Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

Aisee Pasco nadhani una lako jambo..Jinsi unavyo muongelea huyu mzee inaleta hisia hisia za kutaka kutufanya tuone kama vile umetumwa au kwa njia moja au ingine utakuwa kwenye mtandao fulani fulani hivi na kama si kwamba upo karibu nae au huenda unafuatilia mambo yek kwa ukaribu...Kweli endelea ndugu...!

Sio mchezo ndugu yangu, kutoka Samaki Hadi Afrikana sio mchezo kuna mabadiliko makubwa ati!!!!!!!!!!!
 
Like may other stuff in teh forum, our emotions prevail... to Mtazamaji, Pasco; i wouldnt sweat my tongue for this. It would have been better kwa sisi kuwajua vizuri sana the middletons. Hii ya kuangalia upande mmoja ni hatari sana.

In additin, a diligent inverstor ni very rare kuanza kuandika barua kila sehemu duniani kulaani mtu fulani (hata kama ana involvement fulani) without priming the core business partner

Pasco unaongelea eti maskini hao jamaa walikua marafiki, urafiki uka-turn to business... MY FOOT BUDDY!!!! any clean and diligent citizen (even naive) would set teh business strategy that analyses risks on any investiment, particulary to a country like Tanzania where we faired very low in ovestors index by then

PASCO I ADMIRE YOU LOTS, BUT YOU HAVE APERSONAL VENDETTA ON MENGI AND I ALWAYS CONNECT "YOUR ROLE NA HAO UNAOWATETEA" INGAWA SIJUI ULIPATAJE HIYO ROLE

Accid Kweli kabisa binafsi siwajui hao middletons ha hata huo Ukoo wa mengi siujui vizuri na uhalali wa ethics za conduct zao sizijui vizuri.

Lakini hii ni Kesi ya kibiashara ya wafanyabiashara. The problem is kila upande umeingiza siasa.

In some aspect I admire Mengi kama mfanyabiashara mzalendo aliye na anayefanikiwa but niseme ukweli maelezo ya mwansheria wake nimeyaelewa lakini Nilivyooona jina la Manji nimehisi kuna somthing more than Silvadale farm. Bado Nahisi Role ya Manji kwenye hii issue ni ndogo sana na hakutakiwa kutajwa labda kama kuna kitu kingine kinatakiwa kuwa achived kwa jina la Y Manji.

Hata hao wazungu sijui wameinvest kias gani. Sijui Investment yao imeajiri watu watu wangapi au wanalipa Kodi kiasi gani.

Binafsi naona Mengi anacheza vizuri na Politics za Uzawa na Hao wazungu wanatumia Politics Karata za Investor. Na mbaya hatuna Misingi Imara na ya haki ya sheria ku mediate interest mbili zinazopingana.

Mwisho wa siku Sheria yetu nayo inaangalia nani kacheza karata yake vizuri.
 
Pasco, Nimekuwa nafuatilia post zako nyingi ambazo zinamzungumzia Mengi na familia yake, kwenye post zako umekuwa ukilenga upande mmoja wa kumchafua huyu mzee ukidai kuwa anahusika na baadhi ya vitendo haramu..Nakumbuka post yako moja ulipost kwenye topic ya mwanawe kutaka kupachikiwa madawa ya kulevya, ulicomment huyu mzee kipindi anaingiza sabuni zake nchini ndani yake alikuwa anaweka madawa ya kulevia... Na mambo mengine mengi tu ambayo siwezi kuyasema hapa.

Endelea na kazi yako, huko huru kuandika unacho kiamini!

THE 'SILVERDALE FARM' CASE

Hizi confllicts za wafanyabiashara zinatufanya sisi wananchi tujue mengi.
 
