kwa instalments, basi siyo wawekezaji siriasi. Huenda kuwapo kwa mtaji kiduchu hicho kilichochangia mgogoro baina yao kama walifikia kuanza kudaiana. Wanayoonyesha kuwa yalikuwa ni malipo yao ya mwisho yalifanywa baada ya deadline tena kwa vipande vipande.

''IPP Media is owned and run by Mr. Reginald Mengi, the brother of Mr. Benjamin Mengi. Reginald Mengi expressed his concerns to the British Government that the case involving his brother was damaging his own business interests and reputation. The British High Commissioner to Tanzania at the time, Mr. Andrew Pocock, stated that he was concerned about our reputation and about the defamatory statements appearing in IPP Media publications. Mr. Mengi stated that he was not aware of the defamatory publications and that, as CEO of IPP Media (i.e. not the editor), he could not be held responsible for them. He requested a meeting with my husband and Mr. Pocock at his home in Dar es Salaam. My husbands clear recollection of this meeting was that Mr. Mengi promised he would address his brother's behaviour and that he would personally pay for our legal costs arising from the vexatious litigation started by his brother. He denies this. Mr. Mengi did not honour these promises. Far from diminishing, the defamation campaign in IPP Media publications escalated from this point onwards''
If the matter was with Benjamin Mengi, I fail to understand why it should be borne by Reginald Mengi. What I see here is that, these investors did a careless investment decision by trusting a person without evaluating his/her character. As a result, they lost their money. Now these smear campaigns are in effort extort money from Reginald Mengi because they believe that as the only way for them to recover what they lost in the hands his brother. Forcing Reginald to be guilty by association rather than seeing if he has had any guilt mind or guilt acts in this case is a very unusual approach by any sensible people.

My husbands clear recollection of this meeting was that Mr. Mengi promised he would address his brother's behaviour and that he would personally pay for our legal costs arising from the vexatious litigation started by his brother. He denies this. Mr. Mengi did not honour these promises.
The letter written by the Ambassador does not show any monetary commitment by Reginald Mengi. Unless the copy that I read here is not the one written by His Excellency the Ambassador.

attachment.php

SCANNED DOCUMENT 3.jpg
 
Siwezi kumtetea Mengi kwa vile ninajua kuwa naye ana mambo yake yasiyokubalika kwenye jamii yetu.

Hata hivyo, ninaona hawa pia walikuwa ni wawekezaji njaa kabisa. Kama walishindwa kulipa $laki moja na elfu ishirini tu mpaka wakawa wanalipa kwa instalments, basi siyo wawekezaji siriasi. Huenda kuwapo kwa mtaji kiduchu hicho kilichochangia mgogoro baina yao kama walifikia kuanza kudaiana. Wanayoonyesha kuwa yalikuwa ni malipo yao ya mwisho yalifanywa baada ya deadline tena kwa vipande vipande.

If the matter was with Benjamin Mengi, I fail to understand why it should be borne by Reginald Mengi. What I see here is that, these investors did a careless investment decision by trusting a person without evaluating his/her character. As a result, they lost their money. Now these smear campaigns are in effort extort money from Reginald Mengi because they believe that as the only way for them to recover what they lost in the hands his brother. Forcing Reginald to be guilty by association rather than seeing if he has had any guilt mind or guilt acts in this case is a very unusual approach by any sensible people.

The letter written by the Ambassador does not show any monetary commitment by Reginald Mengi. Unless the copy that I read here is not the one written by His Excellency the Ambassador.

attachment.php

The investors niether want or ask for money from Reginald mengi as they are taking an ICSID claim against the Tanzanian government fo failing to protect their investment.

The investors are not stating and will continues to state R. Mengi's use of his media in this case with whomsover choses to associate themselves with the country or Reginald Mengi. The comminications will be identical and will be i the publoc interest.

If Mr. mengi feels he has been Libeled by the investors it i sopne to him to take legal action against them in the UK for Libel which he has twice threatened to do. Insetad he is sckillkig around on Internet sites. Sadly for Mengi, he can seek to obfuscate but he will never be in a psoition to proof his claoms as they are not trues and have no legal status.
 
The investors niether want or ask for money from Reginald mengi as they are taking an ICSID claim against the Tanzanian government fo failing to protect their investment.
Your objective is still the same; to get money from anywhere: either from Mengi or from the Tanzanian Government. I wish you good luck if you will succeed; I believe no sensible lawyer can see any substance in your claims given the level of evidence against you that you have unknowingly spread all over the world. That is why I think you are not careful in what you do, and hence you made wrong business decisions, which are now hurting you. Learn to swallow your mistakes and find a way forward because that is one side of any business.

