Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
I have received this message concerning the controversial Silverdale Farm Case.

The following is the statement by Mr. Reginald Mengi's Attorney Mr. Mike Ngallo of Ngallo & Company Advocates of Dar es Salaam, Tanzania concerning the accusations against Mr. Reginald Mengi that have been made, implied and propagated by a British investor couple Mr. Stewart Middleton and Sarah Hermitage through various online media outlets concerning the Silverdale and Mbono Farms in Moshi Tanzania, East Africa.

Mr. Reginald Mengi is the Founder and Executive Chairman of IPP Group of Companies. Some of the companies under this group include: IPP Media – several daily and weekly Newspapers (The Guardian and Nipashe to mention a few), TV Stations, Radio Stations, Bottling Companies as well as Consulting firms and manufacturing plants. He was voted twice as the second most admired CEO in East Africa in 2001 and 2002.

The Background of the case

On May 21st, 2004 a Tanzanian company called Silverdale Farm (T) Limited entered into an agreement whereby it was assigned a lease 533 acres farm situated at Hai, Kilimanjaro Region in the north western part of Tanzania by a Tanzanian company called Fiona (T) Limited. According to the Deed of Assignment drawn by Advocate P.M Jonathan the registered shareholders and directors of Silverdale (T) Limited were Stewart Middleton and Benjamin Mengi while that of Fiona (T) Ltd were Benjamin Mengi and his late wife Millie Mengi.

One year after the Assignment Agreement a contractual dispute arose after Mr. Middleton failed to meet the financial obligations as per lease agreement. On November 19th, 2004 Mr. Benjamin Mengi wrote to Mr. Stewart Middleton extending a grace period for him to come up with the remainder of money owed. In this letter Mr. Benjamin Mengi made it very clear that it was the final extension of the grace period, he wrote "if not honored before 31/12/2004, the deed of assignment will be null and void".

Instead of honoring his financial obligation Mr. Stewart conducted what he called "An Extraordinary General Meeting" on August 30th, 2004 at the office of Shayo, Jonathan, and Co., Advocates. The main resolution of this meeting as written in the minutes of that same meeting was "that Mr. B. A. Mengi be removed as Director of Silverdale Farm". But, in another letter dated October 21st, 2004 Mr. Middleton reversed his decision and says "in the interests of running of the company this decision is hereby reversed. I hope that business can continue as normal from now on". But, he went ahead and submitted the changes which he has already reversed.

Mr. Middleton made changes on the structure of the shareholding on January 28th, 2005 in a meeting held at the farm where he once again was the sole member. These changes were however rejected by the Assistant Registrar of Companies, one E. Kakwezi in a later dated May 6th, 2006. In the later Mr. Kakwezi wrote that "the changes submitted for registration but a still pending (have not been registered) because the original file of this company is missing and also there are some irregularities in these changes". So up to May 2006, Mr. Benjamin Mengi was still a recognized director of Silverdale Farm.

Seeing that Mr. Middleton was unilaterally acting to make drastic change to the company Mr. Benjamin Mengi decided to take matters to the courts. After a number of cases had been filed the dispute reached the High Court in Moshi, Kilimanjaro in a Civil Case No 1, 2006. The then Justice of the High Court Fakih Jundu (Now the Principle Justice of Tanzania) ordered mediation in his ruling rendered on September 6, 2007. Justice Jundu ordered that "I hereby direct all the parties to negotiate for a settlement out of this court for this suit and other cases between them pending in the subordinate courts". Although Mr. Middleton's lawyer responded in the affirmative (in a letter to Mr. Benjamin Mengi's lawyer dated 30th October, 2007) that his client was willing to participate in the settlement talk, at the end he did not keep his word.

Instead Mr. Middleton and his wife initiated a smear campaign which comprised enlisting the support of Governmental, Non Governmental, Diplomatic offices and the media to tarnish the image of Mr. Reginald Mengi. This strategy proved to be futile for the issue has already been dealt with by courts with proper jurisdiction and no entity was willing to interfere with the courts ruling.

Reginald Mengi volunteers to mediate the dispute

In December 2005, the Silverdale Farm issue came up during a conversation between Reginald Mengi and the then British High Commissioner to Tanzania, His Excellency Andrew Pocock. After a very productive meeting it was agreed that Reginald Mengi would volunteer mediation between his brother and Middleton. On the 13th December 2005 Stewart Middleton and His Excellency Andrew Pocock held a meeting at the residence of Reginald Mengi in Dar es Salaam as part of this negotiation. This course was also taken because Mr. Benjamin Mengi had also requested the High Commissioner in his letter of February 18th, 2006. In this letter Mr. Benjamin Mengi was willing to participate in the talk to find a solution to the dispute.