Pasco, Nimekuwa nafuatilia post zako nyingi ambazo zinamzungumzia Mengi na familia yake, kwenye post zako umekuwa ukilenga
upande mmoja wa kumchafua huyu mzee ukidai kuwa anahusika na baadhi ya vitendo haramu..Nakumbuka post yako moja ulipost kwenye topic ya mwanawe kutaka kupachikiwa madawa ya kulevya, ulicomment huyu mzee kipindi anaingiza sabuni zake nchini ndani yake alikuwa anaweka madawa ya kulevia... Na mambo mengine mengi tu ambayo siwezi kuyasema hapa.
Endelea na kazi yako, huko huru kuandika unacho kiamini!<br />
<br />
<a href="http://thesilverdalecase.blogspot.com/" target="_blank">http://thesilverdalecase.blogspot.com/</a>
Muganyizi, kumbe unanifuatilia posti zangu kuhusu huyu Mzee?, kwa hiyo ni msafi kihivyo na mimi ndio nataka kumchafua. unataka kuigeuza hii mada kuwa personal ya mimi kumchafua mheshimiwa sana!.

Mimi Pasco wa JF ninachofanya ni ama kuandika nilicho sikia (the past) kusema nichoona (the present) na kutoa opinion yangu (future).

Hivi kweli unaweza kumchafua mtu msafi na akachafulika?. Au kesema unayoyasikia kuhusu au unayoyajua kuhusu yoyote huko ndiko kunchafua?.
Mangapi yamesemwa humu kuhusu JK na anaumwa nini? Mbona hukuulizia kama rais wetu anachafuliwa?. Hivi kati ya posti zangu huku kumuhusu Mzee wetu huyu, hakuna zozote ulizoona namsifia, wewe umeziona za critique tuu?, au nikutafutie mwenyewe?.

Kuna tatizo la baadhi yetu humu kupenda kusikia tuu nyimbo za shangwe na mapambio kuhusu wapendwa wetu. Mimi ni mmoja wa wale ambao tunasimama kwenye ukweli no matter what.

Binafsi, I have nothing personal, ila naifahamu the other side of him ambayo ni only the few privilaged ones wamebahatika kuiona na yote ninayoyaandika humu ni yale yanamhusu publically, sijawahi kwenda kwenye yale ya personanal or private ambayo nayo nayajua, kwa vile mimi naheshimu sana the right to privacy, hata kama nayajua, kwamwe siwezi leta privacy za watu into public.

Na mwisho, mjadala wowote unakuwa heathy kama unakuwa presented na facts, kama anasingiziwa na wewe unajua anasingiziwa, unauweka ukweli unaoujua ili kuudefeat uongo anaosingiziwa.

Kama ni kweli anachafuliwa, unaonaje ukijiunga kwenye timu ya kumsafisha, kuanzia ile michezo michafu aliyochezewa ubinafsishaji wa Kilimanjaro hoteli mpaka hii ya juzi ya kutaka kumbambikia mwanaye kesi.
 
Like may other stuff in teh forum, our emotions prevail... to Mtazamaji, Pasco; i wouldnt sweat my tongue for this. It would have been better kwa sisi kuwajua vizuri sana the middletons. Hii ya kuangalia upande mmoja ni hatari sana.
PASCO I ADMIRE YOU LOTS, BUT YOU HAVE APERSONAL VENDETTA ON MENGI AND I ALWAYS CONNECT &quot;YOUR ROLE NA HAO UNAOWATETEA&quot; INGAWA SIJUI ULIPATAJE HIYO ROLE
Acid, nothing personal, mimi ni nani mpaka niwena personal vendetta?. Mambo ya vendetta hufanywa where power matter, kwa power ipi mpaka eti uwe na personal vendetta na the top most class, jamaa akikohoa tuu, si mimi navanish into thin air!.
Kwa vile umekiri to admire me a lot, keep it up kwa sababu nilipata matatizo fulani nikakwama mahali, hivyo imenibidi nirudi nyuma kujijengaa upya, so wait for best of me, soon!, hizi issue za personalities ni issues ndogo sana, najipanga kutoka ki maslahi ya taifa zaidi.
 
PASCO I ADMIRE YOU LOTS, BUT YOU HAVE APERSONAL VENDETTA ON MENGI AND I ALWAYS CONNECT &quot;YOUR ROLE NA HAO UNAOWATETEA&quot; INGAWA SIJUI ULIPATAJE HIYO ROLE
Acid, hao ninaowatetea kina nani?, which role do I have?.
 
<font face="Arial Narrow"><font size="3"><font color="navy">Aisee Pasco nadhani una lako jambo..Jinsi unavyo muongelea huyu mzee inaleta hisia hisia za kutaka kutufanya tuone kama vile umetumwa au kwa njia moja au ingine utakuwa kwenye mtandao fulani fulani hivi na kama si kwamba upo karibu nae au huenda unafuatilia mambo yek kwa ukaribu...Kweli endelea ndugu...! </font></font></font>
Sina langu jambo lolote na wala sijatumwa na mtu, simfuatilii mtu, uzuri wa ubishani wowote, at the end of the day, the truth will prevail and it is then, mtanielewa, nothing personal!, Kuna mengi ninayoyajua kuhusu Mzee wetu huyu, kikiwepo kifo cha kile kipindi cha "Kiti Moto", when the time is right, yote yatakuja funuliwa na yatakuwa wazi, hivyo wengi itaiona the other side, at the moment, tuendelee kumuimbia nyimbo za shwangwe na mapambio mpaka side B itakapofunuliwa!.
 
Acid, nothing personal, mimi ni nani mpaka niwena personal vendetta?. Mambo ya vendetta hufanywa where power matter, kwa power ipi mpaka eti uwe na personal vendetta na the top most class, jamaa akikohoa tuu, si mimi navanish into thin air!.
Kwa vile umekiri to admire me a lot, keep it up kwa sababu nilipata matatizo fulani nikakwama mahali, hivyo imenibidi nirudi nyuma kujijengaa upya, so wait for best of me, soon!, hizi issue za personalities ni issues ndogo sana, najipanga kutoka ki maslahi ya taifa zaidi.

Hi Pasco wa JF!
I wish you all the best in everything you want to do for the interest of our nation. However, when you are ready, please do not forget to disclose your identity so that we can follow your steps or support you as a JF member.
Good luck
Njimba
 
Accid Kweli kabisa binafsi siwajui hao middletons ha hata huo Ukoo wa mengi siujui vizuri na uhalali wa ethics za conduct zao sizijui vizuri.

Lakini hii ni Kesi ya kibiashara ya wafanyabiashara. The problem is kila upande umeingiza siasa.

In some aspect I admire Mengi kama mfanyabiashara mzalendo aliye na anayefanikiwa but niseme ukweli maelezo ya mwansheria wake nimeyaelewa lakini Nilivyooona jina la Manji nimehisi kuna somthing more than Silvadale farm. Bado Nahisi Role ya Manji kwenye hii issue ni ndogo sana na hakutakiwa kutajwa labda kama kuna kitu kingine kinatakiwa kuwa achived kwa jina la Y Manji.

Hata hao wazungu sijui wameinvest kias gani. Sijui Investment yao imeajiri watu watu wangapi au wanalipa Kodi kiasi gani.

Binafsi naona Mengi anacheza vizuri na Politics za Uzawa na Hao wazungu wanatumia Politics Karata za Investor. Na mbaya hatuna Misingi Imara na ya haki ya sheria ku mediate interest mbili zinazopingana.

Mwisho wa siku Sheria yetu nayo inaangalia nani kacheza karata yake vizuri.
respect mkuu and thanks

let me tell yu something my friend, kwa nchi kama tanzania, huwezi kufanikiwa hasa ukiwa mzawa kama hutakua kama mengi... nadhani unanielewa... mengi sio bharti wala vijay

hiyo game inayochezwa unaweza kuiongea iwapo tu utahama nchi na uraia pia... YOU WILL KNOW
 
Acid, nothing personal, mimi ni nani mpaka niwena personal vendetta?. Mambo ya vendetta hufanywa where power matter, kwa power ipi mpaka eti uwe na personal vendetta na the top most class, jamaa akikohoa tuu, si mimi navanish into thin air!.
Kwa vile umekiri to admire me a lot, keep it up kwa sababu nilipata matatizo fulani nikakwama mahali, hivyo imenibidi nirudi nyuma kujijengaa upya, so wait for best of me, soon!, hizi issue za personalities ni issues ndogo sana, najipanga kutoka ki maslahi ya taifa zaidi.

NI KWELI MANY PERSONAL VENDETTA NI ZA WAKUBWA

but we are always used as vehicles, and probably you and me are just that

tic, tac it doesnt stop... the clock is ticking
 
Acid, hao ninaowatetea kina nani?, which role do I have?.
i wont go further than that

Mie nasubiri ujio wako wa mara ya pili... one day tutaonana na tutakunywa chai pamoja

nimechoka kweli na mambo ya nchi yangu labda nihamie pakistani kupumzika
 
Hi Pasco wa JF!
I wish you all the best in everything you want to do for the interest of our nation. However, when you are ready, please do not forget to disclose your identity so that we can follow your steps or support you as a JF member.
Good luck
Njimba
Asante Njimba, nilikuwa nakwenda vizuri nikwajikwaa nikaangu, wengi baada ya kujikwaa na kuanguka, huamka na kuendelea na safari lakini mimi nimeamua kuangalia nilipo jikwaa ndipo safari iendelee.
 
Mkuu Pasco,

Inaelekea unafahamu hili sakata kiundani zaidi yetu, nimesoma kwenye post yako ya awali kuwa hawa Midlletons wali-invest kiasi kikubwa cha pesa kwenye hii biashara lakini maelezo ya upande wa Mengis inaonyesha kuwa hawa Middletons hawaku-invest kama walivyokubaliana na partners wao.

Pia kikubwa nilichokisoma katika post zako unaelezea uhusiano wa kirafiki ambao baadaye ukawa ni wakibiashara zaidi, kumbuka biashara haina urafiki mkuu.

Sasa basi ningependa utueleze ni kiasi gani in real-terms hawa Middletons wali-invest kwenye hii biashara ili ku-justfy hii smear campaign yao na ya kwako dhidi ya Mengis.

Nasema haya kwa sababu hata mimi nimeshakutana na wannabe investors wengi toka nje dizaini ya akina Middletons ambao wanadhani waTanzania wote ni mazuzu.

Suala la kuhusika kwenye hili sakata kwa kijana Manji linaweza kuwa kweli kutokana na historia yake kupambana na Mengi toka Yanga mpaka bungeni na hivi sasa nasikia Manji pia anataka kuanzisha vyombo vya habari pia....:bump:
 
NI KWELI MANY PERSONAL VENDETTA NI ZA WAKUBWA

but we are always used as vehicles, and probably you and me are just that

tic, tac it doesnt stop... the clock is ticking
Bahati mbaya japo I belong to low class ya masikini, ila masikini jeuri, niko proud kulala na njaa with my dignity kuliko kujipendekeza kwa upper class japo niambulie makombo hivyo futa dhana ya mimi kutumika kwa namna yoyote.
 
Muganyizi, kumbe unanifuatilia posti zangu kuhusu huyu Mzee?, kwa hiyo ni msafi kihivyo na mimi ndio nataka kumchafua. unataka kuigeuza hii mada kuwa personal ya mimi kumchafua mheshimiwa sana!
.
Pasco, ndio nafutilia post zako juu ya huyu mzee, na ukweli utajulikana tu... Mengi ni binadamu hivyo siyo mkamilfu, kama ilivyo kwangu na kwako pia wote sio wasafi.

Mimi Pasco wa JF ninachofanya ni ama kuandika nilicho sikia (the past) kusema nichoona (the present) na kutoa opinion yangu (future).

Hivi kweli unaweza kumchafua mtu msafi na akachafulika?. Au kesema unayoyasikia kuhusu au unayoyajua kuhusu yoyote huko ndiko kunchafua?.
Mangapi yamesemwa humu kuhusu JK na anaumwa nini? Mbona hukuulizia kama rais wetu anachafuliwa?. Hivi kati ya posti zangu huku kumuhusu Mzee wetu huyu, hakuna zozote ulizoona namsifia, wewe umeziona za critique tuu?, au nikutafutie mwenyewe?.
Pasco wa JF, unaandika kila unachokiona kinacho muhusu mzee Mengi tu.

Kuna tatizo la baadhi yetu humu kupenda kusikia tuu nyimbo za shangwe na mapambio kuhusu wapendwa wetu. Mimi ni mmoja wa wale ambao tunasimama kwenye ukweli no matter what.
Siyo kweli ila huo ni mtizamo wako tu, ukiweka ukweli unaoonekana na pasipo kupendelea upande wowote hakuna atakaye pingana na wewe

Binafsi, I have nothing personal, ila naifahamu the other side of him ambayo ni only the few privilaged ones wamebahatika kuiona na yote ninayoyaandika humu ni yale yanamhusu publically, sijawahi kwenda kwenye yale ya personanal or private ambayo nayo nayajua, kwa vile mimi naheshimu sana the right to privacy, hata kama nayajua, kwamwe siwezi leta privacy za watu into public.
Ni kweli kabisa niwajibu wako kujua other side ya huyu mzee kwa kuwa umempania na una malengo yako. Hivi Mengi ndiye mwenye Other side ambayo unaiona tu?
 
Mkuu Pasco,

Inaelekea unafahamu hili sakata kiundani zaidi yetu, nimesoma kwenye post yako ya awali kuwa hawa Midlletons wali-invest kiasi kikubwa cha pesa kwenye hii biashara lakini maelezo ya upande wa Mengis inaonyesha kuwa hawa Middletons hawaku-invest kama walivyokubaliana na partners wao.

Pia kikubwa nilichokisoma katika post zako unaelezea uhusiano wa kirafiki ambao baadaye ukawa ni wakibiashara zaidi, kumbuka biashara haina urafiki mkuu.

Sasa basi ningependa utueleze ni kiasi gani in real-terms hawa Middletons wali-invest kwenye hii biashara ili ku-justfy hii smear campaign yao na ya kwako dhidi ya Mengis.

Nasema haya kwa sababu hata mimi nimeshakutana na wannabe investors wengi toka nje dizaini ya akina Middletons ambao wanadhani waTanzania wote ni mazuzu.

Suala la kuhusika kwenye hili sakata kwa kijana Manji linaweza kuwa kweli kutokana na historia yake kupambana na Mengi toka Yanga mpaka bungeni na hivi sasa nasikia Manji pia anataka kuanzisha vyombo vya habari pia....:bump:
,
Bantogbro, kwa vile hawa Middletons ni Waingereza, na mimi kuna mahali fulani ninahusika na Waingereza, naomba ku-declare my conflict of interest, nisiwatetee Wazungu hawa, nikaja kuonekana nawatetea kwa sababu fulani, wala nisidisclose any more information than hii iliyopo kwenye public by now, ila all in all, Wazungu hawa wameliwa, kesi itakapotajwa tena, kama will ya Mke wa Ben itakuwa imeishafunguliwa, then it will be over and final for good, na hawa Middletons watakuwa hawana tena mahali pa kulilia, haki yao itapatikania kwenye 'The Law of The Karma'.
 
i wont go further than that

Mie nasubiri ujio wako wa mara ya pili... one day tutaonana na tutakunywa chai pamoja

nimechoka kweli na mambo ya nchi yangu labda nihamie pakistani kupumzika

Nimekusoma Hii nchi yetu inaumiza kichwa.

The core problem nayoona hapa Kuna SYSTEM failure na kwa hili spefic ni LEGAL and JUSTICE system faulire.

Sasa at the end no mater how the justice system will be fair hakuna upande utakubali matokeo sababu kila upande kwenye hii kessi ume collude na inawezekana wame corrupt legal system.

This is my initial observation

  • Tanzania Inakosa Real investers sababu hawana muda mchafu wa ku collude na corrupt system. Sina uhakika katika level ya nchi Middleton naye anaqualify kuitwa investor)
  • Watanzania tunakosa baadhi ya haki na advantage ya kuwa watanzania nchini Tanzania sabbau hatujui jinsi ya ku collude. Few "Wazawa" an many foreingers Business man and women who know how to collude with wi the system become sucessfull
  • Kuna watanzania wazawa wachache wenye uwezo nao wameamu kucheza na kupambana na michezo michafu kutokana na system specifically za sheria zilizopo kuwa katika mazingira hayo hayo machafu.
At the Heart of this there is a justice system faulire . Tembo wawili wamekutana wanasheria na sheria zetu tata nazo zinachanganyikiwa zimpendelee nani?

I can sense kama Benjamin Mengi angekuwa CHADEMA au CUF mamuzi yangekuwaje
I can sense too kama hao middletones wangekuwa ni raia wa Rwanda ,burundi au hata South africa mambo yangekuwa yameisha siku nyingi
 
Back
Top Bottom