To be sincere the more I read this story since it started surfacing on this forum about four years ago, the more I doubt on your credibility. You have been jumping to almost whoever you think can cause damage to Reginald Mengi instead of dealing with Benjamin Mengi. You have been to Manji, Rostam Aziz, the World Bank , CocaCola or anything. In fact the letter that you wrote to Cocacola was very unprofessional containing elements of blackmailing Cocacola International, which can be a criminal offense.

I am afraid to say this, but as a serious foreign investor, I fail to see why you struggled to pay just $120,000 and close that deal. The more you dragged the payment the worse you made the matter. I have just read that the final payment was made after the deadline had passed; therefore you may have contributed to making Benjamin change his mind. Unfortunately, your initial contract does not have any clause on what to be done should one of the parties defaults. You were the first defaulter for not paying within the agreed time frame.

I really sympathize with your situation, but as I recall your first posting here four years ago threatening to stop the British Government from giving aid to Tanzania, combined with the plethora of your communications all over the world on this case, now I think I can see your problem more clearly.
 
Hawa akina Middletons kampeni yao naona imevuka mipaka sasa, yaani kukosana na raia mmoja wa Tanzania ndio kulipaka taifa zima matope? Najua Tanzania kunanuka rushwa, ufisadi na kila aina ya uozo lakini hatuhitaji mtu na mkewe kutupotezea muda wetu na mambo yao ya biashara binafsi.

Yaani ni kweli kwa ndoto zao hawa akina Middleton walifikiri kwamba wanaweza kumuona rais au waziri mkuu wa nchi aingilie kati suala dogo hivi au kuwashurutisha nchi na mashirika wahisani/wafadhili watunyime "misaada"? Wanaota ndoto za mchana hawa na inaelekea hawajui siasa za kimataifa.

Mimi siko interested in who is right or wrong katika hili na sitaki kuquestion integrity au values za mtu yeyoyte yule ila hii kampeni ya bwana na bibi Middleton haitendei haki taifa hili na in actual fact wanaweza kuwa sued for libel na serikali kwa kupaka matope mtandao mkubwa sana wa watumishi wake.

Nawasihi wahusika wote katika sakata hili wadaiane wao wenyewe na sio kupaka mavi taifa zima
 
Huyu Mama anayeitwa Sarah ni hatari sana, watu wa aina yake mara nyingi huwa hawamalizi salama. Ukiangalia barua alizoandika unajua kuna tatizo. Kama kweli kulikuwa na dhuluma dhidi yake asingetafuta suluhu kwa kuwaandikia wasiohusika, kuna mahakama.

Kama anasema mahakama ya Tanzania na system yote ni corrupt angeliangalia avenue nyingine ya kisheria, nadhani ipo, siyo kuanza kampeni ya ajabu. Na huyu Manji aliingiaje kwenye hii kesi??

I HATE MANJI, may the goddess of bad luck strike him with Epilepsy
 
Jamani huyu mwanamama wa Kiingereza alikosa watu wote wa Tanzania wanaoweza kumsaidia mpaka akamtafuta Manji na Rostam, of all people jamani unaweza kumuweka Manji na Rostam kwenye sentensi moja na HAKI?

Give me break pls! Not Rostam/Manji after all the attrocities they have done on my beloved Country. Every bad thing in this country is associated with one or both of them.
 
Du jamani hii kali sana kumbe ni issue ya zamani hivi, mm nampongesa Bw Pasco ingawa thread ni ya Mzee Mwanakijiji toka Nov 19, 2010 lakini yote yaliyoongelewa humu kesho tutapata ukweli katika Kesi ya Manji kudai sh 1/= kwa Mengi naona yataibuka tu kwani Wakili Marando keshapinga ushahidi mwingi tu usiingizwe.
Hata hivyo kwa pembeni Pasco tujuze wasiotaka Mengi asifichuliwe wakae pembeni mbona ya Rais na Dowans tunayajadili?