After an elaborate discourse by Mr. Middleton on his understanding and concerns about the Silverdale Farm Mr. Reginald t agreed to approach his brother Benjamin Mengi as a first step towards arriving at an amicable resolution. Mr. Reginald Mengi was fulfilling his promise of doing everything within his power to try to bring the two sides together to resolve the Silverdale Farm case.

What transpired in this meeting is summarized in a letter written to Reginald Mengi and copied to Stewart Middleton by his Excellency Andrew Pocock the next day (i.e. the 14th December 2005). In this letter it is clearly stated that

"You made it clear your own position: it was possible to resolve the matter, you wanted to see justice done, you supported Stewart's wish to legally register his property, you would try to see whether the legal case might be withdrawn, and you would intervene with your brother to see what could be done to ease the situation. We understand that you cannot guarantee success, but your understanding of Stewart's case and willingness to act on his behalf is most welcome"

It is important to point out categorically that prior to this meeting Reginald Mengi had no knowledge or interest and had never involved himself in the Silverdale saga. This is an important point to note.

True to his word Reginald Mengi met with his brother Benjamin Mengi as part of the mediation process. The results of the preliminary discussions with Benjamin Mengi and the initial offer proposed by him as a way of resolving the dispute once and for all are contained in a letter written by Reginald Mengi to His Excellency Andrew Pocock and Stewart Middleton on the 16th December 2005. No response was forthcoming to this letter or the initial offer that it contained from Stewart Middleton or any other party and that has remained the case to date.

Copies of the letter of the 13th December and 16th December 2005 by His Excellency Andrew Pocock and Reginald Mengi respectively are attached as well.

The smear campaign by Sarah Hermitage against Reginald Mengi

It is important to note that Sarah Hermitage – the wife of Mr. Middleton did not attend the meeting held at Reginald Mengi's residence on the said date above. However, this did not stop her from conducting a smear campaign with her local Member of Parliament in UK the Honorable Roger Bale as the focal point vilifying the public institutions in Tanzania as anti-investor, corrupt and were threatening "British investors" in Tanzania.

This campaign continued until late 2009 when Sarah Hermitage changed strategy and began targeting Reginald Mengi instead of Benjamin Mengi. Whenever the name "Mengi" came in business circles or with some investors who have heard about the Silverdale Farm case people automatically associated this with Reginald Mengi for very few of them knew about Benjamin Mengi who as it has been pointed above is a successful businessman in his own right.

Thus in early January 2010 Reginald Mengi received an email from the Nairobi Office of the World Bank with an attachment of a letter written by Sarah Hermitage addressed to the President of the World Bank. This letter contained an allegation that Reginald Mengi had failed to implement several promises that he had made to Stewart Middleton at their meeting on the 13th December 2005 namely to:

• Compensate Stewart Middleton for loss of his investment in the Silverdale Farm venture
• Pay all the legal costs that Stewart Middleton had incurred during his dispute with Benjamin Mengi 5 years earlier; and finally
• To stop a negative media campaign that was being conducted against them by IPP Media of which Reginald Mengi is the Executive Chairman.

None of these allegations are true and the only commitment Reginald Mengi ever made was to try to mediate between her husband and Benjamin Mengi. The letter written by His Excellency Andrew Pocock who unlike Sarah Hermitage was actually present at the meeting is incontrovertible proof of this. The purpose of these advances by Sarah Hermitage to these several international organization is very clear, to tarnish the image of Reginald Mengi purely because he is the brother of the man that they have business dispute with.

Reginald Mengi files a Civil Case no. 121 of 2010 against Yusuph Manji

Earlier this year Reginald Mengi obtained irrefutable evidence that the smear campaign being waged by Sarah Hermitage against him was actually being masterminded and financed by Yusuf Mehbub Manji, a prominent businessman in Tanzania. Mr. Manji is a business competitor to Mr. Reginald Mengi as well as a political adversary. Few years back the two had a very public conflict which escalated to the level of a parliamentary exchange in 2006 which ultimately ended up in a parliamentary inquiry. On April 27 2009 Mr. Mengi called a press conference where he audaciously mentioned a group of individuals whom he accused of being a corrupt syndicate – he termed them "sharks of corruption in Tanzania", among them was Yusuph Manji. None of mentioned resorted to a legal action against Mr. Mengi and the accusations against them still stand today.

With the support and help of Mr. Manji, Sarah Hermitage prolifically issued and continues to issue emails and letters to various international institutions such as the World Bank, International Finance Corporation, The Coca Cola Company, the Lutheran Church, The Commonwealth Press Union and the Commonwealth Business Council all with one clear intent to harm the person, image and character of Mr. Reginald Mengi who now has become a target of their libelous attacks.

Some of these letters are: the letter to International Finance Corporation dated January 7th, 2010 and the letter to Alexis Mr. Herman of Coca Cola Co., in Atlanta Georgia dated 16 January, 2010. In both letters Ms. Sarah Hermitage tried to draw Mr. Reginald Mengi who holds a franchise of Coca Cola in Tanzania into the legal dispute between the Middletons and Benjamin Mengi. This started to cause problem for many of Reginald Mengi's business partners and other institutions that he has had relations with. Unfortunately, some of these businesses, individuals, and partners began to associate the Mengi's name with the allegations of mischief against foreign investors in Tanzania.

The level of evidence of correspondences between the two supports Mr. Mengi's assertion that the smear campaign against him has to do with issues beyond the Silverdale case. is more than the Silverdale Case. This compelled Reginald Mengi to sue Yusuf Manji in the Civil Case No. 121 filed at Ilala District Court in Dar-es-Salaam Tanzania on the 29th October 2010. Other legal action might be taken when deemed necessary.

It is the hope of Reginald Mengi that after all the evidence is careful reviewed and analyzed one picture will clearly emerge; the picture that Reginald Mengi has never been and is not part of the Silverdale Farm agreement or current dispute. He has never been involved in the ownership nor operation of the farms and therefore he does not stand to benefit or lose with any legal outcome. The legal dispute does not involve him at all except the fact that the one of the involved part is Benjamin Mengi, his brother

More materials on the case between Benjamin Mengi and Steward Middleton can be found http://www.thesilverdalefarmcase.blogspot.com as well as http://www.thesilverdalecase.blogspot.com

For further information or media arrangement:

Contact:

Ngalo & Company Advocates
6th Floor, IPSBuilding,
Samora AvenueAzikiwe Street
Dar-es-Salaam, Tanzania

Phone (Office): +255 22 2124987
(Cell) + 255 764601018
Email: info@ngaloadvocates.co.tz
Contact Person: Mike Ngalo
 
On 27th February 2008, Benjamin Mengi, brother of IPP Media owner and Chief Executive Officer Reginald Mengi, was arrested by the Moshi police for theft and given police bail (investigation number MOS/IR/2344/08, MOS/RB/2944/08).

The arrest follows his admission that he broke into the house of investors Stewart Middleton and Sarah Hermitage on Silverdale Farm in Moshi, in the Kilimanjaro area of Tanzania, during the month of February. Witnesses state they saw Mengi with his staff member Urasa, cut the lock to the grounds of the investor's house and then forcibly enter the rear door to the kitchen. Witnesses further state they saw Mengi with Urasa and several unknown Askaris remove items of the investor's property including their personal computer, a cooker, printer and various household items and place them in his personal vehicle and remove them from the farm.

Mengi admitted the theft to the police and has boasted to the investors that he has accessed all the personal date to the computer and has attended State House to make the information available to President Kikwete.

Despite four witnesses statements provided to the police and, an admission from Mengi himself, the Moshi police state they cannot charge him because they have not recovered the property.

Investor Stewart Middleton, whose company Songwe Estates Ltd is the lawful owner of the forty five year lease to Silverdale & Mbono Farms, has temporarily left the country due to persistent abuse by the police, judiciary and government agencies in Moshi together with threats to his life and the lives of his staff.

Tanzania Benjamin Mengi Arressted For Theft by Anti Corruption Ltd
 
Wakitoe huko! Na sisi tunaponyimwa visa bila sababu za msingi mbona hatufanyi kampeni za kinyinga kama hizi!
 
hao jamaa (wawekezaji) huwa ni wasanii na mara nyingi huwa wanafanikiwa wakipambana na watanganyika walio wadhaifu kiuchumi, lakini hapo kwa kina maengi nadhani ni chuma cha reli, wasanii wamekutana, mmoja akimwaga mboga mwingine anamwaga ugali, naona wazungu wamechemsha na kurudi kwao na wakirudi bongo watakubali yaishe ili wagawane sawasawa
 
R Mengi bana haishi kumtaja Yusuf Manji.

Nimeisoma story kwa makini lakini walivyojaribu kumconnect fisadi Manji binafsi na hii story ya shamba naona huyu mzee naye ana kisasi.

Na huyo wakili wake mengi naye alitakiwa amshauri Mengi kuweka pumba za kina manji pembeni aonglee maudhui makuu ya story yake.
 
Naona ukigoogle jina la Reginald Mengi au kwenye Yahoo kuna taarifa zaidi kuhusu hili jambo leo.
 
Mengi nae kwa kesi tu, hata ze komedi kisha wapeleka mahakamani, sijui nani bado hajakwaruzana nae, mbona hatusikii matajiri wengine kuwa na kesi kama huyu Mengi? Huyu Mengi ana ila fulani, na nadhani sasa kagusa pabaya, kwa hao wa ingereza, ataiingiza nchi kwenye janga huyu, na zote hizo anaonewa yeye tu, duh, iko namna si bure.
 
R Mengi bana haishi kumtaja Yusuf Manji.

Nimeisoma story kwa makini lakini walivyojaribu kumconnect fisadi Manji binafsi na hii story ya shamba naona huyu mzee naye ana kisasi.

Na huyo wakili wake mengi naye alitakiwa amshauri Mengi kuweka pumba za kina manji pembeni aonglee maudhui makuu ya story yake.

Nadhani imekua ngumu kuconnect kwa sababu ya uwezo wako wa kuconnect mambo... Iko clear na ameeleza jinsi Manji anavyofadhili juhudi za kumchafua na kumhusisha na kesi hii. Au ndugu ulitaka awe connected kiaje??? au ulitegemea yeye angekua amesambaza hizo habari moja kwa moja ndo ingemconnect??? kweli uwezo wa kuhusanisha mambo unatofautiana.... vidole havilingani.

This time mzee amechukua njia sahihi zaidi ya wenzetu mnaotuhumiwa na kumuachia mungu. lazma asafishwe..na huwezi vumilia tu interest zako za kibiashara zaharibiwa kwa kuogopa number ya cases. Courts are there to protect haki so ni haki yake kuitafuta haki.
 
Mbona hujamalizia uwezo wangu wa kuconnect mambo......... Ni mdogo zaidi ya uwezo wako au.....? Wewe ponda tu kama unataka kuponda.JF is a forum Where we dare to talk openly hatujuani usiwe mwoga.

Assume hii ingekuwa ni kesi R . mengi anataka kushtaki Je huyo Manji naye angekuwa mtuhumiwa?????

Tunajua Ufisadi wa Manji lakini Kwa hii issue binafsi naona anampachika ili jamii imsupport.

Nime google kaa alivyosema Mwanakijiji another side of the story ni hii
http://www.free-press-release.com/news/200904/1240065106.html

Elewa hiyo article imeandikwa na Mwanasheria wa Mengi. Hiyo si article iliyonadikwa na mtu kati.

Kuna washindani wengine wa Benjamin Mengi wanweza kuwa na Mkono wa kwenye hii issue lakini huyo Manji naona ni kulazimisha tu
 
I have received this message concerning the controversial Silverdale Farm Case.
Mzee Mwanakijiji, there is more to this than what meet the eye.Hawa brothers ni blood brothers as well as bussiness partners.
Kwenye hii case ya Silverdale Farm, kinachofanyika ni kumdhulumu tuu huyu mzungu wa watu, naomba nikupe my side of the story kwa kifupi sana.

Benjamin Mengi na his late wife (RIP) ndio wamiliki halali wa shamba husika, ukatokeo urafiki, just friendship kati yao na hao wazungu, wakaanza kutembeleana mara London mara Tanzania, hatimaye Mzungu akaingia line, friendship ika turn into partneship, wakaingia bussiness venture, Mzungu akawekeza fedha nyingi. Baada ya uwekezaji kukamilika, Benjamin akamzunguka pertner wake, akala deal mzungu apigwe PI ili mali ibaki kwake, mzungu akafight back, ndipo sasa vikafuatia visa na mikasa.

Siku zote za mgogoro huu, R.Mengi anadai hajuai chochote kwa vile yeye sio Benjamin, hii ni kweli kabisa kisheria na kwenye paper work, lakini comon sense na simple logic haikubali. Hawa ni blood relatives na blood bussiness partners na kwa maoni yangu binafsi kama pasco wa jf, the deal maker ni R na sio B, ilo B anatumika tuu front il R aonekani hahusiki.

Kuna bussiness connection nyingi kati ya kaka hawa, kile kiwanda cha madawa cha Moshi kinamilikiwa na hawa ndugu, ni R. ndio aliechukua mkopo wa mamilioni NBC kununua mashine za kiwanda hiki toka ulaya, akaenda kizikagua mashine hizo kiwandani akazikubali, zikaletwa, zikafungwa kazi ya uzalishaji ikakwama, ndipo jamaa wakadai mashine walizoziagiza soi zilizoletwa!. Wakaandika barua kiwandani, njooni mchukue mashine zenu, na kutuletea mashine zetu, kesi sijui iliisha vipi. NBC walipotaka pesa zao, R kagoma kulipa deni kwa vile mashine sizo!. Kule kiwandani, wenye mashine zao wameshalipwa pesa zao, na NBC wameshakatwa malipo hayo!.

Ile kampuni ya uwekezaji ya NICOL ilipokuwa inaishu IPO ilionyesha miongoni mwa assets zake ni kiwanda hicho cha madawa na lile shamba la Silverdale!. Yaani jamaa wamekusanya michango ya mabilioni ya Watanzania, eti fedha hizo zikawekezwa kwenye kununuliia kiwanda cha madawa na kulinunua hilo shamba, hivyo shamba limeshauzwa siku nyingi huku kesi inaendelea!.

Baada ya kuwaingiza mkenge waliotoa fedha zao NICOL, deal ikakamilishwa kuwaingiza mkenge wawekezaji wakubwa, kwa kutayarishwa prospectus ikionyesha NICOL ni kampuni yenye mtaji mkubwa na inatengeneza faida kubwa 'paper work', hivyo inastahili kuingia rasmi kwenye siko la hisa la Dar es Salaam, DSE, ili wawekezaji wajitokeze kuwekeza kimataifa.

Kabla hawakubaliwa, jamaa wa CMSA (Capita Markets and Security Authorty) wakafanya Due Diligency ya NICOL, ndipo wakagundua mauza uza matupu, wakakataliwa kuwa listed. Sasa NICOL huisikii tena japo wahusika wakuu sasa wameelekeza majeshi yao kwenye fedha za Kilimo Kwanza.

Wakili anayewatetea wazungu hawa, kampuni ya Uwakili ya kina Apollo Maruma, alikutwa amekufa pembeni mwa barabara katika mazingira ya kutatanisha, siku chache kabla kesi hiyo hajatajwa mahakamani, kifo hicho kilikuwa staged kama ordinary car accident, jamaa kalewa usiku wa manane, akalitumbukiza gari lake mtoroni, hakupata msaada wowote, asubuhi ndio watu wanashangaa kakuta amekufa!.

Situatio ilivyo sasa.
Baada ya kifo cha Mke wa Benjamin Mengi, paper work yote imeshaandaliwa kuonyesha mmiliki halisi wa mashamba hayo ni huyo mama marehemu. Marehemu ameacha wosia ambao hakuna ajuaye umeandika nini. Mark my word, next time kesi itakapotatwa, wasio utafunguliwa mahakamani, utaonyesha mali zote ni za marehemu, na marehemu kwa ridhaa yake mwenyewe, ataonyesha ameamua kuzithisha mali fulani, na mikataba yote Benjamin aliyoingia, aliingia kwa niaba ya mkewe, maadamu ameshafariki, mikataba ile ndio imefikia mwisho wake na mzingu ataishia kubaki hana kitu.

Cha mwisho Mzee Mwanakijiji, mimi binafsi ni muumini wa " lawof the Karma" kwamba kila jema unalofanya hapa duniani, utalipwa kwa wema hapa hapa duniani, au wewe, au uzao wako, na kila baya au ovu unalolifanya, malipo ni hapa hapa duniani, na mimi binafsi ni shuhuda wa hili, hivyo time will tell.
 
bravo, bravo.
 
Hivi hii kesi si ilienda mahakamani?

BTW hivi mbona wao wanalialia sana wakidhulumiwa lakini wanasahau wao ndio walianza huu mchezo wa dhuluma na bado wanauendeleza kwa kuwalaghai viongozi wetu kwa peremende? Tena basi wanawaibia masikini ambao uwezo wao ni chini ya dola moja kwa siku.
 
On 27th February 2008, Benjamin Mengi, brother of IPP Media owner and Chief Executive Officer Reginald Mengi, was arrested by the Moshi police for theft and given police bail (investigation number MOS/IR/2344/08, MOS/RB/2944/08).

The arrest follows his admission that he broke into the house of investors Stewart Middleton and Sarah Hermitage on Silverdale Farm in Moshi, in the Kilimanjaro area of Tanzania, during the month of February. Witnesses state they saw Mengi with his staff member Urasa, cut the lock to the grounds of the investor’s house and then forcibly enter the rear door to the kitchen. Witnesses further state they saw Mengi with Urasa and several unknown Askaris remove items of the investor’s property including their personal computer, a cooker, printer and various household items and place them in his personal vehicle and remove them from the farm.

Mengi admitted the theft to the police and has boasted to the investors that he has accessed all the personal date to the computer and has attended State House to make the information available to President Kikwete.

Despite four witnesses statements provided to the police and, an admission from Mengi himself, the Moshi police state they cannot charge him because they have not recovered the property.

Investor Stewart Middleton, whose company Songwe Estates Ltd is the lawful owner of the forty five year lease to Silverdale & Mbono Farms, has temporarily left the country due to persistent abuse by the police, judiciary and government agencies in Moshi together with threats to his life and the lives of his staff.

Tanzania Benjamin Mengi Arressted For Theft by Anti Corruption Ltd

mchaga hana mchezo, umri ule alionao bado anavunja na kuiba cooker+printer ?!, harafu anajitapa kuwa anahabari muhimu za kumweleza rais?!, kweli rais wetu anakazi.
 
Pasco, Nimekuwa nafuatilia post zako nyingi ambazo zinamzungumzia Mengi na familia yake, kwenye post zako umekuwa ukilenga upande mmoja wa kumchafua huyu mzee ukidai kuwa anahusika na baadhi ya vitendo haramu..Nakumbuka post yako moja ulipost kwenye topic ya mwanawe kutaka kupachikiwa madawa ya kulevya, ulicomment huyu mzee kipindi anaingiza sabuni zake nchini ndani yake alikuwa anaweka madawa ya kulevia... Na mambo mengine mengi tu ambayo siwezi kuyasema hapa.

Endelea na kazi yako, huko huru kuandika unacho kiamini!

http://thesilverdalecase.blogspot.com/
 
Like may other stuff in teh forum, our emotions prevail... to Mtazamaji, Pasco; i wouldnt sweat my tongue for this. It would have been better kwa sisi kuwajua vizuri sana the middletons. Hii ya kuangalia upande mmoja ni hatari sana.

In additin, a diligent inverstor ni very rare kuanza kuandika barua kila sehemu duniani kulaani mtu fulani (hata kama ana involvement fulani) without priming the core business partner

Pasco unaongelea eti maskini hao jamaa walikua marafiki, urafiki uka-turn to business... MY FOOT BUDDY!!!! any clean and diligent citizen (even naive) would set teh business strategy that analyses risks on any investiment, particulary to a country like Tanzania where we faired very low in ovestors index by then

PASCO I ADMIRE YOU LOTS, BUT YOU HAVE APERSONAL VENDETTA ON MENGI AND I ALWAYS CONNECT "YOUR ROLE NA HAO UNAOWATETEA" INGAWA SIJUI ULIPATAJE HIYO ROLE
 
Pasco, Nimekuwa nafuatilia post zako nyingi ambazo zinamzungumzia Mengi na familia yake, kwenye post zako umekuwa ukilenga upande mmoja wa kumchafua huyu mzee ukidai kuwa anahusika na baadhi ya vitendo haramu..Nakumbuka post yako moja ulipost kwenye topic ya mwanawe kutaka kupachikiwa madawa ya kulevya, ulicomment huyu mzee kipindi anaingiza sabuni zake nchini ndani yake alikuwa anaweka madawa ya kulevia... Na mambo mengine mengi tu ambayo siwezi kuyasema hapa.

Endelea na kazi yako, huko huru kuandika unacho kiamini!

THE 'SILVERDALE FARM' CASE
TUNA UGONJWA MMOJA... WE BOOT-LICK TOO MUCH hata kwa vidada vidogo vilevi
 
Aisee Pasco nadhani una lako jambo..Jinsi unavyo muongelea huyu mzee inaleta hisia hisia za kutaka kutufanya tuone kama vile umetumwa au kwa njia moja au ingine utakuwa kwenye mtandao fulani fulani hivi na kama si kwamba upo karibu nae au huenda unafuatilia mambo yek kwa ukaribu...Kweli endelea ndugu...!
 
Back
Top Bottom