Hao wazungu waliajiriwa na b mengi kabla hawajaingia mkataba mwingingine wa uendeshaji ambao watz wakawashauri auvunje halafu waingie mkataba na ushirika ambao ndio wamiliki waliomkodishia mengi
wakati huo mengi alikuwa uingereza anamuuguza mke wake marehemu kwa sasa alipokuja akakuta mageuzi tayari sasa kwa kuwa kila kitu kilikuwa kwenye maandishi akaenda mahakamani
 
Mmmmmh issue zinachanganya nashindwa nimwamini nani mzungu au Mengi lakini kama R na B Mengi wanafanya hayo Pasco anayosema kweli ni vigumu kwa tajiri kuona ufalme wa mbingu kama ngamia kupenya wenye tundu la sindano!!!!!!!
 
Lakini huyu mama kesi yake si alipeleka kwenye bunge lao kule nini bado kinamuwasha na Tanzania? Kwani waingereza wamedhulumu vingapi kutoka Tanzania?

Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi lege lege.
 
Hao wazungu waliajiriwa na b mengi kabla hawajaingia mkataba mwingingine wa uendeshaji ambao watz wakawashauri auvunje halafu waingie mkataba na ushirika ambao ndio wamiliki waliomkodishia mengi
wakati huo mengi alikuwa uingereza anamuuguza mke wake marehemu kwa sasa alipokuja akakuta mageuzi tayari sasa kwa kuwa kila kitu kilikuwa kwenye maandishi akaenda mahakamani
Du Carefree sasa naanza kuipata picha niliyoisikia kuhusu shamba la huko Hai kwa Wanakijiji kuchukua shamba kumbe ndio hilo
mm nanyamaza kwanza
 
When you are a lawyer and know what you are talking about you would have a right to comment. Until then I suggest you keep your racist and inaccurate remarks to yourself!!!:bored:

Your objective is still the same; to get money from anywhere: either from Mengi or from the Tanzanian Government. I wish you good luck if you will succeed; I believe no sensible lawyer can see any substance in your claims given the level of evidence against you that you have unknowingly spread all over the world. That is why I think you are not careful in what you do, and hence you made wrong business decisions, which are now hurting you. Learn to swallow your mistakes and find a way forward because that is one side of any business.

To be sincere the more I read this story since it started surfacing on this forum about four years ago, the more I doubt on your credibility. You have been jumping to almost whoever you think can cause damage to Reginald Mengi instead of dealing with Benjamin Mengi. You have been to Manji, Rostam Aziz, the World Bank , CocaCola or anything. In fact the letter that you wrote to Cocacola was very unprofessional containing elements of blackmailing Cocacola International, which can be a criminal offense.

I am afraid to say this, but as a serious foreign investor, I fail to see why you struggled to pay just $120,000 and close that deal. The more you dragged the payment the worse you made the matter. I have just read that the final payment was made after the deadline had passed; therefore you may have contributed to making Benjamin change his mind. Unfortunately, your initial contract does not have any clause on what to be done should one of the parties defaults. You were the first defaulter for not paying within the agreed time frame.

I really sympathize with your situation, but as I recall your first posting here four years ago threatening to stop the British Government from giving aid to Tanzania, combined with the plethora of your communications all over the world on this case, now I think I can see your problem more clearly.
 
When you are a lawyer and know what you are talking about you would have a right to comment. Until then I suggest you keep your racist and inaccurate remarks to yourself!!!:bored:

You put yourself at a judicial disadvantage by exposing a lot about yourself. You should have hired a good lawyer to guide you through the process; the lawyer would have prevented you from doing or saying certain things that can be used against you in any court of law

Kichuguu (LLB, LLM, Ph.D, JD, QC)
 
Chacha 1 nimependa comment yako, hivi hao kina pasco watapewa nini na hao wazungu watakapofanikiwa kumchafua Mengi? Hayo ndiyo matatizo ya watanzania wivu sana, wanataka Mengi nae arudi awe maskini kama Pasco, ndio furaha ndio maana leo hii wanamshabikia Manji anayewalia hata viota vya chakula cha watoto wao.

Uzuri ni kwamba this time hao wazungu wamekutana na their equal so what wakisema mali ni za mke wa Ben? Watanzania wa aina hii ni washenzi sana wananitibua kuliko hata hao wazungu wenyewe, tumeambiwa Bulyankulu watanzania wenzetu wamefukiwa, wanakuuliza leta evidence, jamani huko wapi wazungu wamewalazimisha wenzetu wanaume waingiliane, kimya, mzungu kamdhalilisha mfanyakazi mgodini oo huyo msichana malaya.

Ndio hawa watu tulionao washenzi mbwa wakubwa ni adui kuliko hao maadui zetu bahati nzuri hawana akili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom